Historia imeandikwa. Yanga imekuwa timu ya kwanza Afrika Mashariki na Kati kutinga hatua ya Nusu Fainali CAF

Historia imeandikwa. Yanga imekuwa timu ya kwanza Afrika Mashariki na Kati kutinga hatua ya Nusu Fainali CAF

Sio caf sema kombe la shirikisho,luzaz kapu kenge wewe
 
Sio caf sema kombe la shirikisho,luzaz kapu kenge wewe
Simba mna hasira hadi mnatia huruma, *****!! Wivu unaumiza kumoyo, *****!!. Wachawi wakubwa nyie, Shenzi type . Maneno meeengi na kupayukapayuka na ukiangalia mashabiki wengi wa Kolo wamepanuka midomo na wanapoongea mate yanaruka. Kwanza hata hapo mlipofika robo fainali ni zari/bahati tu.

Na kwa taarifa yenu tutafika fainali na tunaweza hata kuchukuwa kombe. Nadhani mtapata ugonjwa wa kiharusi sababu ya GUBU na WIVU
 
Sio kweli hili kombe lilikuwa linaitwa Africa cup winner's cup na sio hilo unalosemea wewe alilofika Simba fainali halikuwa kombe la shirikisho bali lilikuwa linaitwa CAF cup
Swali ni je Simba haikufika fainali? Achana na majina hayo yanaweza kubadilika wakati wowote. Yanga alilofanya si jipya. Wazee wa kimataifa walishafika huko.
 
Hilo Kombe zamani lilijulikana kama Kombe la washindi barani Africa. Simba alicheza fainali na Stella Abdjan pale uwanja wa uhuru na huko Abdjan mwaka 2003. Hivyo hakuna jipya.
Kombe la Washindi mwaka huo bingwa alikuwa Al Ahly... Klub bingwa Zamalek.. Simba alicheza fainali ya CAF CUP ... Bingwa akawa Stella.. miaka hiyo mashindano yalikuwa matatu 1)klabu bingwa, 2) kombe la Washindi na 3) CAF CUP.... Mwaka 2004 ndio CAF wakaunganisha kombe la Washindi na CAF CUP na kuitwa CONFEDERATION CUP....pole Sana....
 
Lakini Simba alicheza fainali. Hivyo hakuna jipya.
 
Hilo Kombe zamani lilijulikana kama Kombe la washindi barani Africa. Simba alicheza fainali na Stella Abdjan pale uwanja wa uhuru na huko Abdjan mwaka 2003. Hivyo hakuna jipya.
Hizo rekodi hawataki, ila ni sawasawa.
 
Hata Nottingham Forest ana makombe na fainali nyingi Klub bingwa ULAYA kuliko arsenal na Chelsea na tots wako wapi.... Baki hapohapo ....tutawakuta .... Mtachagua timu mpaka fainali...
Unaweza kujiuliza kwanini Yanga hakufurukuta?
 
Unaisahau vipi Simba, TP Mazembe na AS Vita au hizo zipo Afrika Magharibi?
Tp Mazembe alibeba hili kombe Mara 3 na champions league Mara 5, vita fc hajafika nusu fainali ya hili kombe Bali alibeba mara moja kombe la champions league .
Simba alifika fainali ya kombe la Mashood abiola caf cup linahusisha washindi wa pili wa league za mataifa ambapo kwa Tanzania mshindi wa league alikuwa Yanga
 
SIMBA TUNACHEZA SUPER CUP KOMBE LA VILABU 8 VIKUBWA.
MFUKONI TUSHAPEWA BILIONI4.
KUFIKA ROBO BILIONI 1 NA MILIONI MIA TANO..500

Yanga hapo Ina Milioni mia nane

SIMBA IMECHEZA NUSU FAINALI CAFCL 1974.

SIMBA IMECHEZA FAINALI KOMBE LA WASHINDI 1993.

HIVYO BASI MSILISHWE MATANGO POLI NA HAJI MANARA

Ndio maana anasema wenye akili ni 2.
 
Swali ni je Simba haikufika fainali? Achana na majina hayo yanaweza kubadilika wakati wowote. Yanga alilofanya si jipya. Wazee wa kimataifa walishafika huko.
Hapa tupo kwenye mashindano ya kombe la CAF confederation cup ambapo Yanga ndio timu pekee toka Africa Mashariki kufika nusu fainali. Wewe kama hukuwahi kufika nusu fainali kwenye michuano hii usiangaike. Hatuzungumzii nusu fainali ili mradi nusu fainali hapa. Tunaangalia record ya hii michuano anayoshiriki Yanga
 
SIMBA TUNACHEZA SUPER CUP KOMBE LA VILABU 8 VIKUBWA.
MFUKONI TUSHAPEWA BILIONI4.
KUFIKA ROBO BILIONI 1 NA MILIONI MIA TANO..500

Yanga hapo Ina Milioni mia nane

SIMBA IMECHEZA NUSU FAINALI CAFCL 1974.

SIMBA IMECHEZA FAINALI KOMBE LA WASHINDI 1993.

HIVYO BASI MSILISHWE MATANGO POLI NA HAJI MANARA

Ndio maana anasema wenye akili ni 2.
Saivi mnashiriki ligi gani au ndo NBC?
 
Back
Top Bottom