Hisia zako zilikuwaje?

Hisia zako zilikuwaje?

Wacha mungu
wana upendo wa agape
wanawapenda watu
Wanamwogopa Mungu
Wanaona miujiza ya Mungu katika uumbaji wake
Wapenda amani na furaha ---kinywaji kinahusika hapa

Brigita,

uchokozi huo.....
 
Umemwona Ben hapo juu?
amenikwaza! anitake radhi fasta
 
MMK huelewki in the sense that we ni kiraka!!

mwambie bibi apunguze mikwara siku moja moja mvalie sura ya kazi bana aaaah!!!

i tried that once.. guess where i ended.. ndio maana kama nina ushauri.. never marry a supermodel!!! unakuwa kama kamtumwa fulani hivi... ni kama "The Beauty the Beast"..
 
huyo si ndo mwenyewe MMK!!!?? I dont wanna imgine wat happened when u tried that though......

Mkuu hata supermodel kidume?

mikwara tu inatosha unadhani ngumi au nguvu inatumika hapo.......nah!!!!
 
Jamani Nyani Ngabu jeeeee?????

Heheheheee shem wewe....

Anyways, natoa changamoto kwa yeyote atakayepatia nitampa shilingi laki moja taslimu....

Ila nina uhakika kabisa hakuna hata mmoja atakayepatia kwa sababu I'm hard to figure out....

Actually you know what..I challenge anyone to say who I am....anyone....
 
ha ha ha comrade kuna watu noma kwa ku guess!!
 
mamy sijamuonea wat I ment is ni tabia unazohisi weza anazo or hana
as for u Gs: mcheshi,mchapakazi unpenda watu wawe na maelewano mazri mfano pearl and akili kichwani(ah ah ah )
Mmh unamounea Akili kichwani.hayuko hivyo!
 
mamy sijamuonea wat I ment is ni tabia unazohisi weza anazo or hana
as for u Gs: mcheshi,mchapakazi unpenda watu wawe na maelewano mazri mfano pearl and akili kichwani(ah ah ah )

Ha ha ha!nilikuwa namaanisha hisia zako ziko wrong,he is not like that.Kwa upande wangu umepatia.Thanks.
 
Heheheheee shem wewe....

Anyways, natoa changamoto kwa yeyote atakayepatia nitampa shilingi laki moja taslimu....

Ila nina uhakika kabisa hakuna hata mmoja atakayepatia kwa sababu I'm hard to figure out....

Actually you know what..I challenge anyone to say who I am....anyone....
Mkaka wa Makamo(age 35-40),ana principles sana(misimamo mikali),msafi sana,Hajaoa na hategemei kufall in love,anajiamini mno,mwembamba,mrefu wastani,ana watoto 2.
nimepatia?
 
hata mimi shem?? Ona huyu Charity alivopatia hapa, ongezea 'mutu ya mazoezi kama Nguli.......

Back
Top Bottom