Historia imeandikwa. Yanga imekuwa timu ya kwanza Afrika Mashariki na Kati kutinga hatua ya Nusu Fainali CAF

Hilo Kombe zamani lilijulikana kama Kombe la washindi barani Africa. Simba alicheza fainali na Stella Abdjan pale uwanja wa uhuru na huko Abdjan mwaka 2003. Hivyo hakuna jipya.

Sio kweli hili kombe lilikuwa linaitwa Africa cup winner's cup na sio hilo unalosemea wewe alilofika Simba fainali halikuwa kombe la shirikisho bali lilikuwa linaitwa CAF cup
 
ZIMA JENERETA
 

Hivi wewe unaakili timamu kusema East Africa ? Halaf be smart basi, you should be very specific kuwa kwa upande wa SHIRIKISHO.

Pia tambua kuwa kumtoa Rivers sio kipimo cha ubora wenu , it is true kuwa Yanga this time ipo very lucky , njia yake ni rahisi na inatimu za kawaida sna.

Mfano Raja Kwenye Robo fainali angepangiwa na Simba , Nani angepita?

Hivyo njia ya Wydad kwenda Nusu Fainali ilikuwa ni rahis na inanafuu as compared na njia ya Raja

Wakati mwingine game ni bahati....... kwenye Champion tuliona Yanga alikutana na timu yenye hadhi kidogo tu, alitolewa kirahisi sana

Yanga angekutana na Asec tu wale , asingeenda nusu....... this time upepo ni wake na hii haimaanishi ubora kwake .

Tupunguze maneno while we know deep down kikosi cha Yanga ni kawaida na bado kipo kwa growth
 
Hilo Kombe zamani lilijulikana kama Kombe la washindi barani Africa. Simba alicheza fainali na Stella Abdjan pale uwanja wa uhuru na huko Abdjan mwaka 2003. Hivyo hakuna jipya.
Lile kilikuwa bonanza sio official caf competition
 
Sio
Sio kweli, Simba walifika fainali 1993 link 1993 CAF Cup - Wikipedia
Simba pia walifika nusu fainali klabu bingwa ya Afrika 1974 na kutolewa na Mehalla ya Misri.
Gor Mahia ya Kenya walikuwa mabingwa CAF winners cup, sikumbuki mwaka
 
Asec si wapo mashindano kama Yanga ataitoa Marumo basi atamvaa Asec au Usm au Rabat
 
Sio

Sio kweli, Simba walifika fainali 1993 link 1993 CAF Cup - Wikipedia
Simba pia walifika nusu fainali klabu bingwa ya Afrika 1974 na kutolewa na Mehalla ya Misri.
Gor Mahia ya Kenya walikuwa mabingwa CAF winners cup, sikumbuki mwaka

Caf cup sio sawasawa na kombe shirikisho. Kombe la shirikisho lilikuwa linaitwa Africa cup winner's cup.
Ni kweli Gor Mahia waliwahi kuchukua kombe la Africa cup winner's cup mwaka 1987. Lakini mashindano ya CAF confederation cup yameanzishwa mwaka 2004 na Yanga ndio timu ya kwanza kucheza nusu fainali kwa Africa mashariki.
 
Watu wamecheza FAINAL wewe unashangaa Nusu fainal
Mna haki kushangilia kwani ni Miaka 88 toka YANGA ianzishwe ndio imeingia Nusu Fainal AIBU
 
Yanga ni mwendo wa kuvunja rekodi tu!

Mwakani tunaingia Champions league Kibabe Makolo waanze kutafuta kitu kipya Cha kujifariji maana wamebaki na matusi tu mpira umewashinda! Wamekandwa na wanaume Wydad mji mzima kimyaaaa!
Baada ya MIAKA 88
 
YOUNG AFRICANS SC TO THE SEMI-FINAL....
πŸ”°πŸ”°πŸ”°πŸ”°πŸ”°πŸ”°πŸ”°πŸ”°πŸ”°πŸ”°πŸ”°πŸ”°πŸ”°πŸ”°πŸ”°πŸ”°πŸ”°πŸ”°πŸ”°πŸ”°πŸ”°πŸ”°πŸ”°πŸ”°πŸ”°πŸ”°πŸ”°πŸ”°πŸ”°πŸ”°πŸ”°πŸ”°πŸ”°πŸ”°πŸ”°πŸ”°πŸ”°πŸ”°πŸ”°πŸ”°πŸ”°πŸ”°πŸ”°πŸ”°πŸ”°πŸ”°πŸ”°πŸ”°πŸ”°πŸ”°πŸ”°πŸ”°πŸ”°πŸ”°πŸ”°πŸ”°πŸ”°πŸ”°πŸ”°πŸ”°πŸ”°πŸ”°πŸ”°πŸ”°
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…