Herbert Nkuluzi
JF-Expert Member
- Aug 10, 2015
- 2,592
- 2,629
Kule wenye akili wawili kakaUnaisahau vipi Simba, TP Mazembe na AS Vita au hizo zipo Afrika Magharibi?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kule wenye akili wawili kakaUnaisahau vipi Simba, TP Mazembe na AS Vita au hizo zipo Afrika Magharibi?
Unaongelea kombe la mbuzi la Mashood Abiola...Hakuna jipya hapo..... Simba ilishacheza fainali na stella abidjan mwaka 1993. na gormahia walichukua Kabisa..... yanga wengi ni mabwege hamna akili mnakurupuka sana... Hamburg takwimu za Mpira zipoje....
Hilo Kombe zamani lilijulikana kama Kombe la washindi barani Africa. Simba alicheza fainali na Stella Abdjan pale uwanja wa uhuru na huko Abdjan mwaka 2003. Hivyo hakuna jipya.
Huo mwaka hilo kombe halikuwepo. Michuano hii imeanzishwa mwaka 2004Hakuna jipya hapo..... Simba ilishacheza fainali na stella abidjan mwaka 1993. na gormahia walichukua Kabisa..... yanga wengi ni mabwege hamna akili mnakurupuka sana... Hamburg takwimu za Mpira zipoje....
Mfano wa kolo linalo teseka.Michuano mikubwa ni CHAMPIONS LEAGUE TU hizo nyingine ni ndondo cup.
Mkuu utaaibika, Gor Mahia waliibeba kabisa ndoo, achana na nusu fainali. Ni vyema ungejiridhisha kabla ya kuanzisha uzi
View attachment 2605446
ZIMA JENERETAKwa mara ya kwanza tangu soka lianze kuchezwa nchini Tanzania, Club yenye makazi yake Jangwani, Dar es salaam imefikia hatua ya nusi fainali katika michuano mikubwa barani Afrika.Hii ni baada ya kuifurumisha miamba ya soka kutoka nchini Nigeria kwa magoli 2.
Ikumbukwe kuwa hakuna timu yoyote imeshawahi kufuzu hatua hii katika michuano hii nchini na Afrika mashariki kiujumla.Hakika hii ni hatua kubwa.
Hongera kwa Young Africans SC
Hongera kwa viongozi wa soka Tanzania
Hongera watanzania wote kwa ujumla.
Kwa mara ya kwanza tangu soka lianze kuchezwa nchini Tanzania, Club yenye makazi yake Jangwani, Dar es salaam imefikia hatua ya nusi fainali katika michuano mikubwa barani Afrika.Hii ni baada ya kuifurumisha miamba ya soka kutoka nchini Nigeria kwa magoli 2.
Ikumbukwe kuwa hakuna timu yoyote imeshawahi kufuzu hatua hii katika michuano hii nchini na Afrika mashariki kiujumla.Hakika hii ni hatua kubwa.
Hongera kwa Young Africans SC
Hongera kwa viongozi wa soka Tanzania
Hongera watanzania wote kwa ujumla.
Lile kilikuwa bonanza sio official caf competitionHilo Kombe zamani lilijulikana kama Kombe la washindi barani Africa. Simba alicheza fainali na Stella Abdjan pale uwanja wa uhuru na huko Abdjan mwaka 2003. Hivyo hakuna jipya.
SioKwa mara ya kwanza tangu soka lianze kuchezwa nchini Tanzania, Club yenye makazi yake Jangwani, Dar es salaam imefikia hatua ya nusi fainali katika michuano mikubwa barani Afrika.Hii ni baada ya kuifurumisha miamba ya soka kutoka nchini Nigeria kwa magoli 2.
Ikumbukwe kuwa hakuna timu yoyote imeshawahi kufuzu hatua hii katika michuano hii nchini na Afrika mashariki kiujumla.Hakika hii ni hatua kubwa.
Hongera kwa Young Africans SC
Hongera kwa viongozi wa soka Tanzania
Hongera watanzania wote kwa ujumla.
