Dawa ya Uvccm
JF-Expert Member
- Aug 3, 2021
- 2,223
- 4,719
lowassa alileta matatizo yakufikirika na wapumbavu wa sukuma gang ndio maana mliaminishwa chadema kuwa imekufa na yule mpuuz mliyemzika chato matokeo yake akatepeta kama mlenda zikamshinda kampeni kuzunguka nchi nzima matokeo yake akafanya ujambaz wa kura tukamuomba Mungu aliuwe na kweli akaliuwa.Maridhiano maana yake Ni compromise..yaani mnakubaliana Kila mtu kukubali kupoteza au kupunguza baadhi ya misimamo au vitu au misingi ili mkutane katikati..
Na Mimi Nina wasiwasi na matokeo ya compromise.. lakini naona tuwaache CDM wapate angalau nusu na wapoteze nusu kuliko kupoteza kilakitu Kama kipindi Cha magufuli..
Lakini Ni kweli kabisa Lowassa alileta matatizo makubwa ndani ya CDM na ngumu kuyaondoa..
Bibie njoo nikutekenye Uno ucheke basi!Naona uliropoka ukitegemeaa itachekesha. Mambo ya kuwa kwenye siku zako na kujichanganya huku jukwaani, ni lazima utakwama.
Lazimisha mabasha kinguvu hapa jukwaani, tuko tumejaa tele. Usijelia ukikuta tumeziba hilo shimo la tope hapo nyuma na mti.Bibie njoo nikutekenye Uno ucheke basi!
ambayo sukuma gang mlizoe kulamba kipindi cha mbwa mliyemzika chato saiv mnajambajamba hata teuz zinawapita mnazeekea mitandaon kufikia 2025 mtatoweka wote.Asali tamu kuliko bia!
Ndeeeeeefu, kumbe upuuzi mtupu. Wahafidhina watupu!!!Kipindi cha kuelekea uchaguzi mkuu wa 2015, CCM ilikuwa imevurugika kwa mgogoro wa ndani kwa ndani na kulikuwa na tishio la kugawanyika pande mbili na moja ya mambo yaliyowashangaza wengi ni uamuzi wa CHADEMA chini ya Mwenyekiti Mbowe kumpokea Edward Lowassa na kumfanya mgombea uraisi. Hapo hapo muungano wa vyama vya upinzani ukafa rasmi huku kiongozi muhimu wa CHADEMA Wilbroad Slaa akijitenga na chama.
Lowassa hakuhama na wimbi la vigogo wa CCM. Badala yake uamuzi ule ulirudisha amani ndani ya CCM na kuwarudisha kuwa kitu kimoja na ilipelekea ushindi wa CCM katika uchaguzi mkuu.
Wengi wanaweza kuongelea kura nyingi na wabunge wengi ambao CHADEMA ilipata kuliko kipindi kingine chochote ila faida hiyo haikudumu hata miaka 5 maana kuna wengi, ikiwemo Lowassa mwenyewe waliamua kuunga mkono juhudi na kurudi CCM. Unaweza kusema "in the long term", CHADEMA walipoteza zaidi ya kupata kwa uamuzi ule wa 2015.
Madhara yake CHADEMA kilionekana ni chama ambacho hakina misimamo, kilionekana ni chama cha walaghai, chama kinachoweza kununulika. Lebo hii itaendelea kukiandama chama siku zote za maisha yake.
Baada ya kifo cha Rais John Magufuli, CCM ilikuwa kwenye hali mbaya sana kisiasa. Mazingira ya kifo chake yalichagiza uwezekano wa mtifuano mkubwa ndani ya chama. CHADEMA walipata ahueni kutokana na kuondoka kwa mtesi wao ila wakati huo huo Rais Magufuli bado alikuwa na wafuasi wengi ndani ya CCM. Wale vigogo ambao Magufuli alionekana wazi kuwapinga ndani ya chama walionekana kurudi kwa kasi na mgawanyiko mkubwa ulikuwa unajongea ndani ya CCM. Mwenyekiti Mbowe kwa mara nyingine akawa mfariji na mwokozi wa CCM. Mbowe kupitia maridhiano akakiongoza CHADEMA kufanya maamuzi ya kuituliza CCM na mpaka leo CHADEMA inatumika kama nyenzo ya kuangamiza maadui ya wale wanaoiongoza CCM kwa sasa.
Naelewa CHADEMA iliumizwa sana kipindi cha 2015-2021. Wanachama wake ikiwemo viongozi walikuwa na madai mengi ikiwemo madai binafsi ya kudhulumiwa na kuharibiwa biashara zao. Bila kuonyesha ni jinsi gani wale waliotenda ubaya na kuvunja katiba na sheria za nchi wamewajibishwa (au kujitokeza rasmi na kukiri makosa yao na hatimaye kujiuzulu nyadhfa zao), maridhiano yoyote yanayoendelea ni ulaghai tu.
