Pia ilikuwa wajibu wa familia ya Ndugai kutafuta hela ,hakuna aliyezaliwa na hela inatafutwa
Mjinga hapendi wajinga wenzake.
So what....upuuzi mtupu
So wh
Familia ya watu wapumbavu hawatahiri hela,kazi yao ni umati ya tu,huyu sijui ana bahati gani kukutana na JiwePia ilikuwa wajibu wa familia ya Ndugai kutafuta hela ,hakuna aliyezaliwa na hela inatafutwa
Very sad and touching story to tell, na hii vijana wengi tu tumepitia kuna watu Shule tulikua tunawaita Wanubi (Nubians).Spika Ndugai amesema haya,
Katika maisha yangu sikuwahi kuwaza wala kuota kama nitakuwa Mwanasiasa, Mbunge na hata Spika ni Mungu tu ambaye katika uumbaji wake hutujua na kutupangia safari kadri anavyoona ni vyema, asanteni sana wana Kongwa, chama changu na Rais
Nakumbuka miaka niliyosoma Shule ya Msingi nilikuwa natembea Km 16 kwa siku 1, nimekulia maisha ya shida na dhiki, nikiwa mdogo nililala kwenye kitanda cha kamba na nyumba ya tembe, lakini baadaye nimesoma vyuo mbalimbali ndani na hata nje ya nchi
Nilipokuwa chuo cha MWEKA Moshi, nilikuwa mmoja wa Wanafunzi maskini sana, baadhi ya likizo sikuwa na nauli za kurudi Kongwa, nakumbuka jinsi ambavyo wenzangu walivyokuwa wakipanda magari kuondoka mimi nilikuwa najificha kwa aibu ya kuulizwa huna kwenu?
Mimi nyumbani nilikuwa mtoto wa pekee wa Mama yangu, tunapomaliza Bunge hili natamani ni-revenge sasa nirudi akanipokee, lakini bahati mbaya Mungu alishamchukua, kwahiyo wakati mwingine mnisamehe huwa napata hasira ninapokutana na mtu mjinga
Leo nimekuja na rafiki yangu, Mama umenivumilia sana, hata nilipokuwa ICU India alikuwa analala pembeni yangu masaa 24 amekaa kwenye kiti, amekuwa Daktari wangu muda wote, hakika wewe ni mke mwema, kwa kukopa maneno ya Dk Mpango, Asante sana kwa kunipa raha.
Huyo anajikosha kwa maovu aliyofanya kupitia hicho kiti na pia anatafuta huruma ili jamii imasamehe. Hana lolote.Very sad and touching story to tell, na hii vijana wengi tu tumepitia kuna watu Shule tulikua tunawaita Wanubi (Nubians).
Lakini moyoni walitamani sana kurudi makwao kuonana na familia zao. Funzo mnapopata nafasi huku ukubwani kumbukeni mlikotoka na mkumbuke mliopitia kuna watu wanapitia sasa.
Fanyeni kazi kwa kutanguliza utu.
Duh aiseeeeeee,, km 16 kwa wiki duh nikama kishiri na buhongwa