Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kweli chadema wanaamini kwenye uchadema zaidi kuliko upinzani.Tatizo lenu mnashauri Sana mkiwa kwenye keyboard, ilitakiwa muoneshe kwa vitendo hayo mnayosema
Mbowe amechoka kukaa jela, amechoka biashara zake kutaifishwa
Wengine pakichafuka wanaenda canada, na nyie mnajificha kwenye keyboard tu
Yy ndio anafungwa anakaa jela
Sasa ameamua kufanya Jambo jema
Kama mnaona Yuko wrong hamia cuf
Makamanda feki hoja zimewaishia mmebaki na matusi.huyo bwabwa aliyezoea kunufaika na upumbavu wa nduli magufuli phd fake akianzisha chama nayembea kwa mguu kuanzia nyakabindi Bariadi hadi Nyamonge kule lunzewe.
Makamanda hawakumpelekea hata nyagi alipokuwa lupango, sasa muda wote huo bila kilaji eti kwa maslahi ya chama, nani ataweza? Jamaa uzalendo ukamshindaAsali tamu kuliko bia!
Mimi niliwahi kumpelekea asaliAlipoitwa gaidi uliwahi hata kwenda mahakamani kusikiliza drama za policcm?
Wajinga wako wengi na wewe ni mmojawao.Kipindi cha kuelekea uchaguzi mkuu wa 2015, CCM ilikuwa imevurugika kwa mgogoro wa ndani kwa ndani na kulikuwa na tishio la kugawanyika pande mbili na moja ya mambo yaliyowashangaza wengi ni uamuzi wa CHADEMA chini ya Mwenyekiti Mbowe kumpokea Edward Lowassa na kumfanya mgombea uraisi. Hapo hapo muungano wa vyama vya upinzani ukafa rasmi huku kiongozi muhimu wa CHADEMA Wilbroad Slaa akijitenga na chama.
Lowassa hakuhama na wimbi la vigogo wa CCM. Badala yake uamuzi ule ulirudisha amani ndani ya CCM na kuwarudisha kuwa kitu kimoja na ilipelekea ushindi wa CCM katika uchaguzi mkuu.
Wengi wanaweza kuongelea kura nyingi na wabunge wengi ambao CHADEMA ilipata kuliko kipindi kingine chochote ila faida hiyo haikudumu hata miaka 5 maana kuna wengi, ikiwemo Lowassa mwenyewe waliamua kuunga mkono juhudi na kurudi CCM. Unaweza kusema "in the long term", CHADEMA walipoteza zaidi ya kupata kwa uamuzi ule wa 2015.
Madhara yake CHADEMA kilionekana ni chama ambacho hakina misimamo, kilionekana ni chama cha walaghai, chama kinachoweza kununulika. Lebo hii itaendelea kukiandama chama siku zote za maisha yake.
Baada ya kifo cha Rais John Magufuli, CCM ilikuwa kwenye hali mbaya sana kisiasa. Mazingira ya kifo chake yalichagiza uwezekano wa mtifuano mkubwa ndani ya chama. CHADEMA walipata ahueni kutokana na kuondoka kwa mtesi wao ila wakati huo huo Rais Magufuli bado alikuwa na wafuasi wengi ndani ya CCM. Wale vigogo ambao Magufuli alionekana wazi kuwapinga ndani ya chama walionekana kurudi kwa kasi na mgawanyiko mkubwa ulikuwa unajongea ndani ya CCM. Mwenyekiti Mbowe kwa mara nyingine akawa mfariji na mwokozi wa CCM. Mbowe kupitia maridhiano akakiongoza CHADEMA kufanya maamuzi ya kuituliza CCM na mpaka leo CHADEMA inatumika kama nyenzo ya kuangamiza maadui ya wale wanaoiongoza CCM kwa sasa.
Naelewa CHADEMA iliumizwa sana kipindi cha 2015-2021. Wanachama wake ikiwemo viongozi walikuwa na madai mengi ikiwemo madai binafsi ya kudhulumiwa na kuharibiwa biashara zao. Bila kuonyesha ni jinsi gani wale waliotenda ubaya na kuvunja katiba na sheria za nchi wamewajibishwa (au kujitokeza rasmi na kukiri makosa yao na hatimaye kujiuzulu nyadhfa zao), maridhiano yoyote yanayoendelea ni ulaghai tu.