Sio kweli, Simba walifika fainali 1993 link 1993 CAF Cup - WikipediaKwa mara ya kwanza tangu soka lianze kuchezwa nchini Tanzania, Club yenye makazi yake Jangwani, Dar es salaam imefikia hatua ya nusi fainali katika michuano mikubwa barani Afrika.Hii ni baada ya kuifurumisha miamba ya soka kutoka nchini Nigeria kwa magoli 2.
Ikumbukwe kuwa hakuna timu yoyote imeshawahi kufuzu hatua hii katika michuano hii nchini na Afrika mashariki kiujumla.Hakika hii ni hatua kubwa.
Hongera kwa Young Africans SC
Hongera kwa viongozi wa soka Tanzania
Hongera watanzania wote kwa ujumla.
CAF confederation cup limeanzishwa 2004Sio
Sio kweli, Simba walifika fainali 1993 link 1993 CAF Cup - Wikipedia
Simba pia walifika nusu fainali klabu bingwa ya Afrika 1974 na kutolewa na Mehalla ya Misri.
Gor Mahia ya Kenya walikuwa mabingwa CAF winners cup, sikumbuki mwaka
AaahaaaaaMichuano mikubwa ni CHAMPIONS LEAGUE TU hizo nyingine ni ndondo cup.
Asec si wapo mashindano kama Yanga ataitoa Marumo basi atamvaa Asec au Usm au RabatHivi wewe unaakili timamu kusema East Africa ? Halaf be smart basi, you should be very specific kuwa kwa upande wa SHIRIKISHO.
Pia tambua kuwa kumtoa Rivers sio kipimo cha ubora wenu , it is true kuwa Yanga this time ipo very lucky , njia yake ni rahisi na inatimu za kawaida sna.
Mfano Raja Kwenye Robo fainali angepangiwa na Simba , Nani angepita?
Hivyo njia ya Wydad kwenda Nusu Fainali ilikuwa ni rahis na inanafuu as compared na njia ya Raja
Wakati mwingine game ni bahati....... kwenye Champion tuliona Yanga alikutana na timu yenye hadhi kidogo tu, alitolewa kirahisi sana
Yanga angekutana na Asec tu wale , asingeenda nusu....... this time upepo ni wake na hii haimaanishi ubora kwake .
Tupunguze maneno while we know deep down kikosi cha Yanga ni kawaida na bado kipo kwa growth
Sio
Sio kweli, Simba walifika fainali 1993 link 1993 CAF Cup - Wikipedia
Simba pia walifika nusu fainali klabu bingwa ya Afrika 1974 na kutolewa na Mehalla ya Misri.
Gor Mahia ya Kenya walikuwa mabingwa CAF winners cup, sikumbuki mwaka
Watu wamecheza FAINAL wewe unashangaa Nusu fainalKwa mara ya kwanza tangu soka lianze kuchezwa nchini Tanzania, Club yenye makazi yake Jangwani, Dar es salaam imefikia hatua ya nusi fainali katika michuano mikubwa barani Afrika.Hii ni baada ya kuifurumisha miamba ya soka kutoka nchini Nigeria kwa magoli 2.
Ikumbukwe kuwa hakuna timu yoyote imeshawahi kufuzu hatua hii katika michuano hii nchini na Afrika mashariki kiujumla.Hakika hii ni hatua kubwa.
Hongera kwa Young Africans SC
Hongera kwa viongozi wa soka Tanzania
Hongera watanzania wote kwa ujumla.
Baada ya MIAKA 88Yanga ni mwendo wa kuvunja rekodi tu!
Mwakani tunaingia Champions league Kibabe Makolo waanze kutafuta kitu kipya Cha kujifariji maana wamebaki na matusi tu mpira umewashinda! Wamekandwa na wanaume Wydad mji mzima kimyaaaa!
Ulicheza fainali ya michuano ipi?Watu wamecheza FAINAL wewe unashangaa Nusu fainal
Mna haki kushangilia kwani ni Miaka 88 toka YANGA ianzishwe ndio imeingia Nusu Fainal AIBU
Mkuu nimekukosea nini?Sisi Yanga hatuongei na Division 5