Historia fupi: Israel haiwezi kuimaliza Palestina sababu walishashindwa toka mwanzo wakiwa taifa la Mungu

Watu wasioelewa haya mambo wanapata tabu!its biblical! Lzm waondoke Palestina hakuna namna ni suala la muda tu!
Mbona kila kitu kipo wazi jmn!
Lzm hekalu la Suleiman pale lilipobomolewa na kujengwa msikiti lirudi tena!
Huu ni mwanzo mbona,msikiti utabomolewa na hekalu litajengwa tena hapo!
Wenyewe wanaelewa wanachopigania nyie mnaopinga ndo hamuelewi!
 
Asante mkuu kwa kutoa unayojua tukusaidie moja Israel haipigani na Palestine kwa sababu Israel no taifa teule Bali inataka kuwalinda watuwake na ardhi yake mbili kupinga kuwa Israel haiwezi kuwaondoa Palestine ni kutilisha upepo maana IDF ni strong Sana kuliko unavyo dhani Tatu kujaribu kupinga maandiko ni kupoteza mudaa tuuu ### Kasome agano jipya Injili zote kuhusu yes utajua tu kwa nni yesu alizaliwa Israel sio Palestine
 
Najua ndio ni kwann alizaliwa Israel? Nikukumbushe tu, Israel iliposhindwa kuwatoa na kuwamaliza kabisa Wapalestina Mungu aliwaambia "kwa sababu mmeshindwa kuwatoa wote na kuaacha waishi na nyinyi basi watakuwa MWIBA KATIKA MIILI YENU". Tulishuhudia mapigano mengi sana ya Israel na Wapalestina kabla ya Yesu.

Israel ya sasa haina uhusiano wowote na Mungu nipe andiko basi?
 
Miongoni mwa wapalestina wamo wana wa israel halisi, sema waliamua kuukubali uislamu na kufata culture za kiarabu.

Huwezi kuwashinda wale, It is a matter of time kabla Israel project haijafeli
 
Hivi taifa huwa linaundwa au taifa huwa linajiunda

Kama limeundwa je, ni nani kaliunda Hilo taifa?

Ufaransa,uingereza na marekani ndiyo yameliunda taifa hili mwaka 1948 kwa maana hayo mataifa ni mungu?

Tokeni usingizini
 
Ficha upumbavu wako, hujui chochote kuhusu Israel.
 

666 nadhani ndio Chanjo ya Covid
 
Free Palestine

Sent from my Infinix X656 using JamiiForums mobile app
 
Acheni uchokozi vinginevyo mtazika wengi mno
 
Ezekiel 39
7 “ ‘Nitalifanya Jina langu takatifu lijulikane miongoni mwa watu wangu Israeli. Sitaliacha tena Jina langu takatifu litiwe unajisi, nayo mataifa watajua kuwa Mimi Bwana ndimi Aliye Mtakatifu wa Israeli. 8Hili jambo linakuja! Hakika litatokea, asema Bwana Mwenyezi. Hii ndiyo siku ile niliyosema habari zake.


kieli 39

NEN

EZEKIELI 39

Majeshi Ya Gogu Yataangamizwa

1 “Mwanadamu, tabiri dhidi ya Gogu useme: ‘Hili ndilo Bwana Mwenyezi asemalo: Ee Gogu mimi ni kinyume nawe, mtawala mkuu wa Roshi, Mesheki na Tubali. 2Nitakugeuza kuelekea ulikotoka na kukuburuta. Nitakuleta kutoka kaskazini ya mbali na kukupeleka wewe dhidi ya milima ya Israeli. 3Kisha nitaupiga upinde wako kutoka mkono wako wa kushoto na kuifanya mishale ianguke kutoka mkono wako wa kuume. 4Utaanguka kwenye milima ya Israeli, wewe pamoja na vikosi vyako vyote na yale mataifa yaliyo pamoja nawe. Nitakutoa uwe chakula cha ndege wa aina zote walao nyama na cha wanyama wa mwituni. 5Utaanguka katika uwanja, kwa kuwa nimenena, asema Bwana Mwenyezi. 6Nitatuma moto juu ya Magogu na kwa wale wanaoishi kwa salama huko pwani, nao watajua kwamba Mimi ndimi Bwana.

7 “ ‘Nitalifanya Jina langu takatifu lijulikane miongoni mwa watu wangu Israeli. Sitaliacha tena Jina langu takatifu litiwe unajisi, nayo mataifa watajua kuwa Mimi Bwana ndimi Aliye Mtakatifu wa Israeli. 8Hili jambo linakuja! Hakika litatokea, asema Bwana Mwenyezi. Hii ndiyo siku ile niliyosema habari zake.

