bht
JF-Expert Member
- May 14, 2009
- 10,336
- 1,873
usimwambie mtu!
sisemi B!!! ila Goeff keshakolezea kaharibu
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
usimwambie mtu!
mi niliandika kwa penseli, yy alitakiwa kufuta, au hakuwa na ufutio nini?sisemi B!!! ila Goeff keshakolezea kaharibu
Wacha mungu
wana upendo wa agape
wanawapenda watu
Wanamwogopa Mungu
Wanaona miujiza ya Mungu katika uumbaji wake
Wapenda amani na furaha ---kinywaji kinahusika hapa
Tafadhali rekebisha hapo juuBrigita,
uchokozi huo.....
mi niliandika kwa penseli, yy alitakiwa kufuta, au hakuwa na ufutio nini?
Tafadhali rekebisha hapo juu
kwa sababu umenikwaza!
MMK huelewki in the sense that we ni kiraka!!
mwambie bibi apunguze mikwara siku moja moja mvalie sura ya kazi bana aaaah!!!
nimekusoma.hahaaa leo watu wawe careful na kukwazana!!!
Mkuu hata supermodel kidume?i tried that once.. guess where i ended.. ndio maana kama nina ushauri.. never marry a supermodel!!! unakuwa kama kamtumwa fulani hivi... ni kama "The Beauty the Beast"..
i tried that once.. guess where i ended.. ndio maana kama nina ushauri.. never marry a supermodel!!! unakuwa kama kamtumwa fulani hivi... ni kama "The Beauty the Beast"..
Mkuu hata supermodel kidume?
nimekusoma.
sasa naona ni muda muafaka wa kutekeleza yale yaliyokuwa yameandikwa kwa penseli.
Jamani Nyani Ngabu jeeeee?????
ha ha ha comrade kuna watu noma kwa ku guess!!Heheheheee shem wewe....
Anyways, natoa changamoto kwa yeyote atakayepatia nitampa shilingi laki moja taslimu....
Ila nina uhakika kabisa hakuna hata mmoja atakayepatia kwa sababu I'm hard to figure out....
Actually you know what..I challenge anyone to say who I am....anyone....
ha ha ha comrade kuna watu noma kwa ku guess!!
Akili kichwani: mkorofi,mtukanaji,mropokaji
Ndibalema: mpole,mtanashat,anapenda siasa huyu lkn na totozoz kiduchu
mamy sijamuonea wat I ment is ni tabia unazohisi weza anazo or hana
as for u Gs: mcheshi,mchapakazi unpenda watu wawe na maelewano mazri mfano pearl and akili kichwani(ah ah ah )
Mkaka wa Makamo(age 35-40),ana principles sana(misimamo mikali),msafi sana,Hajaoa na hategemei kufall in love,anajiamini mno,mwembamba,mrefu wastani,ana watoto 2.Heheheheee shem wewe....
Anyways, natoa changamoto kwa yeyote atakayepatia nitampa shilingi laki moja taslimu....
Ila nina uhakika kabisa hakuna hata mmoja atakayepatia kwa sababu I'm hard to figure out....
Actually you know what..I challenge anyone to say who I am....anyone....
Heheheheee shem wewe....

Mkaka wa Makamo(age 35-40),ana principles sana(misimamo mikali),msafi sana,Hajaoa na hategemei kufall in love,anajiamini mno,mwembamba,mrefu wastani,ana watoto 2.
nimepatia?