Historia fupi ya maisha ya Spika Ndugai aliyoitoa bungeni. Asema alikuwa na maisha ya shida na dhiki

Historia fupi ya maisha ya Spika Ndugai aliyoitoa bungeni. Asema alikuwa na maisha ya shida na dhiki

Ndugai ana pepo la ufukara ndio maana ana chuki na wenye mafanikio kuliko yeye
Sidhani..yeye alikua anatoa historia yake,kitu ambacho mtu yoyote anaweza kufanya kulingana na utashi wake,mi sioni ajabu
 
Mjinga sina hamu naye kabisa,kipindi kile ndiyo yupo mwaka wake 5 au 10 bungeni alikuwa anapenda mademu.Alinipora demu wangu kwa mamlaka yake ya Ubunge tuu.Cha kushangaza mke wake na huyo demu walikuwa wanafanana lakini hawana undugu wowote.Mpaka leo sijawahi kumkubali huyu Shekhe mtu flani hivi M'babe,Mtemi,Ndumba kwa sana n.k.
 
Sioni hoja ya maana hapa..hii ni Afrika yenye mchanganyiko wa watu wenye hali nzuri wachache na wengi maaikini?sasa maneno ya Ndugai kuibuka nayo jf si ni sawa na kukosa kazi tu

Mtu kutojua useme lipi, kwanini useme na kwa muda gani useme nini, hiyo ni sawa na kutokuwa na akili kichwani--- Ndugai bora arudishwe Mirembe ili bunge lijalo tuwe na mtu Sober.
 
Alidhani atabaki milele pale mjengoni, asepe zake aje Spika mtenda haki kwa Taifa lake.
 
Hizo ni chuki zako binafsi kwa faida yako..unadhani ukimchukia mtu wote watamuacha au MUNGU atamnyima kile alicho mpangia? vikishindikana usizalimishe kua na wivu,hamia mashambani ukalime huko hakuna stress na wivu wa maisha ya watu
Mtu kutojua useme lipi, kwanini useme na kwa muda gani useme nini, hiyo ni sawa na kutokuwa na akili kichwani--- Ndugai bora arudishwe Mirembe ili bunge lijalo tuwe na mtu Sober.

JAH Rastafari Morning Africa.Trust JAH respect nature
 
Hizo ni chuki zako binafsi kwa faida yako..unadhani ukimchukia mtu wote watamuacha au MUNGU atamnyima kile alicho mpangia? vikishindikana usizalimishe kua na wivu,hamia mashambani ukalime huko hakuna stress na wivu wa maisha ya watu

JAH Rastafari Morning Africa.Trust JAH respect nature

Kwanini unanilaumu JAH Rastafar???--- Yeye mwenyewe kasema Bungeni anacho cheti cha Mirembe, sasa nenda kamuulize huyo Kipenzi chako hicho cheti cha Mirembe ni cheti gani??--- ni cheti cha kuzaliwa au cheti cha kuchukua posho ya chakula au ni cheti cha kuchukulia dawa??-- na ni dawa za nini???.

Tunahitaji hoja na ukweli sio mahaba yasiyokuwa na msingi.
 
Wagogo ndiyo walivyo,wewe angalia hawa ombaomba wa kigogo,ni wazima kabisa hawana ulemavu wala nini lakini wanajitoa ufahamu kuwa omba omba.

Kwani huyo Muheshimiwa anaOMBA OMBA nini na kwa nani???🤣
 
Bila shaka umesoma hitimisho langu...karma ikafanye kazi yake.
Kwa umasikini aliousimulia hakutakiwa abski legelege kiasi kile.
Ameliingiza taifa hasara nyingi.
Bunge halikuwa na kazi zaidi ya mipasho, kuoneana nk

Sent using Jamii Forums mobile app
Huyo jamaa mnafiki sana, masters kasoma ESAM Arusha? Unajua gharama yakusoma pale hata cheti tu? Eti masikini?
 
hiyo heading imenishtua mno

nikahisi kajamaa kame raipi in peace
 
Kuwa tajiri sio dhambi, acheni wivu na chuki kwa matajiri.
 
Back
Top Bottom