Siasa za kukikumbatia chama tawala hazijawahi kuwa njema katika mustakabali wa kutetea demokrasia na utawala bora. Siasa za namna hii siku zote zimekuwa siasa zinazofanywa na mapandikizi, walaghai na wale wasio na nia njema ya kutetea haki na uwajibikaji.
Bila mashinikizo ya kisiasa, CCM haiwezi kamwe kuleta mabadiliko ya msingi ya kisiasa na kiutawala katika nchi. Inapotokea nafasi za kipekee za kufanya mashinikizo hayo halafu mtu anakuja kukimbilia "maridhiano" badala ya kutake advantage ya hali mbaya ya kisiasa ndani ya chama tawala, wanamageuzi wengi tunaanza kutilia mashaka uadilifu wa baadhi ya viongozi wa CHADEMA tukianzia na Mwenyekiti Mbowe.
Ahadi za katiba mpya, tume huru ya uchaguzi na mabadiliko ya kweli ya kisiasa, kiutawala na nyanja nyingine kama elimu na uchumi haziwezi kamwe kutimizwa kwa njia hizi tunazoahidiwa.
Mwenyekiti Mbowe, kwa maamuzi uliyoyasimamia kipindi hiki cha miaka 8 iliyopita, historia itakuhukumu vibaya kama msaliti wa mageuzi ya nchi hii.
Yuko wapi mzee wa TWIGA??!Siyo kwamba kwa Mbowe/Samia kukumbatia maridhiano ameongeza mpasuko ndani ya CCM? Kwa kundi kubwa la wahafidhina?
Una laana ya ukoo ,kaoge maji ya bahari utanishukuru siku nyingineKipindi cha kuelekea uchaguzi mkuu wa 2015, CCM ilikuwa imevurugika kwa mgogoro wa ndani kwa ndani na kulikuwa na tishio la kugawanyika pande mbili na moja ya mambo yaliyowashangaza wengi ni uamuzi wa CHADEMA chini ya Mwenyekiti Mbowe kumpokea Edward Lowassa na kumfanya mgombea uraisi. Hapo hapo muungano wa vyama vya upinzani ukafa rasmi huku kiongozi muhimu wa CHADEMA Wilbroad Slaa akijitenga na chama.
Lowassa hakuhama na wimbi la vigogo wa CCM. Badala yake uamuzi ule ulirudisha amani ndani ya CCM na kuwarudisha kuwa kitu kimoja na ilipelekea ushindi wa CCM katika uchaguzi mkuu.
Wengi wanaweza kuongelea kura nyingi na wabunge wengi ambao CHADEMA ilipata kuliko kipindi kingine chochote ila faida hiyo haikudumu hata miaka 5 maana kuna wengi, ikiwemo Lowassa mwenyewe waliamua kuunga mkono juhudi na kurudi CCM. Unaweza kusema "in the long term", CHADEMA walipoteza zaidi ya kupata kwa uamuzi ule wa 2015.
Madhara yake CHADEMA kilionekana ni chama ambacho hakina misimamo, kilionekana ni chama cha walaghai, chama kinachoweza kununulika. Lebo hii itaendelea kukiandama chama siku zote za maisha yake.
Baada ya kifo cha Rais John Magufuli, CCM ilikuwa kwenye hali mbaya sana kisiasa. Mazingira ya kifo chake yalichagiza uwezekano wa mtifuano mkubwa ndani ya chama. CHADEMA walipata ahueni kutokana na kuondoka kwa mtesi wao ila wakati huo huo Rais Magufuli bado alikuwa na wafuasi wengi ndani ya CCM. Wale vigogo ambao Magufuli alionekana wazi kuwapinga ndani ya chama walionekana kurudi kwa kasi na mgawanyiko mkubwa ulikuwa unajongea ndani ya CCM. Mwenyekiti Mbowe kwa mara nyingine akawa mfariji na mwokozi wa CCM. Mbowe kupitia maridhiano akakiongoza CHADEMA kufanya maamuzi ya kuituliza CCM na mpaka leo CHADEMA inatumika kama nyenzo ya kuangamiza maadui ya wale wanaoiongoza CCM kwa sasa.
