mzeewaSHY JF-Expert Member Joined Aug 31, 2021 Posts 8,916 Reaction score 8,630 Mar 13, 2023 #81 dndagula said: Siyo kwamba kwa Mbowe/Samia kukumbatia maridhiano ameongeza mpasuko ndani ya CCM? Kwa kundi kubwa la wahafidhina? Click to expand... Ni kweli mpasuko utakuwa mkubwa sana na utabiri wa Mwalimu unaenda kutimia !!
dndagula said: Siyo kwamba kwa Mbowe/Samia kukumbatia maridhiano ameongeza mpasuko ndani ya CCM? Kwa kundi kubwa la wahafidhina? Click to expand... Ni kweli mpasuko utakuwa mkubwa sana na utabiri wa Mwalimu unaenda kutimia !!
Mshana Jr Platinum Member Joined Aug 19, 2012 Posts 301,577 Reaction score 754,412 Mar 13, 2023 #82 Keyboard warriors ni matata sana
Mfikirishi JF-Expert Member Joined Jan 16, 2012 Posts 8,939 Reaction score 10,403 Mar 13, 2023 #83 Usiwaogope... Tumia akili yako! Washambulie kwa mbali! Ukiona Bado wana nguvu... Basi +jiongeze...jipenyeze katika yao! Wavurugeeee! Kumbuka kuwa siasa ni mahesabu! Nyie siyo mapadri, masheikh, wachungaji!!
Usiwaogope... Tumia akili yako! Washambulie kwa mbali! Ukiona Bado wana nguvu... Basi +jiongeze...jipenyeze katika yao! Wavurugeeee! Kumbuka kuwa siasa ni mahesabu! Nyie siyo mapadri, masheikh, wachungaji!!