Historia itakukumbuka Mbowe kwa kuyasaliti Mageuzi

Historia itakukumbuka Mbowe kwa kuyasaliti Mageuzi

Siyo kwamba kwa Mbowe/Samia kukumbatia maridhiano ameongeza mpasuko ndani ya CCM? Kwa kundi kubwa la wahafidhina?
Ni kweli mpasuko utakuwa mkubwa sana na utabiri wa Mwalimu unaenda kutimia !!
 
Usiwaogope...
Tumia akili yako!
Washambulie kwa mbali!
Ukiona Bado wana nguvu...
Basi +jiongeze...jipenyeze katika yao!
Wavurugeeee!
Kumbuka kuwa siasa ni mahesabu!
Nyie siyo mapadri, masheikh, wachungaji!!
 
Back
Top Bottom