Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
kiranja, tunaruhusiwa kupaste hiyo namba ya simu for my future use please????
Mtoa mada naomba utuwekee sifa za
MJI- Wise lady - Huyu huwa natapata picha kwamba ni mwanasiasa, halafu sio wa chama tawala! 🙂
Nyamayao-Babra - Laaziz wangu huyu! (hivi moderator mbona hakuna icon ya kuonyesha malavidavi?)
Balatanda...
Vivian....
Nguli
Burn...
Preta
Carmel ... Huyu nahisi akiwa jirani yako au mfanyakazi mwenzio halafu ukagombana naye, watu wote watajua kwamba wewe ni mkorofi! Very soft spoken, hata kwenye ''keyboard''.
JS...
MKjj huyu hatabiriki..
naendelea ..
:d:d:d!!!!!!punguzeni spidi maanake sredi inakuwa ngumu kuchangia
PUNGUZENI SPIDI maanake sredi inakuwa ngumu kuchangia
Mbn za kwako hujacomment?jamani mbn mm sijaambiwa zangu?
Wadau hisia zangu nimeweka hapo wenye red tu! Wengine nitarudi baadaye! 🙂
Pearl za kwako zinajionyesha kwenye avatar yako....! Halafu nahisi una sauti nyororo sana! 🙂![]()
PUNGUZENI SPIDI maanake sredi inakuwa ngumu kuchangia
:d:d:d!!!!!!
mimi ndio nimeshindwa kuikamata kabisa...
Pearl, Am speechless on this, nimefurahia mada na mjadala, the issue hizi wachana na hisia kabisa bana hasa kwenye kufikiria mtu wa hapa JF na jina bandia na yeye alivyo, sometimes ni raha na sometimes ni karaha.
You are damn right, pal!Pearl za kwako zinajionyesha kwenye avatar yako....! Halafu nahisi sauti lako linakoroma sana! 🙂![]()
I agree with you JSwatu wengine humu jamvini hatutumii majina bandia ni real names kabisa ICU
watu wengine humu jamvini hatutumii majina bandia ni real names kabisa ICU
ngoja niku-google na wewe maana kihisia tu itakuwa ngumu.....
Hahahahaha! Dah! Wewe itabidi nitumie search engine nyingine kabisa, maana hata google imegoma kunipa majibu ninayoyataka!
You are damn right, pal!