2019
JF-Expert Member
- Dec 31, 2018
- 3,130
- 4,735
Kwa msaada wa biblia na vitabu mbalimbali.
Huwa nawashangaa sana watu wanaiona Israel kama taifa teule kwa Mungu kumbe wanajidanganya tu.
Historia inasema hapo mashariki ya kati wakaazi asilia ni Wafilisti(Wapalestina) na makabila madogo kama Wahivi,Wagirigashi n.k. toka Taifa la Israel likiwa njiani waliambiwa mapema wakiisha chukua nchi wawatoa na kuwaua kabisa raia wa nchi hiyo ili wasije kuchanganya ibada.
(Soma Hesabu 33:52,53)
Asili walikuwa wanaabudi mungu Baali na Israel Mungu YEHOVA. Israel ilijitahidi sana kupigana kwa msaada wa Mungu walichukua nchi japo hawakutoa wakaazi wote na waliobaki ni Wapalestina wakabaki na miji mi3 tu Gaza,Askeloni na Ekroni.
Chini ya mfalme Daudi walitawala mashariki yote mpaka karibu na Armenia ya leo. Pamoja na uwezo wa Daudi lakini bado Wapalestina walikuepo japo walikuwa watumwa kwa wakati huo.
Mwaka 70 ukawa mwisho wa taifa la teule la Israel pale Roma ilipochoma mji wote wa Yerusalemu na wakaazi wote kukimbilia maeneo mbalimbali ya dunia hususa ni ulaya.
(
Luka 21:24) soma
Baada ya mwisho wao wapalestina wakanza kujitanua kidogo kidogo na kufika Yerusalemu,chini ya Roma hawakuwa na shida. Kwa msaada wa Waislamu Israel yote ikawa chini ya Wapalestina na mabaki wachache wa wayahudi.
(Mathayo 23:37)soma
Baada ya vuguvugu la wayahudi kurudi kwao ndio 1948 likajitokeza tena taifa la Israel lakini halikuwa na uhusiano wowote na Mungu bali Uingereza na Marekani. Kama sio ujanja wao wangekuwa watumwa wa Palestina mpaka leo na siku waarabu wakijitambua na wakibadili fikra na mtazamo wao kuhusu Israel kuwa taifa la kawaida tu kama ilivyo Syria watapigwa na kumalizwa.
Sasa Israel ilishindwa kumaliza Wapalestina wakiwa na usaidizi wa Mungu je wataweza sasa?
(Wanadini ili niwaamini njooni na maandiko ya agano jipya tu, kuitetea Israel nje ya hapo ni UYAHUDI unatetea).