Fredwash
JF-Expert Member
- Oct 27, 2009
- 1,400
- 2,010
Unaiamini biblia?
Nataka nikupe sababu za kimaandiko
Yes naamini kuwa Biblia ni:-
Insipirational and a history book, kitabu ambacho ni muunganiko wa kumbukumbuku za kimaandiko za watu wa zama za enzi (Ancestors) walioamini katika Mungu muumbaji wa ulimwengu
kumbukumbu hizi za maandiko ambazo zimewekwa pamoja na kuitwa biblia zinatueleza yafuatayo
1. History ya maisha yao na changamoto mbali mbali walizopitia hasa kwenye tamaduni na desturi zao za kimaisha pamoja na imani yao kwa Mungu Baba Mwenye enzi yote Muumbaji wa ulimwengu wote na vilivyomo
2. Mungu alivyokuwa anawasiliana nao na kuwapa maagizo ya nini cha kufanya kupitia baadhi ya watu ambao ni wateule wake
3. Jinsi ya kuishi katika imani kuwa watu wema kwa kufuata maagizo yake Mungu kama alivyoagiza watu waishi kupitia vinywa vya wateule wake