Freightliner
JF-Expert Member
- Aug 22, 2013
- 720
- 527
Kwa mashavu Yale akili itoke wapi
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Sidhani..yeye alikua anatoa historia yake,kitu ambacho mtu yoyote anaweza kufanya kulingana na utashi wake,mi sioni ajabuNdugai ana pepo la ufukara ndio maana ana chuki na wenye mafanikio kuliko yeye
Nimecheka kwa ngv Sana! DahOgopa mtu aliyeishi ICU miezi kadhaa, tena ICU nje ya nchi. Tayari ni mkazi wa dunia ingine. Ni 'mad' already and inferior.
HaaaaahaaaaaaaahaaaaaahaaaaahaaaaKwa mashavu Yale akili itoke wapi
Hahhahaa bujibuji weweNdugai ana pepo la ufukara ndio maana ana chuki na wenye mafanikio kuliko yeye
Ndugai ameacha Legacy ya kupigana majungu na umbea bungeni.
Ukimuona na vile alivyo mfupi bonge mweusiii kama ki kipipa cha lami
Sioni hoja ya maana hapa..hii ni Afrika yenye mchanganyiko wa watu wenye hali nzuri wachache na wengi maaikini?sasa maneno ya Ndugai kuibuka nayo jf si ni sawa na kukosa kazi tu
Mtu kutojua useme lipi, kwanini useme na kwa muda gani useme nini, hiyo ni sawa na kutokuwa na akili kichwani--- Ndugai bora arudishwe Mirembe ili bunge lijalo tuwe na mtu Sober.
Mashudu yale.Kwa mashavu Yale akili itoke wapi
Wagogo ndiyo walivyo,wewe angalia hawa ombaomba wa kigogo,ni wazima kabisa hawana ulemavu wala nini lakini wanajitoa ufahamu kuwa omba omba.Ni jambo la ajabu sana mtu kujivunia umaskini
Hizo ni chuki zako binafsi kwa faida yako..unadhani ukimchukia mtu wote watamuacha au MUNGU atamnyima kile alicho mpangia? vikishindikana usizalimishe kua na wivu,hamia mashambani ukalime huko hakuna stress na wivu wa maisha ya watu
JAH Rastafari Morning Africa.Trust JAH respect nature
Wagogo ndiyo walivyo,wewe angalia hawa ombaomba wa kigogo,ni wazima kabisa hawana ulemavu wala nini lakini wanajitoa ufahamu kuwa omba omba.
Huyo jamaa mnafiki sana, masters kasoma ESAM Arusha? Unajua gharama yakusoma pale hata cheti tu? Eti masikini?Bila shaka umesoma hitimisho langu...karma ikafanye kazi yake.
Kwa umasikini aliousimulia hakutakiwa abski legelege kiasi kile.
Ameliingiza taifa hasara nyingi.
Bunge halikuwa na kazi zaidi ya mipasho, kuoneana nk
Sent using Jamii Forums mobile app
Hukumsikia jana akisema anapata wapi nguvu ya kufanya anayoyafanya?Kwani huyo Muheshimiwa anaOMBA OMBA nini na kwa nani???[emoji1787]