OllaChuga Oc
JF-Expert Member
- Jul 4, 2016
- 21,569
- 24,812
Juice ndio role model wa kina mbishi na songa?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Naona wakaamua wachukue kipande cha verse kwenye nyimbo ya Juice Wrld "Legends" kiwe ndio title ya kipindikuna podcast ya bbc radio 1xtra wamemuelezea vizuri sana huyu mwamba na wenzake akina pop smoke,xxxtentacion na lil peep inaitwa "legends fall in the making",ni nzuri sana
Ana nyimbo nyingi ambazo ni unreleased zinazotolewa na ma producer aliofanya nao kazi kipindi cha uhai wakeJuice wrld alikua mtu na nusu Asee[emoji91][emoji91][emoji91][emoji91]album zake zote ninazo sijaona kma juice
Tuletee na za pop smokeBaada ya kifo kuna conspiracy theory nyingi zilizo vuma zikimuhusisha Juice Wrld na ku fake kifo chake
Theory ni nyingi na zingine nimetaja kwenye post za juu alizojitabiria kufa katika umri wa miaka 21 kupitia mashairi yake
Lakini theory yenye ushawishi zaidi ni kupitia tweet yake ya 2017 aliposema mwenyewe kuwa akishakuwa maarufu ata fake kifo
View attachment 2316096
Nikki mbishi role model wake ni SEAN PRICEJuice ndio role model wa kina mbishi na songa?
Hizi ni mbwembwe tu wala hazina uhalisia wowote, wasanii wamekuwa wakitumia trick hii kuzua gumzo kwa mashabiki ili wasitoke midomoni mwa watuSema hawa madogo kina Lil Peep, XXX Tentacion,Juice World inasemekana walikua wame'sign under Satan ku'gain fame,,,Ebu Cheki hii video ya Xxx Tentacion
Huyo satan ana record label huko Marekani ?Sema hawa madogo kina Lil Peep, XXX Tentacion,Juice World inasemekana walikua wame'sign under Satan ku'gain fame,,,Ebu Cheki hii video ya Xxx Tentacion
[emoji1666][emoji109]Umetishaaa kinyamaa