Historia itakukumbuka Mbowe kwa kuyasaliti Mageuzi

Maridhiano maana yake Ni compromise..yaani mnakubaliana Kila mtu kukubali kupoteza au kupunguza baadhi ya misimamo au vitu au misingi ili mkutane katikati..

Na Mimi Nina wasiwasi na matokeo ya compromise.. lakini naona tuwaache CDM wapate angalau nusu na wapoteze nusu kuliko kupoteza kilakitu Kama kipindi Cha magufuli..
Lakini Ni kweli kabisa Lowassa alileta matatizo makubwa ndani ya CDM na ngumu kuyaondoa..
lowassa alileta matatizo yakufikirika na wapumbavu wa sukuma gang ndio maana mliaminishwa chadema kuwa imekufa na yule mpuuz mliyemzika chato matokeo yake akatepeta kama mlenda zikamshinda kampeni kuzunguka nchi nzima matokeo yake akafanya ujambaz wa kura tukamuomba Mungu aliuwe na kweli akaliuwa.
 
Kipindi cha kuelekea uchaguzi mkuu wa 2015, CCM ilikuwa imevurugika kwa mgogoro wa ndani kwa ndani na kulikuwa na tishio la kugawanyika pande mbili na moja ya mambo yaliyowashangaza wengi ni uamuzi wa CHADEMA chini ya Mwenyekiti Mbowe kumpokea Edward Lowassa na kumfanya mgombea uraisi. Hapo hapo muungano wa vyama vya upinzani ukafa rasmi huku kiongozi muhimu wa CHADEMA Wilbroad Slaa akijitenga na chama.

Lowassa hakuhama na wimbi la vigogo wa CCM. Badala yake uamuzi ule ulirudisha amani ndani ya CCM na kuwarudisha kuwa kitu kimoja na ilipelekea ushindi wa CCM katika uchaguzi mkuu.

Wengi wanaweza kuongelea kura nyingi na wabunge wengi ambao CHADEMA ilipata kuliko kipindi kingine chochote ila faida hiyo haikudumu hata miaka 5 maana kuna wengi, ikiwemo Lowassa mwenyewe waliamua kuunga mkono juhudi na kurudi CCM. Unaweza kusema "in the long term", CHADEMA walipoteza zaidi ya kupata kwa uamuzi ule wa 2015.

Madhara yake CHADEMA kilionekana ni chama ambacho hakina misimamo, kilionekana ni chama cha walaghai, chama kinachoweza kununulika. Lebo hii itaendelea kukiandama chama siku zote za maisha yake.

Baada ya kifo cha Rais John Magufuli, CCM ilikuwa kwenye hali mbaya sana kisiasa. Mazingira ya kifo chake yalichagiza uwezekano wa mtifuano mkubwa ndani ya chama. CHADEMA walipata ahueni kutokana na kuondoka kwa mtesi wao ila wakati huo huo Rais Magufuli bado alikuwa na wafuasi wengi ndani ya CCM. Wale vigogo ambao Magufuli alionekana wazi kuwapinga ndani ya chama walionekana kurudi kwa kasi na mgawanyiko mkubwa ulikuwa unajongea ndani ya CCM. Mwenyekiti Mbowe kwa mara nyingine akawa mfariji na mwokozi wa CCM. Mbowe kupitia maridhiano akakiongoza CHADEMA kufanya maamuzi ya kuituliza CCM na mpaka leo CHADEMA inatumika kama nyenzo ya kuangamiza maadui ya wale wanaoiongoza CCM kwa sasa.

Naelewa CHADEMA iliumizwa sana kipindi cha 2015-2021. Wanachama wake ikiwemo viongozi walikuwa na madai mengi ikiwemo madai binafsi ya kudhulumiwa na kuharibiwa biashara zao. Bila kuonyesha ni jinsi gani wale waliotenda ubaya na kuvunja katiba na sheria za nchi wamewajibishwa (au kujitokeza rasmi na kukiri makosa yao na hatimaye kujiuzulu nyadhfa zao), maridhiano yoyote yanayoendelea ni ulaghai tu.

