Hisia zako zilikuwaje?

Pearl, Am speechless on this, nimefurahia mada na mjadala, the issue hizi wachana na hisia kabisa bana hasa kwenye kufikiria mtu wa hapa JF na jina bandia na yeye alivyo, sometimes ni raha na sometimes ni karaha.
 
Wadau hisia zangu nimeweka hapo kwenye red tu! Wengine nitarudi baadaye! 🙂
 
ICU = mgonjwa mgonjwa, au mwenda hospitali, au mpeleka wagonjwa, au nesi wa wodi hii au mfanya usafi wodini etc etc etc
 
Pearl za kwako zinajionyesha kwenye avatar yako....! Halafu nahisi una sauti nyororo sana! 🙂

hahaaa kumbe unajua kuhisi.....umepati ile mbaya......anabembeleza akikuimbia lulabi lazima ulale hata kama umetoka kuamka mda huo huo
 
Pearl, Am speechless on this, nimefurahia mada na mjadala, the issue hizi wachana na hisia kabisa bana hasa kwenye kufikiria mtu wa hapa JF na jina bandia na yeye alivyo, sometimes ni raha na sometimes ni karaha.

watu wengine humu jamvini hatutumii majina bandia ni real names kabisa ICU
 
ngoja niku-google na wewe maana kihisia tu itakuwa ngumu.....

Hahahahaha! Dah! Wewe itabidi nitumie search engine nyingine kabisa, maana hata google imegoma kunipa majibu ninayoyataka!
 
Hahahahaha! Dah! Wewe itabidi nitumie search engine nyingine kabisa, maana hata google imegoma kunipa majibu ninayoyataka!

tumia ile ya kichina .......
 
JS i personally naomba sifa za Fidel80 unambie wewe mpendwa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…