Naelewa CHADEMA iliumizwa sana kipindi cha 2015-2021. Wanachama wake ikiwemo viongozi walikuwa na madai mengi ikiwemo madai binafsi ya kudhulumiwa na kuharibiwa biashara zao. Bila kuonyesha ni jinsi gani wale waliotenda ubaya na kuvunja katiba na sheria za nchi wamewajibishwa (au kujitokeza rasmi na kukiri makosa yao na hatimaye kujiuzulu nyadhfa zao), maridhiano yoyote yanayoendelea ni ulaghai tu.
Siasa za kukikumbatia chama tawala hazijawahi kuwa njema katika mustakabali wa kutetea demokrasia na utawala bora. Siasa za namna hii siku zote zimekuwa siasa zinazofanywa na mapandikizi, walaghai na wale wasio na nia njema ya kutetea haki na uwajibikaji.
Bila mashinikizo ya kisiasa, CCM haiwezi kamwe kuleta mabadiliko ya msingi ya kisiasa na kiutawala katika nchi. Inapotokea nafasi za kipekee za kufanya mashinikizo hayo halafu mtu anakuja kukimbilia "maridhiano" badala ya kutake advantage ya hali mbaya ya kisiasa ndani ya chama tawala, wanamageuzi wengi tunaanza kutilia mashaka uadilifu wa baadhi ya viongozi wa CHADEMA tukianzia na Mwenyekiti Mbowe.
Ahadi za katiba mpya, tume huru ya uchaguzi na mabadiliko ya kweli ya kisiasa, kiutawala na nyanja nyingine kama elimu na uchumi haziwezi kamwe kutimizwa kwa njia hizi tunazoahidiwa.
Mwenyekiti Mbowe, kwa maamuzi uliyoyasimamia kipindi hiki cha miaka 8 iliyopita, historia itakuhukumu vibaya kama msaliti wa mageuzi ya nchi hii.
Sasa hivi Mbowe kaungana na CCM hakuna UKAWA tena
Pumbavu, weka jina lako halisi nawe upiganie magaeuzi. Unamsakizia Mbowe wewe uko JF na jina fake. Rubbish!Kipindi cha kuelekea uchaguzi mkuu wa 2015, CCM ilikuwa imevurugika kwa mgogoro wa ndani kwa ndani na kulikuwa na tishio la kugawanyika pande mbili na moja ya mambo yaliyowashangaza wengi ni uamuzi wa CHADEMA chini ya Mwenyekiti Mbowe kumpokea Edward Lowassa na kumfanya mgombea uraisi. Hapo hapo muungano wa vyama vya upinzani ukafa rasmi huku kiongozi muhimu wa CHADEMA Wilbroad Slaa akijitenga na chama.
Lowassa hakuhama na wimbi la vigogo wa CCM. Badala yake uamuzi ule ulirudisha amani ndani ya CCM na kuwarudisha kuwa kitu kimoja na ilipelekea ushindi wa CCM katika uchaguzi mkuu.
Wengi wanaweza kuongelea kura nyingi na wabunge wengi ambao CHADEMA ilipata kuliko kipindi kingine chochote ila faida hiyo haikudumu hata miaka 5 maana kuna wengi, ikiwemo Lowassa mwenyewe waliamua kuunga mkono juhudi na kurudi CCM. Unaweza kusema "in the long term", CHADEMA walipoteza zaidi ya kupata kwa uamuzi ule wa 2015.
Madhara yake CHADEMA kilionekana ni chama ambacho hakina misimamo, kilionekana ni chama cha walaghai, chama kinachoweza kununulika. Lebo hii itaendelea kukiandama chama siku zote za maisha yake.
Baada ya kifo cha Rais John Magufuli, CCM ilikuwa kwenye hali mbaya sana kisiasa. Mazingira ya kifo chake yalichagiza uwezekano wa mtifuano mkubwa ndani ya chama. CHADEMA walipata ahueni kutokana na kuondoka kwa mtesi wao ila wakati huo huo Rais Magufuli bado alikuwa na wafuasi wengi ndani ya CCM. Wale vigogo ambao Magufuli alionekana wazi kuwapinga ndani ya chama walionekana kurudi kwa kasi na mgawanyiko mkubwa ulikuwa unajongea ndani ya CCM. Mwenyekiti Mbowe kwa mara nyingine akawa mfariji na mwokozi wa CCM. Mbowe kupitia maridhiano akakiongoza CHADEMA kufanya maamuzi ya kuituliza CCM na mpaka leo CHADEMA inatumika kama nyenzo ya kuangamiza maadui ya wale wanaoiongoza CCM kwa sasa.