Siasa za kukikumbatia chama tawala hazijawahi kuwa njema katika mustakabali wa kutetea demokrasia na utawala bora. Siasa za namna hii siku zote zimekuwa siasa zinazofanywa na mapandikizi, walaghai na wale wasio na nia njema ya kutetea haki na uwajibikaji.

Bila mashinikizo ya kisiasa, CCM haiwezi kamwe kuleta mabadiliko ya msingi ya kisiasa na kiutawala katika nchi. Inapotokea nafasi za kipekee za kufanya mashinikizo hayo halafu mtu anakuja kukimbilia "maridhiano" badala ya kutake advantage ya hali mbaya ya kisiasa ndani ya chama tawala, wanamageuzi wengi tunaanza kutilia mashaka uadilifu wa baadhi ya viongozi wa CHADEMA tukianzia na Mwenyekiti Mbowe.

Ahadi za katiba mpya, tume huru ya uchaguzi na mabadiliko ya kweli ya kisiasa, kiutawala na nyanja nyingine kama elimu na uchumi haziwezi kamwe kutimizwa kwa njia hizi tunazoahidiwa.

Mwenyekiti Mbowe, kwa maamuzi uliyoyasimamia kipindi hiki cha miaka 8 iliyopita, historia itakuhukumu vibaya kama msaliti wa mageuzi ya nchi hii.
Ndeeeeeefu, kumbe upuuzi mtupu. Wahafidhina watupu!!!
 
Hata alipokuwa mbunge na KUB alikuwa mwenyewe. Ama uliwahi kumuona huko bungeni akiwa anawanunulia wananchi chakula, ama kuwapa lifti kwenye lile VX?
sasa kama alikuwa peke yake wewe unawashwa nin na wapumbavu wenzio sukuma gang mliozoea kuuwa watu ili mpaye teuz na yule mpuuz mliyemzika chato.
 
Pumba nyingii....wakati mbowe anavunjiwa bilicanas uliandika? Wakati mwendazake ana block acc zake zote uliandika? Wakati wanangoa mboga mboga gleen house uliandika? Wakati Mbowe anapewa Ugaidi uliandika?

Leo mama Samia kuanza tu maridhiano maneno..

Bata nyie.
 
ambayo sukuma gang mlizoe kulamba kipindi cha mbwa mliyemzika chato saiv mnajambajamba hata teuz zinawapita mnazeekea mitandaon kufikia 2025 mtatoweka wote.
CCm mavyeo ni mengi mno nikikosa Leo kesho ntapata ni suala la muda tu.
 
We
Lazimisha mabasha kinguvu hapa jukwaani, tuko tumejaa tele. Usijelia ukikuta tumeziba hilo shimo la tope hapo nyuma na mti.
Endelea kunitega tu na hilo jora lako make nakuchora tu hata chupi hujavaa muda si mrefu nakusukumia konga.
 
Kipindi cha kuelekea uchaguzi mkuu wa 2015, CCM ilikuwa imevurugika kwa mgogoro wa ndani kwa ndani na kulikuwa na tishio la kugawanyika pande mbili na moja ya mambo yaliyowashangaza wengi ni uamuzi wa CHADEMA chini ya Mwenyekiti Mbowe kumpokea Edward Lowassa na kumfanya mgombea uraisi. Hapo hapo muungano wa vyama vya upinzani ukafa rasmi huku kiongozi muhimu wa CHADEMA Wilbroad Slaa akijitenga na chama.

Lowassa hakuhama na wimbi la vigogo wa CCM. Badala yake uamuzi ule ulirudisha amani ndani ya CCM na kuwarudisha kuwa kitu kimoja na ilipelekea ushindi wa CCM katika uchaguzi mkuu.

Wengi wanaweza kuongelea kura nyingi na wabunge wengi ambao CHADEMA ilipata kuliko kipindi kingine chochote ila faida hiyo haikudumu hata miaka 5 maana kuna wengi, ikiwemo Lowassa mwenyewe waliamua kuunga mkono juhudi na kurudi CCM. Unaweza kusema "in the long term", CHADEMA walipoteza zaidi ya kupata kwa uamuzi ule wa 2015.

Madhara yake CHADEMA kilionekana ni chama ambacho hakina misimamo, kilionekana ni chama cha walaghai, chama kinachoweza kununulika. Lebo hii itaendelea kukiandama chama siku zote za maisha yake.

