Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Simba mna hasira hadi mnatia huruma, *****!! Wivu unaumiza kumoyo, *****!!. Wachawi wakubwa nyie, Shenzi type . Maneno meeengi na kupayukapayuka na ukiangalia mashabiki wengi wa Kolo wamepanuka midomo na wanapoongea mate yanaruka. Kwanza hata hapo mlipofika robo fainali ni zari/bahati tu.Sio caf sema kombe la shirikisho,luzaz kapu kenge wewe
Swali ni je Simba haikufika fainali? Achana na majina hayo yanaweza kubadilika wakati wowote. Yanga alilofanya si jipya. Wazee wa kimataifa walishafika huko.Sio kweli hili kombe lilikuwa linaitwa Africa cup winner's cup na sio hilo unalosemea wewe alilofika Simba fainali halikuwa kombe la shirikisho bali lilikuwa linaitwa CAF cup
Hahaha! Kubali tu Simba ni baba lao. Alishawatangulia huko zamani sana. Ita majina utakavyo, lakini ujue hakuna jipya.Lile kilikuwa bonanza sio official caf competition
Kombe la Washindi mwaka huo bingwa alikuwa Al Ahly... Klub bingwa Zamalek.. Simba alicheza fainali ya CAF CUP ... Bingwa akawa Stella.. miaka hiyo mashindano yalikuwa matatu 1)klabu bingwa, 2) kombe la Washindi na 3) CAF CUP.... Mwaka 2004 ndio CAF wakaunganisha kombe la Washindi na CAF CUP na kuitwa CONFEDERATION CUP....pole Sana....Hilo Kombe zamani lilijulikana kama Kombe la washindi barani Africa. Simba alicheza fainali na Stella Abdjan pale uwanja wa uhuru na huko Abdjan mwaka 2003. Hivyo hakuna jipya.
Hakuna Cha Karen ya ngapi.... Hao waliingia fainali CAF CUP sio Winner's Cup... Ni waongo ...Karne ya ngapi mkuu??
Lakini Simba alicheza fainali. Hivyo hakuna jipya.Kombe la Washindi mwaka huo bingwa alikuwa Al Ahly... Klub bingwa Zamalek.. Simba alicheza fainali ya CAF CUP ... Bingwa akawa Stella.. miaka hiyo mashindano yalikuwa matatu 1)klabu bingwa, 2) kombe la Washindi na 3) CAF CUP.... Mwaka 2004 ndio CAF wakaunganisha kombe la Washindi na CAF CUP na kuitwa CONFEDERATION CUP....pole Sana....
Hizo rekodi hawataki, ila ni sawasawa.Hilo Kombe zamani lilijulikana kama Kombe la washindi barani Africa. Simba alicheza fainali na Stella Abdjan pale uwanja wa uhuru na huko Abdjan mwaka 2003. Hivyo hakuna jipya.
😆Kwani timu gani inashiriki champion legue
Hata Nottingham Forest ana makombe na fainali nyingi Klub bingwa ULAYA kuliko arsenal na Chelsea na tots wako wapi.... Baki hapohapo ....tutawakuta .... Mtachagua timu mpaka fainali...Lakini Simba alicheza fainali. Hivyo hakuna jipya.
Unaweza kujiuliza kwanini Yanga hakufurukuta?Hata Nottingham Forest ana makombe na fainali nyingi Klub bingwa ULAYA kuliko arsenal na Chelsea na tots wako wapi.... Baki hapohapo ....tutawakuta .... Mtachagua timu mpaka fainali...
Tp Mazembe alibeba hili kombe Mara 3 na champions league Mara 5, vita fc hajafika nusu fainali ya hili kombe Bali alibeba mara moja kombe la champions league .Unaisahau vipi Simba, TP Mazembe na AS Vita au hizo zipo Afrika Magharibi?
usijitoe fahamu aise kutaka ujiridhishe.., ushawahi kufika nusu fainali Confederation Cup hii, acha kuunga unga mara cjui ilikuwa a, b, c....Lakini Simba alicheza fainali. Hivyo hakuna jipya.
Inaonekana tumewakera fc robo eeh??Hizo rekodi hawataki, ila ni sawasawa.
Unawakumbuka mlivyotomaswa kule Africa kusini ule msimu??Sio caf sema kombe la shirikisho,luzaz kapu kenge wewe
Wewe ndie unayejitoa ufahamu. Kombe ni lile lile, tofauti majina tu. Simba hamjaifikia bado, mpaka mfike fainali.usijitoe fahamu aise kutaka ujiridhishe.., ushawahi kufika nusu fainali Confederation Cup hii, acha kuunga unga mara cjui ilikuwa a, b, c....
Hapa tupo kwenye mashindano ya kombe la CAF confederation cup ambapo Yanga ndio timu pekee toka Africa Mashariki kufika nusu fainali. Wewe kama hukuwahi kufika nusu fainali kwenye michuano hii usiangaike. Hatuzungumzii nusu fainali ili mradi nusu fainali hapa. Tunaangalia record ya hii michuano anayoshiriki YangaSwali ni je Simba haikufika fainali? Achana na majina hayo yanaweza kubadilika wakati wowote. Yanga alilofanya si jipya. Wazee wa kimataifa walishafika huko.
Saivi mnashiriki ligi gani au ndo NBC?SIMBA TUNACHEZA SUPER CUP KOMBE LA VILABU 8 VIKUBWA.
MFUKONI TUSHAPEWA BILIONI4.
KUFIKA ROBO BILIONI 1 NA MILIONI MIA TANO..500
Yanga hapo Ina Milioni mia nane
SIMBA IMECHEZA NUSU FAINALI CAFCL 1974.
SIMBA IMECHEZA FAINALI KOMBE LA WASHINDI 1993.
HIVYO BASI MSILISHWE MATANGO POLI NA HAJI MANARA
Ndio maana anasema wenye akili ni 2.