Historia itakukumbuka Mbowe kwa kuyasaliti Mageuzi

Kweli chadema wanaamini kwenye uchadema zaidi kuliko upinzani.
 
huyo bwabwa aliyezoea kunufaika na upumbavu wa nduli magufuli phd fake akianzisha chama nayembea kwa mguu kuanzia nyakabindi Bariadi hadi Nyamonge kule lunzewe.
Makamanda feki hoja zimewaishia mmebaki na matusi.

CCM imewapiga na kitu kizito mmebaki kujifanya mmefurahi huku mnaugulia maumivu
 
Wajinga wako wengi na wewe ni mmojawao.
Watu wanaweza ya KATIBA mpya na ya 2025 wewe unaleta Hadithi za 2015.
Kweli maNyumbu ni mengi!!
 
Siyo kwamba kwa Mbowe/Samia kukumbatia maridhiano ameongeza mpasuko ndani ya CCM? Kwa kundi kubwa la wahafidhina?
Yuko wapi mzee wa TWIGA??!
Unadhani kuko Sawa humo ndani.
Mama kasema mahafidhina@!!
 
Una laana ya ukoo ,kaoge maji ya bahari utanishukuru siku nyingine
 
Pumbavu, weka jina lako halisi nawe upiganie magaeuzi. Unamsakizia Mbowe wewe uko JF na jina fake. Rubbish!
 
Akifungwa Jela anakuwa pekee yake!
Usisahau, hata zile risasi zilizompata Akwilina zikamkosakosa Mbowe!
Pamoja nahayo yote, mada iliyopo mbele zetu ni fikirishi kwelikweli.

Haiwezekani kila mara iwe ni kwa bahati mbaya, au nzuri kwa Mbowe kuwa msaada mkubwa kwa CCM.
 
Pumbavu, weka jina lako halisi nawe upiganie magaeuzi. Unamsakizia Mbowe wewe uko JF na jina fake. Rubbish!
Huku kutukana hakusaidi lolote, CCM ndiyo hiyo inashamiri kwa msaada wa Mbowe, iwe ni kwa bahati mbaya au kwa maksudi mazima.
 
Mbowe kwenye hili suala la marudhiano hana kosa lolote. Ni mtu aliyejitoa sadaka kuliponya taifa baada ya majeraha ya miaka mitano ya utawala wa mwendazake. Mbowe alivurugwa mno. Fikiria tu kitendo cha kuharibiwa shamba lake la kisasa lenye thamani ya mamilioni, Kuvunjiwa Club Bilicanas, Kupewa kesi zisizoeleweka, na mambo mengine mengi ya kishenzi. Mbowe anaipenda Tanzania ndo maana akaona bora alaumiwe lakini nchi iwe salama. Halafu suala la maridhiano alishawahi kulitamka hata wakati wa mwendazake ila likapuuzwa.
 
muacheni baba wa watu mbowe alambe asali , Lisu na familia yake Wana enjoy ulaya, Lema familia ipo Canada hana mpango wa kuirudisha.. Mbowe ni mwema sana MTU safi mno hata sisi ccm tunamkubali hana BAYA na ccm .
 
Kitu muhimu hapo ni kwamba Mbowe ndio chadema na chadema ndio Mbowe.
 
Usisahau, hata zile risasi zilizompata Akwilina zikamkosakosa Mbowe!
Pamoja nahayo yote, mada iliyopo mbele zetu ni fikirishi kwelikweli.

Haiwezekani kila mara iwe ni kwa bahati mbaya, au nzuri kwa Mbowe kuwa msaada mkubwa kwa CCM.
Mbowe ni mwanaccm mpenda mageuzi

Nyerere alimuweka Mbowe kudhibiti kundi la vijana wa Kizazi kipya

Komba akapewa Walugaluga wacheza Ngoma

Gurumo akakabidhiwa watu wa Jazz

Siasa za Tanzania ziko kimkakati sana!
 
muacheni baba wa watu mbowe alambe asali , Lisu na familia yake Wana enjoy ulaya, Lema familia ipo Canada hana mpango wa kuirudisha.. Mbowe ni mwema sana MTU safi mno hata sisi ccm tunamkubali hana BAYA na ccm .
Kwani Mbowe familia yake iko wapi?
 
Wewe ni miongoni mwa wahafidhina wasioipenda maridhiano , upo tayari kuona Watanzania wenzako wakitaabika kwa manufaa yenu ya kisiasa.
 
Mbowe alizingua sana uchaguzi wa 2015. Watu wote serious wanalijua hili. Huwezi kumtoa kwenye kiti cha ugombea candidate ambaye amenadi sera za chama kwa miaka yote ya awali unakuja mreplace na mgombea ambaye ameshindwana na wenzake huko CCM halafu unafanya maamuzi ya pekee yako huko chumbani.

Mimi nilimdharau sana Mbowe pale na safu yake ya uongozi maana walifanya upumbavu na mzaha mkubwa sana na fursa ya upinzani kuwapiga hawa matapeli chini na kuwaondoa madarakani. Mbowe hayupo serious.

Hata sasa ukimsikiliza mambo anayoongea ni kama amelogwa. Anamwita rais kwa jina MAMA, hivi ni wapi katika katiba huwa inamwita raisi aliyepo madarakani kwa jina nje ya raisi?

At least akimaliza muda wake wa uongozi ndipo aitwe kwa majina kama Mama na kadhalika sio mama kwenye kiti cha uraisi. Mimi haya mahaba kati ya Mbowe na Samia hata siyaelewi na hapa ndipo najua kuwa Chadema haitaweza toboa katika mikono ya huyu jamaa hata iweje.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…