Baada ya kifo cha Rais John Magufuli, CCM ilikuwa kwenye hali mbaya sana kisiasa. Mazingira ya kifo chake yalichagiza uwezekano wa mtifuano mkubwa ndani ya chama. CHADEMA walipata ahueni kutokana na kuondoka kwa mtesi wao ila wakati huo huo Rais Magufuli bado alikuwa na wafuasi wengi ndani ya CCM. Wale vigogo ambao Magufuli alionekana wazi kuwapinga ndani ya chama walionekana kurudi kwa kasi na mgawanyiko mkubwa ulikuwa unajongea ndani ya CCM. Mwenyekiti Mbowe kwa mara nyingine akawa mfariji na mwokozi wa CCM. Mbowe kupitia maridhiano akakiongoza CHADEMA kufanya maamuzi ya kuituliza CCM na mpaka leo CHADEMA inatumika kama nyenzo ya kuangamiza maadui ya wale wanaoiongoza CCM kwa sasa.

Naelewa CHADEMA iliumizwa sana kipindi cha 2015-2021. Wanachama wake ikiwemo viongozi walikuwa na madai mengi ikiwemo madai binafsi ya kudhulumiwa na kuharibiwa biashara zao. Bila kuonyesha ni jinsi gani wale waliotenda ubaya na kuvunja katiba na sheria za nchi wamewajibishwa (au kujitokeza rasmi na kukiri makosa yao na hatimaye kujiuzulu nyadhfa zao), maridhiano yoyote yanayoendelea ni ulaghai tu.

Siasa za kukikumbatia chama tawala hazijawahi kuwa njema katika mustakabali wa kutetea demokrasia na utawala bora. Siasa za namna hii siku zote zimekuwa siasa zinazofanywa na mapandikizi, walaghai na wale wasio na nia njema ya kutetea haki na uwajibikaji.

Bila mashinikizo ya kisiasa, CCM haiwezi kamwe kuleta mabadiliko ya msingi ya kisiasa na kiutawala katika nchi. Inapotokea nafasi za kipekee za kufanya mashinikizo hayo halafu mtu anakuja kukimbilia "maridhiano" badala ya kutake advantage ya hali mbaya ya kisiasa ndani ya chama tawala, wanamageuzi wengi tunaanza kutilia mashaka uadilifu wa baadhi ya viongozi wa CHADEMA tukianzia na Mwenyekiti Mbowe.

Ahadi za katiba mpya, tume huru ya uchaguzi na mabadiliko ya kweli ya kisiasa, kiutawala na nyanja nyingine kama elimu na uchumi haziwezi kamwe kutimizwa kwa njia hizi tunazoahidiwa.

Mwenyekiti Mbowe, kwa maamuzi uliyoyasimamia kipindi hiki cha miaka 8 iliyopita, historia itakuhukumu vibaya kama msaliti wa mageuzi ya nchi hii.
Nakuelewa maumivu uliyonayo Sukuma gang member.
-Kwanza Slaa alikuwa ni pandikizi ambaye alikuwa hajastukiwa, kuunga mkono juhudi(kuungana na muuaji aliyekuwa akiua viongozi waandamizi wa CHADEMA) kulidhihirisha rangi zake halisi hivyo CHADEMA inawabidi kushukuru kuondoka kwake kwani walikuwa na a two headed serpent in the team. Ilikuwa ni faida kubwa kuondoka kwake.
-Ni kweli mchango wa Lowasa kwenye uchaguzi wa 2015 ulikuwa mkubwa sana(japo mimi binafsi sikumkubali kabisa kama ambavyo huwa simkubali mwanasiasa yoyote anayehama chama kwa sababu zake binafsi) na hata 2020 kungekuwa na uchaguzi(ule puuzi uliofanyika haukuwa uchaguzi) nguvu yao ingekuwa kubwa zaidi ya ile ya 2015.
-Mbowe hajawahi kuwa sellout(hawezi kuisaliti CHADEMA na ushahidi ni kelele za CCM especially Sukuma gang kutaka aachie ngazi wakati wenyewe CDM wanang'ang'ania aendelee kuwa chairman wao), CCM wanataka CDM wawe na mwenyekiti ambaye wakifika bei atakisaliti chama. Mbowe kafanyiwa kila aina ya figisu za kumdhoofisha kiuchumi ili aunge mkono juhudi lakini akaamua kukubali hasara na kutoyumbishwa kimsimamo(Billicanas, greenhouse na bank accounts zake) na kudhihirisha hayo wanaolalama(kinafiki of course) ni watu wasiotakia mema opposition parties movements. Hao wanaosema Mbowe anasaliti struggles kichekesho utakuta wanamsifia Lipumba au Slaa kwa kuwa hao ni wasaliti pure na ndiyo hupendwa na CCM pamoja na Sukuma gang(hawa hatuwahesabu kama CCM kwa sasa)
-Ukiona Sukuma gang au CCM wanamshambulia Mbowe ujue kuwa wanateseka naye na yuko kwenye njia sahihi hivyo wanahaha namna ya kumtoa kwenye reli(mind game).
 
