Historia Halisi yenye kusisimua kuhusu rapa Juice WRLD

Mimi nilijua huyu dogo alizioverdose tu ndio anadedi kumbe alibwia kete nyingi il kuficha ushahidi.
Vipi kuhusu wenzie walitiwa hatiani au waliachiwa?
Hao wengine waliachwa kwasababu ilionekana mwenye hatia ni Juice Wrld na ndio maana alikuwa anafanya attempt ya kuficha ushahidi

Lakini bado mpenzi wake Ally Lotti anaamini kuna mengi tusioyajua kuhusiana na kifo cha Juice na kudai yupo tayari kusema ila ahakikishiwe usalama kwanza.

Zipo habari zinazodai kifo cha Juice kilisababishwa na kundi lake la mtaani huko Chicago linalojulikana kama "No Limit Gang". Inadaiwa Juice alivyopata umaarufu alianza kutumia ishara ambazo kwenye hilo kundi walizitafsiri kama kejeli.
 
Kila mmoja alikua akilinda kibarua chake, rubani wangepoteza leseni endapo wangekutwa na hatia ya kubeba abiria wana drugs.

Juice naye akaona hapa naharibu career yangu yote, ukizingatia hayo mabegi yote waliyobeba ilikuwa hatari. Akaona a risk maisha yake...

Thats why nakubaliana na Jay z kwamba umaarufu ni kilevi kikali sana maradufu ya heroin...
 
Daamn! That's a wonderful coincidence.
 
Lakini kumbuka ma ofisa wa FBI na FAA pengine wasingefanya ukaguzi endapo marubani wa hiyo ndege wasinge toa tarifa

Marubani ndio walio snitch, sa sijui walifanya vile ili kujitoa kwenye msala endapo lolote lingetokea
 
Lakini kumbuka ma ofisa wa FBI na FAA pengine wasingefanya ukaguzi endapo marubani wa hiyo ndege wasinge toa tarifa

Marubani ndio walio snitch, sa sijui walifanya vile ili kujitoa kwenye msala endapo lolote lingetokea
Wangepoteza leseni, imagine wangepita kwenye ukaguzi kwa bahati mbaya kwao maafisa wakashtukia it means hata rubani waliowaleta wangekuwq kwenye msala.

Nchi za wenzetu masuala ya forensic wapo mbali sana.

Rubani walikua wakilinda kibarua chao. Walikuwa sawa...
 
Juice Wrld alikuwa muoga, katika carrier yake hajawahi kupatwa na misala ya kisheria wala kukaa jela

Hiyo ndio sababu ali panic kuwaona Feds nje na majibwa huku akijua akikutwa na vidhibiti basi atapigwa decades behind bars
 
Juice Wrld alikuwa muoga, katika carrier yake hajawahi kupatwa na misala ya kisheria wala kukaa jela

Hiyo ndio sababu ali panic kuwaona Feds nje na majibwa huku akijua akikutwa na vidhibiti basi atapigwa decades behind bars
Hao rubani nao was3nge tu, wangekausha au wangewapa warning, na utakuta ni pigs hao...

Lakini ndio hivyo kisheria walikuwa sawa...

Ila Juice nae, alitaka a fly high huku akiwa high, hapa ndipo naelewa kwa nini watu maarufu wananunua private jets kina drake..
Rubani aki snitch kibarua hana...

Ile starehe unapaa angani huku unatumia kilevi chako pendwa iwe pombe n.k
 
Sad african american wengi wenye fame wanakufa kiajabu ajabu sana

Uandishi mzuri boss kama uja copy na kupaste kudos
 
Juice Wrld_All girls are the same

Your browser is not able to play this audio.
 
Juice Wrld_Lucid dream
Your browser is not able to play this audio.
 
"I can't take one Percocet start tonight off I just took a sixty"

Burn
 
Scars[emoji119][emoji119][emoji119][emoji119]
Mkuu huyu msanii watu wanamchukulia kwa udogo sana lakini ana kipaji kikubwa sana

Leo hii ukitaja top ten ya wasanii wanaochana freestyle tena ukiunganisha hadi wale ma legend wa miaka ya 80 lakini juice humkosi

Eminem mwenyewe alivyoona dogo kachana freestyle kwenye beats zake katumia almost saa 1 na zaidi alimvulia kofia

Mwaka jana alimzidi hadi Ariana Grande kwa idadi ya unit certifications za RIAA alikuwa na 66.5 wakati Ariana Grande ana 63.5
 
kuna podcast ya bbc radio 1xtra wamemuelezea vizuri sana huyu mwamba na wenzake akina pop smoke,xxxtentacion na lil peep inaitwa "legends fall in the making",ni nzuri sana
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…