Naelewa CHADEMA iliumizwa sana kipindi cha 2015-2021. Wanachama wake ikiwemo viongozi walikuwa na madai mengi ikiwemo madai binafsi ya kudhulumiwa na kuharibiwa biashara zao. Bila kuonyesha ni jinsi gani wale waliotenda ubaya na kuvunja katiba na sheria za nchi wamewajibishwa (au kujitokeza rasmi na kukiri makosa yao na hatimaye kujiuzulu nyadhfa zao), maridhiano yoyote yanayoendelea ni ulaghai tu.
Siasa za kukikumbatia chama tawala hazijawahi kuwa njema katika mustakabali wa kutetea demokrasia na utawala bora. Siasa za namna hii siku zote zimekuwa siasa zinazofanywa na mapandikizi, walaghai na wale wasio na nia njema ya kutetea haki na uwajibikaji.
Bila mashinikizo ya kisiasa, CCM haiwezi kamwe kuleta mabadiliko ya msingi ya kisiasa na kiutawala katika nchi. Inapotokea nafasi za kipekee za kufanya mashinikizo hayo halafu mtu anakuja kukimbilia "maridhiano" badala ya kutake advantage ya hali mbaya ya kisiasa ndani ya chama tawala, wanamageuzi wengi tunaanza kutilia mashaka uadilifu wa baadhi ya viongozi wa CHADEMA tukianzia na Mwenyekiti Mbowe.
Ahadi za katiba mpya, tume huru ya uchaguzi na mabadiliko ya kweli ya kisiasa, kiutawala na nyanja nyingine kama elimu na uchumi haziwezi kamwe kutimizwa kwa njia hizi tunazoahidiwa.
Mwenyekiti Mbowe, kwa maamuzi uliyoyasimamia kipindi hiki cha miaka 8 iliyopita, historia itakuhukumu vibaya kama msaliti wa mageuzi ya nchi hii.
Usisahau, hata zile risasi zilizompata Akwilina zikamkosakosa Mbowe!Akifungwa Jela anakuwa pekee yake!
Huku kutukana hakusaidi lolote, CCM ndiyo hiyo inashamiri kwa msaada wa Mbowe, iwe ni kwa bahati mbaya au kwa maksudi mazima.Pumbavu, weka jina lako halisi nawe upiganie magaeuzi. Unamsakizia Mbowe wewe uko JF na jina fake. Rubbish!
muacheni baba wa watu mbowe alambe asali , Lisu na familia yake Wana enjoy ulaya, Lema familia ipo Canada hana mpango wa kuirudisha.. Mbowe ni mwema sana MTU safi mno hata sisi ccm tunamkubali hana BAYA na ccm .Kipindi cha kuelekea uchaguzi mkuu wa 2015, CCM ilikuwa imevurugika kwa mgogoro wa ndani kwa ndani na kulikuwa na tishio la kugawanyika pande mbili na moja ya mambo yaliyowashangaza wengi ni uamuzi wa CHADEMA chini ya Mwenyekiti Mbowe kumpokea Edward Lowassa na kumfanya mgombea uraisi. Hapo hapo muungano wa vyama vya upinzani ukafa rasmi huku kiongozi muhimu wa CHADEMA Wilbroad Slaa akijitenga na chama.
Lowassa hakuhama na wimbi la vigogo wa CCM. Badala yake uamuzi ule ulirudisha amani ndani ya CCM na kuwarudisha kuwa kitu kimoja na ilipelekea ushindi wa CCM katika uchaguzi mkuu.
Wengi wanaweza kuongelea kura nyingi na wabunge wengi ambao CHADEMA ilipata kuliko kipindi kingine chochote ila faida hiyo haikudumu hata miaka 5 maana kuna wengi, ikiwemo Lowassa mwenyewe waliamua kuunga mkono juhudi na kurudi CCM. Unaweza kusema "in the long term", CHADEMA walipoteza zaidi ya kupata kwa uamuzi ule wa 2015.
Madhara yake CHADEMA kilionekana ni chama ambacho hakina misimamo, kilionekana ni chama cha walaghai, chama kinachoweza kununulika. Lebo hii itaendelea kukiandama chama siku zote za maisha yake.