Kama angekua na uchaguzi wa Haki na Tume huru Mwaka 2015 Lowasa aliwabwaga Kwa mbali sana wagombea wa vyama vyote Kwa ujumla wake.

Kwa hiyo suala la Lowasa ni suala la kimageuzi.

Hakuna Chama Cha Upinzani pekee kinachoweza kushinda bila kuwa na wanaotika Chama tawala.

Ndani ya Chama tawala ndio utakuta ndugu ambao ni Wakurugenzi, Wakuu wa vyombo vya ulinzi na usalama , ndani ya TISS unakuta ndugu wa walioko CCM .

Hivi bila kushirikiana na wanaotika CCM unategemea ni Lina Utakuta watu ndani ya Dola ambao ni ndugu na watawala au hata majaji.

Lowasa alikua anapokelewa na RPC na OCD kila alipokwenda na mikutano yake ilikua na ulinzi mkubwa tofauti na Lisu alipigwa mabomu na kushushwa jukwaani mana Polisi wenyewe TU walikua hawana urafiki Wala undugu wa karibu na Lisu. Kwa siasa za kujipemdekeza za Afrika wanaomzuia mtu nje ya mfumo kushika madaraka ni vyombo va Dola Kwa maslahi yao na watawala.

Mpinzani atakayeiangusha CCM ni yule atakayetola ndani ya CCM na sio vinginevyo. Ni lazima CCM imeguke Kwa mmeguko mkubwa sana ndio Upinzani utashinda . Ni lazima pawe na kushirikiana kati ya wasiokuikubali serikali ndani ya CCM na wapinzani .
Kujidanganya kuwa Kuna Upinzani utakaoishinda CCM iliyoungana ni kuwahadaa wananchi. Ili mtu atoke CCM au aende CCM ni lazima pawe na makubaliano ya kupata nafasi ya uongozi. Hata JPM aliwaahidi vyeo waliohamia CCM pamoja na pesa juu .
 
ccm ni genge la wapumbavu hasa sukuma gang tunawakomesha kabisa na ikifika 2025 mtakufa kwa sonona maana sonona imewakumba.
Dola yetu, mkurugenzi tunamlipa Sisi halafu ututishie 2025? Sana Sana labda tutawabalansia hata vijimbo kumi ili mpate pa kulambia asali
 
Uzi umegeuka kuwa wa Moto Sana ,,siasa za nchi hii za hovyo Sana ..

Wanamapambio wapo kila mahali Chadema na Ccm ,, Uzalendo wa Nchi umelalia kwenye Mahaba ya vyama kuliko kuipenda Nchi ...Upuuzi mtupu.
 
Kipindi cha kuelekea uchaguzi mkuu wa 2015, CCM ilikuwa imevurugika kwa mgogoro wa ndani kwa ndani na kulikuwa na tishio la kugawanyika pande mbili na moja ya mambo yaliyowashangaza wengi ni uamuzi wa CHADEMA chini ya Mwenyekiti Mbowe kumpokea Edward Lowassa na kumfanya mgombea uraisi. Hapo hapo muungano wa vyama vya upinzani ukafa rasmi huku kiongozi muhimu wa CHADEMA Wilbroad Slaa akijitenga na chama.

