Historia fupi: Israel haiwezi kuimaliza Palestina sababu walishashindwa toka mwanzo wakiwa taifa la Mungu

Haya madini Ni ya Uongo tu na yalianzishwa na watu ambao wanafosi mpaka sisi tusio waizraeli na waarabu tukubali dini zao
 
Huu mgogoro hauishi leo wala kesho, just imagine mtoto anaona mzazi/ndugu ama mtoto mwenzake anavyouwawa na adui live bila chenga, hivi akikua anaweza sahau ya nyuma..??
 
Acha uongo taifa la palestina limezaliwa 1948 na ndo maana yese arafat aliyezaliwa misri ndo rais wa kwanza wa Palestine
 
Hi

Hiyo iliwahusu Israel | Yuda kwa hiyo wewe kwa sasa Mungu hakutambui?

Heb soma Matendo 10:34,35 afu njoo niambie kwann huyo mungu wako anawachukia wapalestina?
Kuzungumzia taifa la Isreali,

Kumbumbuku La Torati 7:7-9 yatuambia,

“BWANA hakuwapenda ninyi (Israel ), wala hakuwachagua ninyi, kwa sabau mlikuwa wengi kuliko mataifa yote, maana mlikuwa wachache kuliko watu wote; bali kwa sababu BWANA anawapenda, na kwa sababu alitaka kuutimiza uapo wake aliowaapia baba zenu, ndiyo sababu BWANA akawaatoa kwa mkono wa nguvu, akawakomboa katika nyumba ya utumwa, katika mkono wa Farao, mfalme wa Misri. Basi jueni ya kuwa BWANA, Mungu wenu, ndiye Mungu; Mungu mwaminifu, ashikaye agano lake na rehema zake kwao wampendao, na kusika amri zake, hata vizazi elfu.”
 



hapo kwenye waarabu kubadili fikra then wawachape wayahud ndo nataka kujua kwa nini wanawapotezea.. palestina wenzao toka enzi na enzi.. na kipi ambacho kimefanya Mungu awatose israel mara ya pili hadi marekani na uk wakasaidia jamaa warudi kwao.. inafikirisha sana
 
Dah mkuu umetisha
 
Sasa Palestina ilishindwa kulinda himaya wakati kukiwa hakuna Waisrael, wataweza sasa wakati wapo wakiwa wana nguvu ya kila kitu?
 
Ukitaka maandiko kama haya nitakupa zaidi ya 1000 kuwa Israel lilikua Taif la Mungu kabla ya Yesu. Baada ya Yesu Mungu haitakbui Israel tena na agano lilishaisha kitambo sana.

Wewe ni mkristo? Unamwamini Yesu? Naomba majibu
 
Unaiamini biblia?
Nataka nikupe sababu za kimaandiko
 
hapo kwenye waarabu kubadili fikra then wawachape wayahud ndo nataka kujua kwa nini wanawapotezea
Eti kwa sababu Israel ina rekodi nzuri kivita ndio wanaogopa kuwa watapigwa.

Binafsi naamini nchi mbili tu Iran na Turkey zikiungana zina uwezo wa kuipiga Israel tena chini ya saa 24 tu. Waarabu wamezidiwa na ubinafsi ukiondoa swala la dini
 
Sasa Palestina ilishindwa kulinda himaya wakati kukiwa hakuna Waisrael, wataweza sasa wakati wapo wakiwa wana nguvu ya kila kitu?
Wataweza kwa msaada wa nchi za kiarabu na kiislamu
 
Mkuu bado huijui Biblia kuhusu Taifa la Israel! Ile ardhi wanayokaa ambayo Mji mkuu wake ni Yerusalem ni yao ambayo Mungu aliwaahidi Mababa zao Ibrahimu,Isaka na Yakobo kuwa atawapa! Ni kweli Mungu aliwatoa katika ardhi ile baada ya uasi wao lakini walipolikumbuka Agano la Mungu na baba zao Mungu aliwarejesha katika ardhi yao na hakuna wa kuwangoa pale,(Amos 9:14-15)
Hata katika Quran Allah anatambua kuwa Mwenyezi Mungu ndiye amewapa nchi hiyo Wana wa Israel,nchi takatifu,Q5:20-21,Q17:104 Kwa hiyo Wapalestina hawana chao pale!
Ndiyo maana Waarabu na Jumuia ya Kimataifa wamebaki wakikodoa macho tu wasijue cha kufanya ili kuwasaidia Wapalestina.
Kwa hiyo hakuna namna Waislamu mkubali hali tu hakuna namna.
Pili fahamu mgogoro wa Israeli na Wapalestina siyo wa kidini hata kidogo kama tunavyoutafsiri kwa kupotosha maandiko,kuna Wapalestina ambao ni Wakristo na kuna Wayahudi ambao ni Waislamu! Ni mgogoro wa kupigania ardhi.
 
Ni kweli mgogoro sio wa kidini kwa sababu
Hata Israel wapo waislamu na wasio na dini kabisa. Mgogoro wao ni wa kiasili na kijamii
 
Ww ni moja ya wale mnaoumwa mnaacha kwenda hospitali kisa Yesu atakuponya

Ni hasara kwa taifa
Hajajua hao madaktari na wanasayansi akili wamepewa na nani ili watengeze dawa za kutibu magonjwa. Mungu huyo mmoja.
 
Huu mgogoro hauishi leo wala kesho, just imagine mtoto anaona mzazi/ndugu ama mtoto mwenzake anavyouwawa na adui live bila chenga, hivi akikua anaweza sahau ya nyuma..??
Ndivyo vikundi vya migambo vinavyozidi na upande wa pili toka kitambo compulsory military service kwa kijana yeyote anayemaliza chuo, hiyo toka zamani. Huku wanakuza wao, kule vivyo hivyo!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…