Baada ya kifo cha Rais John Magufuli, CCM ilikuwa kwenye hali mbaya sana kisiasa. Mazingira ya kifo chake yalichagiza uwezekano wa mtifuano mkubwa ndani ya chama. CHADEMA walipata ahueni kutokana na kuondoka kwa mtesi wao ila wakati huo huo Rais Magufuli bado alikuwa na wafuasi wengi ndani ya CCM. Wale vigogo ambao Magufuli alionekana wazi kuwapinga ndani ya chama walionekana kurudi kwa kasi na mgawanyiko mkubwa ulikuwa unajongea ndani ya CCM. Mwenyekiti Mbowe kwa mara nyingine akawa mfariji na mwokozi wa CCM. Mbowe kupitia maridhiano akakiongoza CHADEMA kufanya maamuzi ya kuituliza CCM na mpaka leo CHADEMA inatumika kama nyenzo ya kuangamiza maadui ya wale wanaoiongoza CCM kwa sasa.
Naelewa CHADEMA iliumizwa sana kipindi cha 2015-2021. Wanachama wake ikiwemo viongozi walikuwa na madai mengi ikiwemo madai binafsi ya kudhulumiwa na kuharibiwa biashara zao. Bila kuonyesha ni jinsi gani wale waliotenda ubaya na kuvunja katiba na sheria za nchi wamewajibishwa (au kujitokeza rasmi na kukiri makosa yao na hatimaye kujiuzulu nyadhfa zao), maridhiano yoyote yanayoendelea ni ulaghai tu.
Siasa za kukikumbatia chama tawala hazijawahi kuwa njema katika mustakabali wa kutetea demokrasia na utawala bora. Siasa za namna hii siku zote zimekuwa siasa zinazofanywa na mapandikizi, walaghai na wale wasio na nia njema ya kutetea haki na uwajibikaji.
Bila mashinikizo ya kisiasa, CCM haiwezi kamwe kuleta mabadiliko ya msingi ya kisiasa na kiutawala katika nchi. Inapotokea nafasi za kipekee za kufanya mashinikizo hayo halafu mtu anakuja kukimbilia "maridhiano" badala ya kutake advantage ya hali mbaya ya kisiasa ndani ya chama tawala, wanamageuzi wengi tunaanza kutilia mashaka uadilifu wa baadhi ya viongozi wa CHADEMA tukianzia na Mwenyekiti Mbowe.
Ahadi za katiba mpya, tume huru ya uchaguzi na mabadiliko ya kweli ya kisiasa, kiutawala na nyanja nyingine kama elimu na uchumi haziwezi kamwe kutimizwa kwa njia hizi tunazoahidiwa.
Mwenyekiti Mbowe, kwa maamuzi uliyoyasimamia kipindi hiki cha miaka 8 iliyopita, historia itakuhukumu vibaya kama msaliti wa mageuzi ya nchi hii.
Mbowe ni mwanaccm mpenda mageuziUsisahau, hata zile risasi zilizompata Akwilina zikamkosakosa Mbowe!
Pamoja nahayo yote, mada iliyopo mbele zetu ni fikirishi kwelikweli.
Haiwezekani kila mara iwe ni kwa bahati mbaya, au nzuri kwa Mbowe kuwa msaada mkubwa kwa CCM.
Kwani Mbowe familia yake iko wapi?muacheni baba wa watu mbowe alambe asali , Lisu na familia yake Wana enjoy ulaya, Lema familia ipo Canada hana mpango wa kuirudisha.. Mbowe ni mwema sana MTU safi mno hata sisi ccm tunamkubali hana BAYA na ccm .
Wewe ni miongoni mwa wahafidhina wasioipenda maridhiano , upo tayari kuona Watanzania wenzako wakitaabika kwa manufaa yenu ya kisiasa.Kipindi cha kuelekea uchaguzi mkuu wa 2015, CCM ilikuwa imevurugika kwa mgogoro wa ndani kwa ndani na kulikuwa na tishio la kugawanyika pande mbili na moja ya mambo yaliyowashangaza wengi ni uamuzi wa CHADEMA chini ya Mwenyekiti Mbowe kumpokea Edward Lowassa na kumfanya mgombea uraisi. Hapo hapo muungano wa vyama vya upinzani ukafa rasmi huku kiongozi muhimu wa CHADEMA Wilbroad Slaa akijitenga na chama.