Hisia zinanitesa juu ya huyu Kaka wa kanda pendwa

Hisia zinanitesa juu ya huyu Kaka wa kanda pendwa

Falaaaaa wewe utapigwa tukio mpaka upate kilema halafu mwakani March 2025 unaibuka tena [emoji1787][emoji1787][emoji1787]

[emoji23][emoji23][emoji23] nimewaza mpk niache kazi naona hili jaribu ni kubwa sana kwangu nitawezaje kutoboa na tunatazamana kila siku
 
Psychology ya wanawake wengi mkiona mwanaume anaongea vizuri na nyie anakua mwema kwenu huwa mnafikiri anawataka kimapenzi.

Mtu akikuomba namba tu we unajiandaa kutongozwa sisi wanaume wengine huwa hatupendi kutabiriwa kama watu wenye tamaa kwahiyo naweza kukuomba namba na nisikutongoze
 
Mambo gani hayo sasa [emoji23]
 
Nipeni mbinu ya kuacha kumfikiria maana nimeanza kumuota [emoji849][emoji2970]
 
Huyo Boss ni mimi, tatizo una pigo za kishamba ndo maana sikushobokei sikuizi
 
Mambo gani hayo sasa [emoji23]
Ndo hali halisi tunakuomba namba na hatukutongozi conversations ndo inaamua tukiona hauko interested na mimi nakupotezea nikiona unaelekea elekea ndo naanza kukuchokoza taratibu ila ni baada ya muda kupita maana tunajua ni wanawake wachache wanaoweza kutongoza wanaume.
 
Kwanini umpende boss..
Ujaona wengine wa kuwapenda au unazingatia maokoto

Nilivutiwa nae before sijajua ni boss nimeeleza hapo

Hakuna dhambi kumpenda boss

Hili suala halihusiani na maokoto ashani offer vingi na nimekataa kwasabbu sihitaji kitu yake inayohusiana na pesa
 
Nilivutiwa nae before sijajua ni boss nimeeleza hapo

Hakuna dhambi kumpenda boss

Hili suala halihusiani na maokoto ashani offer vingi na nimekataa kwasabbu sihitaji kitu yake inayohusiana na pesa
Aaaah mnasemaga hv hv...
 
Back
Top Bottom