9 “ ‘Ndipo wale wanaoishi katika miji ya Israeli watakapotoka na kutumia hizo silaha kuwashia moto na kuziteketeza, yaani, kigao na ngao, pinde na mishale, rungu za vita na mikuki. Kwa miaka saba watavitumia kama kuni. 10Hawatahitaji kukusanya kuni kutoka mashambani wala kukata kuni kutoka kwenye misitu, kwa sababu watatumia silaha kuwa kuni. Nao watawateka mateka wale waliowateka na kuchukua nyara mali za wale waliochukua mali zao nyara, asema Bwana Mwenyezi.

11 “ ‘Siku ile nitampa Gogu mahali pa kuzikia katika Israeli, katika bonde la wale wasafirio upande wa mashariki kuelekea baharini. Jambo hili litazuia njia ya wasafiri kwa sababu Gogu na makundi yake yote ya wajeuri watazikwa huko. Kwa hiyo litaitwa Bonde la Hamon-Gogu.

12 “ ‘Kwa miezi saba nyumba ya Israeli itakuwa ikiwazika ili kuisafisha nchi. 13Watu wote wa nchi watawazika, nayo siku nitakayotukuzwa itakuwa siku ya kumbukumbu kwa ajili yao, asema Bwana Mwenyezi.

14 “ ‘Watu wataajiriwa mara kwa mara kuisafisha nchi. Baadhi yao watapita nchini kote na zaidi yao hao wengine, watawazika wale waliosalia juu ya uso wa nchi. Mwisho wa hiyo miezi saba wataanza upekuzi wao. 15Wakati wanapopita nchini kote na mmoja wao akaona mfupa wa mwanadamu, ataweka alama kando yake mpaka wachimba kaburi wawe wameuzika katika Bonde la Hamon-Gogu. 16(Pia mji uitwao Hamona utakuwa humo.) Hivyo ndivyo watakavyoisafisha nchi.’

17 “Mwanadamu, hili ndilo Bwana Mwenyezi asemalo: Ita kila aina ya ndege na wanyama wote wa mwituni, waambie: ‘Kusanyikeni mje pamoja kutoka pande zote kwa ajili ya dhabihu ninayowaandalia, dhabihu kuu katika milima ya Israeli. Huko mtakula nyama na kunywa damu. 18Mtakula nyama za watu mashujaa na kunywa damu za wakuu wa dunia kana kwamba ni za kondoo dume na kondoo wake, mbuzi na mafahali, wote walionona kutoka Bashani. 19Katika dhabihu ninayoandaa kwa ajili yenu, mtakula mafuta mpaka mkinai na kunywa damu mpaka mlewe. 20Kwenye meza yangu watajishibisha kwa farasi na wapanda farasi, watu mashujaa na askari wa kila aina,’ asema Bwana Mwenyezi.

21 “Nitauonyesha utukufu wangu miongoni mwa mataifa, nayo mataifa yote wataiona adhabu nitakayotoa na mkono wangu nitakaouweka juu yao. 22Kuanzia siku ile na kuendelea nyumba ya Israeli itajua kuwa Mimi ndimi Bwana, Mungu wao. 23Na mataifa watajua kuwa nyumba ya Israeli walikwenda utumwani kwa ajili ya dhambi yao, kwa sababu hawakuwa waaminifu kwangu. Hivyo niliwaficha uso wangu na kuwatia mikononi mwa adui zao, nao wote wakaanguka kwa upanga. 24Niliwatendea sawasawa na uchafu wao na makosa yao, nami nikawaficha uso wangu.

25 “Kwa hiyo hili ndilo Bwana Mwenyezi asemalo: Sasa nitamrudisha Yakobo kutoka utumwani, nami nitawahurumia watu wote wa Israeli, nami nitakuwa na wivu kwa ajili ya Jina langu takatifu. 26Wataisahau aibu yao na jinsi walivyoonyesha kutokuwa waaminifu kwangu mimi wakati waliishi salama katika nchi yao, bila kuwa na mtu yeyote wa kuwatia hofu. 27Nitakapokuwa nimewarudisha kutoka mataifa na kuwakusanya kutoka nchi za adui zao, mimi nitajionyesha kuwa mtakatifu kwa kupitia kwao machoni mwa mataifa mengi. 28Ndipo watakapojua kwamba Mimi ndimi Bwana, Mungu wao, ingawa niliwapeleka uhamishoni miongoni mwa mataifa, nitawakusanya tena katika nchi yao wenyewe, bila kumwacha yeyote nyuma. 29Sitawaficha tena uso wangu, kwa maana nitamimina Roho wangu juu ya nyumba ya Israeli, asema Bwana Mwenyezi.”

[emoji1312][emoji1312][emoji1312][emoji1312][emoji1312][emoji1312][emoji1312][emoji1312][emoji1312]


Ukitaka hisoria lazima usome Agano na kale
 
Inavyoonekana Israel hawajataka kuwateketeza hao ndugu
Lakini uwezo wanao
Wapo kujilinda zaidi
 
Hi
Hiyo iliwahusu Israel | Yuda kwa hiyo wewe kwa sasa Mungu hakutambui?

Heb soma Matendo 10:34,35 afu njoo niambie kwann huyo mungu wako anawachukia wapalestina?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…