Lowassa hakuhama na wimbi la vigogo wa CCM. Badala yake uamuzi ule ulirudisha amani ndani ya CCM na kuwarudisha kuwa kitu kimoja na ilipelekea ushindi wa CCM katika uchaguzi mkuu.

Wengi wanaweza kuongelea kura nyingi na wabunge wengi ambao CHADEMA ilipata kuliko kipindi kingine chochote ila faida hiyo haikudumu hata miaka 5 maana kuna wengi, ikiwemo Lowassa mwenyewe waliamua kuunga mkono juhudi na kurudi CCM. Unaweza kusema "in the long term", CHADEMA walipoteza zaidi ya kupata kwa uamuzi ule wa 2015.

Madhara yake CHADEMA kilionekana ni chama ambacho hakina misimamo, kilionekana ni chama cha walaghai, chama kinachoweza kununulika. Lebo hii itaendelea kukiandama chama siku zote za maisha yake.

Baada ya kifo cha Rais John Magufuli, CCM ilikuwa kwenye hali mbaya sana kisiasa. Mazingira ya kifo chake yalichagiza uwezekano wa mtifuano mkubwa ndani ya chama. CHADEMA walipata ahueni kutokana na kuondoka kwa mtesi wao ila wakati huo huo Rais Magufuli bado alikuwa na wafuasi wengi ndani ya CCM. Wale vigogo ambao Magufuli alionekana wazi kuwapinga ndani ya chama walionekana kurudi kwa kasi na mgawanyiko mkubwa ulikuwa unajongea ndani ya CCM. Mwenyekiti Mbowe kwa mara nyingine akawa mfariji na mwokozi wa CCM. Mbowe kupitia maridhiano akakiongoza CHADEMA kufanya maamuzi ya kuituliza CCM na mpaka leo CHADEMA inatumika kama nyenzo ya kuangamiza maadui ya wale wanaoiongoza CCM kwa sasa.

Naelewa CHADEMA iliumizwa sana kipindi cha 2015-2021. Wanachama wake ikiwemo viongozi walikuwa na madai mengi ikiwemo madai binafsi ya kudhulumiwa na kuharibiwa biashara zao. Bila kuonyesha ni jinsi gani wale waliotenda ubaya na kuvunja katiba na sheria za nchi wamewajibishwa (au kujitokeza rasmi na kukiri makosa yao na hatimaye kujiuzulu nyadhfa zao), maridhiano yoyote yanayoendelea ni ulaghai tu.

Siasa za kukikumbatia chama tawala hazijawahi kuwa njema katika mustakabali wa kutetea demokrasia na utawala bora. Siasa za namna hii siku zote zimekuwa siasa zinazofanywa na mapandikizi, walaghai na wale wasio na nia njema ya kutetea haki na uwajibikaji.

Bila mashinikizo ya kisiasa, CCM haiwezi kamwe kuleta mabadiliko ya msingi ya kisiasa na kiutawala katika nchi. Inapotokea nafasi za kipekee za kufanya mashinikizo hayo halafu mtu anakuja kukimbilia "maridhiano" badala ya kutake advantage ya hali mbaya ya kisiasa ndani ya chama tawala, wanamageuzi wengi tunaanza kutilia mashaka uadilifu wa baadhi ya viongozi wa CHADEMA tukianzia na Mwenyekiti Mbowe.

Ahadi za katiba mpya, tume huru ya uchaguzi na mabadiliko ya kweli ya kisiasa, kiutawala na nyanja nyingine kama elimu na uchumi haziwezi kamwe kutimizwa kwa njia hizi tunazoahidiwa.

Mwenyekiti Mbowe, kwa maamuzi uliyoyasimamia kipindi hiki cha miaka 8 iliyopita, historia itakuhukumu vibaya kama msaliti wa mageuzi ya nchi hii.

Tatizo lenu mnashauri Sana mkiwa kwenye keyboard, ilitakiwa muoneshe kwa vitendo hayo mnayosema

Mbowe amechoka kukaa jela, amechoka biashara zake kutaifishwa

Wengine pakichafuka wanaenda canada, na nyie mnajificha kwenye keyboard tu

Yy ndio anafungwa anakaa jela

Sasa ameamua kufanya Jambo jema
Kama mnaona Yuko wrong hamia cuf
 
Back
Top Bottom