Siasa za kukikumbatia chama tawala hazijawahi kuwa njema katika mustakabali wa kutetea demokrasia na utawala bora. Siasa za namna hii siku zote zimekuwa siasa zinazofanywa na mapandikizi, walaghai na wale wasio na nia njema ya kutetea haki na uwajibikaji.
Bila mashinikizo ya kisiasa, CCM haiwezi kamwe kuleta mabadiliko ya msingi ya kisiasa na kiutawala katika nchi. Inapotokea nafasi za kipekee za kufanya mashinikizo hayo halafu mtu anakuja kukimbilia "maridhiano" badala ya kutake advantage ya hali mbaya ya kisiasa ndani ya chama tawala, wanamageuzi wengi tunaanza kutilia mashaka uadilifu wa baadhi ya viongozi wa CHADEMA tukianzia na Mwenyekiti Mbowe.
Ahadi za katiba mpya, tume huru ya uchaguzi na mabadiliko ya kweli ya kisiasa, kiutawala na nyanja nyingine kama elimu na uchumi haziwezi kamwe kutimizwa kwa njia hizi tunazoahidiwa.
Mwenyekiti Mbowe, kwa maamuzi uliyoyasimamia kipindi hiki cha miaka 8 iliyopita, historia itakuhukumu vibaya kama msaliti wa mageuzi ya nchi hii.
ccm ni genge la wapumbavu linalouwa na kuteka watu likiongozwa na mwenyekit asiyeshinda.Chadema ni Sacco's binafsi ya mbowe!
sasa kama alikuwa peke yake wewe unawashwa nin na wapumbavu wenzio sukuma gang mliozoea kuuwa watu ili mpaye teuz na yule mpuuz mliyemzika chato.Hata alipokuwa mbunge na KUB alikuwa mwenyewe. Ama uliwahi kumuona huko bungeni akiwa anawanunulia wananchi chakula, ama kuwapa lifti kwenye lile VX?
CCm ndo Sisi hamtuwezi Kwa makila kitu, yaani Sisi ndo Sisiccm ni genge la wapumbavu linalouwa na kuteka watu likiongozwa na mwenyekit asiyeshinda.
Ba-vichaaa mmeanza kupaluana wenyewe Kwa wenyewe.sasa kama alikuwa peke yake wewe unawashwa nin na wapumbavu wenzio sukuma gang mliozoea kuuwa watu ili mpaye teuz na yule mpuuz mliyemzika chato.
CCm mavyeo ni mengi mno nikikosa Leo kesho ntapata ni suala la muda tu.ambayo sukuma gang mlizoe kulamba kipindi cha mbwa mliyemzika chato saiv mnajambajamba hata teuz zinawapita mnazeekea mitandaon kufikia 2025 mtatoweka wote.
Endelea kunitega tu na hilo jora lako make nakuchora tu hata chupi hujavaa muda si mrefu nakusukumia konga.Lazimisha mabasha kinguvu hapa jukwaani, tuko tumejaa tele. Usijelia ukikuta tumeziba hilo shimo la tope hapo nyuma na mti.
ccm ni genge la wapumbavu hasa sukuma gang tunawakomesha kabisa na ikifika 2025 mtakufa kwa sonona maana sonona imewakumba.CCm ndo Sisi hamtuwezi Kwa makila kitu, yaani Sisi ndo Sisi
sukuma gang ni mapumbavu yalizoea kuuwa watu ili yateuliwe ajira ya mauwaji imekufa sasa yanahaha kama nguruwe waliokosa mlishaji.Ba-vichaaa mmeanza kupaluana wenyewe Kwa wenyewe.
Nakuelewa maumivu uliyonayo Sukuma gang member.Kipindi cha kuelekea uchaguzi mkuu wa 2015, CCM ilikuwa imevurugika kwa mgogoro wa ndani kwa ndani na kulikuwa na tishio la kugawanyika pande mbili na moja ya mambo yaliyowashangaza wengi ni uamuzi wa CHADEMA chini ya Mwenyekiti Mbowe kumpokea Edward Lowassa na kumfanya mgombea uraisi. Hapo hapo muungano wa vyama vya upinzani ukafa rasmi huku kiongozi muhimu wa CHADEMA Wilbroad Slaa akijitenga na chama.
Lowassa hakuhama na wimbi la vigogo wa CCM. Badala yake uamuzi ule ulirudisha amani ndani ya CCM na kuwarudisha kuwa kitu kimoja na ilipelekea ushindi wa CCM katika uchaguzi mkuu.
