Asprin
JF-Expert Member
- Mar 8, 2008
- 68,223
- 96,083
Afu wewe kiongozi itabidi siku moja tukamatane kaunta. Natamani kuiona sura yako ukiwa ushatia bia kadhaa za baridi tumboni.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Afu wewe kiongozi itabidi siku moja tukamatane kaunta. Natamani kuiona sura yako ukiwa ushatia bia kadhaa za baridi tumboni.
Afu wewe kiongozi itabidi siku moja tukamatane kaunta. Natamani kuiona sura yako ukiwa ushatia bia kadhaa za baridi tumboni.
Serengeti Serengetiiiiiiiiii!!heheeeeee nani zaidi sasa????!!!!!
Hivi alishawahi kuwa sober?kwani ulishamuona akiwa sober huyu weee biggy???
Afu wewe kiongozi itabidi siku moja tukamatane kaunta. Natamani kuiona sura yako ukiwa ushatia bia kadhaa za baridi tumboni.
Kaunta muhimu mkubwa! Ila iwe kaunta ambayo ina stock ya kutosha! 🙂
Hili ni angalizo muhimu! Itifaki lazima izingatiwe😀😀😀Kaunta muhimu mkubwa! Ila iwe kaunta ambayo ina stock ya kutosha! 🙂
Hivi alishawahi kuwa sober?
Swali juu ya swali mpaka kieleweke!
kwani ulishamuona akiwa sober huyu weee biggy???
Hivi alishawahi kuwa sober?
Swali juu ya swali mpaka kieleweke!
Hehehehe pale Billionare club mbona wana kastock kadogo sana.
Nasikia wewe na baba_Enock mnahisa pale. Mi yule kaunta white nimemkolea mkuu.
Hapana mkuu, mimi sio memba wa Billionares Club, pale ni kwa Baba Enock na vivian! 🙂
hajawahi tangu kuzaliwa biggy, take my word, utani pembeni.......
Hehehe! Hili ni angalizo jingine muhimu. Marekebisho kidogo: Wazee wa kaunta huwa hawalewi, huwa wanachangamka😀akilewa hana shida sana ni muongeaji tu,points only mchapakazi sanaaaaaaa,
Hehehe! Hawa makamanda itabidi siku moja watie timu kwa ankal kijana Kaizer awafanyie ze needful za ammm ammm aramba tena ammm ammmm! Hapo kwenye bold, ikawaje tena ukaenda viwanja vya ugenini bila kuambatana na mashabiki?Hehehehe pale Billionare club mbona wana kastock kadogo sana.
Nasikia wewe na baba_Enock mnahisa pale. Mi yule kaunta white nimemkolea mkuu.
Hili ni angalizo muhimu! Itifaki lazima izingatiwe😀😀😀
hajawahi tangu kuzaliwa biggy, take my word, utani pembeni.......
PEARL - Mpole, mdadisi lakini sio mwnamke ni DUME.
FIDE - Machachari, mpenda totozi.
VUKANI - Mtu wa kucomplicate mno, mluga luga.
FIRST LADY - Kama pearl ila yeye ni mtata.
EMMA MAKOFIA - Ana kipara kama Mkapa.
BHT - Ni mwembamba kama Fido dido.
Wewe na huyu hapa
Nyie inabidi mfungwe spidi gavana mnaikimbiza sana hii sredi.
Ngoja tuwasiliane na Mods wawapunguzie kasi maana mnaikimbiza kweli kweli.
hahaaa mtatukoma leo........nyie mlienda kujenga taifa eeeh!!!!Wewe na huyu hapa
Nyie inabidi mfungwe spidi gavana mnaikimbiza sana hii sredi.
Ngoja tuwasiliane na Mods wawapunguzie kasi maana mnaikimbiza kweli kweli.
Ice cream za Bakhresa bwana, sinanilevya kirahisi sana! Sasa sijui siku nikinywa valuu itakuwaje!![]()
kuhusu pearl umempatia kweli ni mpole mcheshi mjasiriamali kwelikweli yani kama dume