Hisia zako zilikuwaje?

Hisia zako zilikuwaje?

Pearl, Am speechless on this, nimefurahia mada na mjadala, the issue hizi wachana na hisia kabisa bana hasa kwenye kufikiria mtu wa hapa JF na jina bandia na yeye alivyo, sometimes ni raha na sometimes ni karaha.
 
Mtoa mada naomba utuwekee sifa za

MJI- Wise lady - Huyu huwa natapata picha kwamba ni mwanasiasa, halafu sio wa chama tawala! 🙂

Nyamayao-Babra - Laaziz wangu huyu! (hivi moderator mbona hakuna icon ya kuonyesha malavidavi?)

Balatanda...
Vivian....
Nguli
Burn...
Preta

Carmel ... Huyu nahisi akiwa jirani yako au mfanyakazi mwenzio halafu ukagombana naye, watu wote watajua kwamba wewe ni mkorofi! Very soft spoken, hata kwenye ''keyboard''.

JS...
MKjj huyu hatabiriki..
naendelea ..

Wadau hisia zangu nimeweka hapo kwenye red tu! Wengine nitarudi baadaye! 🙂
 
Mbn za kwako hujacomment?jamani mbn mm sijaambiwa zangu?

Pearl za kwako zinajionyesha kwenye avatar yako....! Halafu nahisi una sauti nyororo sana! 🙂
icon10.gif
 
ICU = mgonjwa mgonjwa, au mwenda hospitali, au mpeleka wagonjwa, au nesi wa wodi hii au mfanya usafi wodini etc etc etc
 
Pearl za kwako zinajionyesha kwenye avatar yako....! Halafu nahisi una sauti nyororo sana! 🙂
icon10.gif

hahaaa kumbe unajua kuhisi.....umepati ile mbaya......anabembeleza akikuimbia lulabi lazima ulale hata kama umetoka kuamka mda huo huo
 
Pearl, Am speechless on this, nimefurahia mada na mjadala, the issue hizi wachana na hisia kabisa bana hasa kwenye kufikiria mtu wa hapa JF na jina bandia na yeye alivyo, sometimes ni raha na sometimes ni karaha.

watu wengine humu jamvini hatutumii majina bandia ni real names kabisa ICU
 
ngoja niku-google na wewe maana kihisia tu itakuwa ngumu.....

Hahahahaha! Dah! Wewe itabidi nitumie search engine nyingine kabisa, maana hata google imegoma kunipa majibu ninayoyataka!
 
Hahahahaha! Dah! Wewe itabidi nitumie search engine nyingine kabisa, maana hata google imegoma kunipa majibu ninayoyataka!

tumia ile ya kichina .......
 
Back
Top Bottom