Wengi wanaweza kuongelea kura nyingi na wabunge wengi ambao CHADEMA ilipata kuliko kipindi kingine chochote ila faida hiyo haikudumu hata miaka 5 maana kuna wengi, ikiwemo Lowassa mwenyewe waliamua kuunga mkono juhudi na kurudi CCM. Unaweza kusema "in the long term", CHADEMA walipoteza zaidi ya kupata kwa uamuzi ule wa 2015.
Madhara yake CHADEMA kilionekana ni chama ambacho hakina misimamo, kilionekana ni chama cha walaghai, chama kinachoweza kununulika. Lebo hii itaendelea kukiandama chama siku zote za maisha yake.
Baada ya kifo cha Rais John Magufuli, CCM ilikuwa kwenye hali mbaya sana kisiasa. Mazingira ya kifo chake yalichagiza uwezekano wa mtifuano mkubwa ndani ya chama. CHADEMA walipata ahueni kutokana na kuondoka kwa mtesi wao ila wakati huo huo Rais Magufuli bado alikuwa na wafuasi wengi ndani ya CCM. Wale vigogo ambao Magufuli alionekana wazi kuwapinga ndani ya chama walionekana kurudi kwa kasi na mgawanyiko mkubwa ulikuwa unajongea ndani ya CCM. Mwenyekiti Mbowe kwa mara nyingine akawa mfariji na mwokozi wa CCM. Mbowe kupitia maridhiano akakiongoza CHADEMA kufanya maamuzi ya kuituliza CCM na mpaka leo CHADEMA inatumika kama nyenzo ya kuangamiza maadui ya wale wanaoiongoza CCM kwa sasa.
Naelewa CHADEMA iliumizwa sana kipindi cha 2015-2021. Wanachama wake ikiwemo viongozi walikuwa na madai mengi ikiwemo madai binafsi ya kudhulumiwa na kuharibiwa biashara zao. Bila kuonyesha ni jinsi gani wale waliotenda ubaya na kuvunja katiba na sheria za nchi wamewajibishwa (au kujitokeza rasmi na kukiri makosa yao na hatimaye kujiuzulu nyadhfa zao), maridhiano yoyote yanayoendelea ni ulaghai tu.
Siasa za kukikumbatia chama tawala hazijawahi kuwa njema katika mustakabali wa kutetea demokrasia na utawala bora. Siasa za namna hii siku zote zimekuwa siasa zinazofanywa na mapandikizi, walaghai na wale wasio na nia njema ya kutetea haki na uwajibikaji.
Bila mashinikizo ya kisiasa, CCM haiwezi kamwe kuleta mabadiliko ya msingi ya kisiasa na kiutawala katika nchi. Inapotokea nafasi za kipekee za kufanya mashinikizo hayo halafu mtu anakuja kukimbilia "maridhiano" badala ya kutake advantage ya hali mbaya ya kisiasa ndani ya chama tawala, wanamageuzi wengi tunaanza kutilia mashaka uadilifu wa baadhi ya viongozi wa CHADEMA tukianzia na Mwenyekiti Mbowe.
Ahadi za katiba mpya, tume huru ya uchaguzi na mabadiliko ya kweli ya kisiasa, kiutawala na nyanja nyingine kama elimu na uchumi haziwezi kamwe kutimizwa kwa njia hizi tunazoahidiwa.
Mwenyekiti Mbowe, kwa maamuzi uliyoyasimamia kipindi hiki cha miaka 8 iliyopita, historia itakuhukumu vibaya kama msaliti wa mageuzi ya nchi hii.
Dola yetu, mkurugenzi tunamlipa Sisi halafu ututishie 2025? Sana Sana labda tutawabalansia hata vijimbo kumi ili mpate pa kulambia asaliccm ni genge la wapumbavu hasa sukuma gang tunawakomesha kabisa na ikifika 2025 mtakufa kwa sonona maana sonona imewakumba.
Wafuasi wake wanachadema wanakuwa wapi?Akifungwa Jela anakuwa pekee yake!
Kipindi cha kuelekea uchaguzi mkuu wa 2015, CCM ilikuwa imevurugika kwa mgogoro wa ndani kwa ndani na kulikuwa na tishio la kugawanyika pande mbili na moja ya mambo yaliyowashangaza wengi ni uamuzi wa CHADEMA chini ya Mwenyekiti Mbowe kumpokea Edward Lowassa na kumfanya mgombea uraisi. Hapo hapo muungano wa vyama vya upinzani ukafa rasmi huku kiongozi muhimu wa CHADEMA Wilbroad Slaa akijitenga na chama.