Hisia zako zilikuwaje?

Hisia zako zilikuwaje?

icon10.gif
icon10.gif
Afu wewe kiongozi itabidi siku moja tukamatane kaunta. Natamani kuiona sura yako ukiwa ushatia bia kadhaa za baridi tumboni.
 
kwani ulishamuona akiwa sober huyu weee biggy???
 
Afu wewe kiongozi itabidi siku moja tukamatane kaunta. Natamani kuiona sura yako ukiwa ushatia bia kadhaa za baridi tumboni.

Kaunta muhimu mkubwa! Ila iwe kaunta ambayo ina stock ya kutosha! 🙂
 
akilewa hana shida sana ni muongeaji tu,points only mchapakazi sanaaaaaaa,

Hehehehe pale Billionare club mbona wana kastock kadogo sana.
Nasikia wewe na baba_Enock mnahisa pale. Mi yule kaunta white nimemkolea mkuu.
 
Hapana mkuu, mimi sio memba wa Billionares Club, pale ni kwa Baba Enock na vivian! 🙂
 
Hahahaha umeruka kihunzi vizuri sana.
Vivian kapotea sana sijui yupo vekesheni milimani!!
 
hajawahi tangu kuzaliwa biggy, take my word, utani pembeni.......

Ice cream za Bakhresa bwana, sinanilevya kirahisi sana! Sasa sijui siku nikinywa valuu itakuwaje!
icon10.gif
 
akilewa hana shida sana ni muongeaji tu,points only mchapakazi sanaaaaaaa,
Hehehe! Hili ni angalizo jingine muhimu. Marekebisho kidogo: Wazee wa kaunta huwa hawalewi, huwa wanachangamka😀

Hehehehe pale Billionare club mbona wana kastock kadogo sana.
Nasikia wewe na baba_Enock mnahisa pale. Mi yule kaunta white nimemkolea mkuu.
Hehehe! Hawa makamanda itabidi siku moja watie timu kwa ankal kijana Kaizer awafanyie ze needful za ammm ammm aramba tena ammm ammmm! Hapo kwenye bold, ikawaje tena ukaenda viwanja vya ugenini bila kuambatana na mashabiki?
 
Hili ni angalizo muhimu! Itifaki lazima izingatiwe😀😀😀

Wewe na huyu hapa

hajawahi tangu kuzaliwa biggy, take my word, utani pembeni.......

Nyie inabidi mfungwe spidi gavana mnaikimbiza sana hii sredi.
Ngoja tuwasiliane na Mods wawapunguzie kasi maana mnaikimbiza kweli kweli.
 
PEARL - Mpole, mdadisi lakini sio mwnamke ni DUME.

FIDE - Machachari, mpenda totozi.

VUKANI - Mtu wa kucomplicate mno, mluga luga.

FIRST LADY - Kama pearl ila yeye ni mtata.

EMMA MAKOFIA - Ana kipara kama Mkapa.

BHT - Ni mwembamba kama Fido dido.

kuhusu pearl umempatia kweli ni mpole mcheshi mjasiriamali kwelikweli yani kama dume
 
Wewe na huyu hapa

Nyie inabidi mfungwe spidi gavana mnaikimbiza sana hii sredi.
Ngoja tuwasiliane na Mods wawapunguzie kasi maana mnaikimbiza kweli kweli.

Umewaona eeeh! Yaani spidi 120! 🙂
 
Wewe na huyu hapa

Nyie inabidi mfungwe spidi gavana mnaikimbiza sana hii sredi.
Ngoja tuwasiliane na Mods wawapunguzie kasi maana mnaikimbiza kweli kweli.
hahaaa mtatukoma leo........nyie mlienda kujenga taifa eeeh!!!!
 
kuhusu pearl umempatia kweli ni mpole mcheshi mjasiriamali kwelikweli yani kama dume

ex-shemeji na mimi je umepotea au ndo the broken heart never mends?????
 
Back
Top Bottom