Historia kamili ya Israel-Palestine war toka enzi za Ibrahim mpaka sasa

Historia kamili ya Israel-Palestine war toka enzi za Ibrahim mpaka sasa

Ila binafsi huwa naona kabisa hapo mashariki ya kati panahusiana sana na utabiri wa maandiko. Mfano mmoja, kwa nini Waisrael hawakukubali kupelekwa Uganda na badala yake wakataka huko Palestina? Wangepelekwa Uganda ina maana maandiko yasingetimia.

Utabiri unasema, mwisho wa dunia, taifa dogo litalipiga taifa kubwa. Isije kuwa siku moja Palestina ikaipiga Israel na ndiyo ukawa mwisho wa dunia.
 
Binafsi nahisi Kuna mambo hayapo sawa kwenye historia.

Na nafikiria Kwa sasa Israel itaitwaa Gaza tena na kuwa Mali yake na huenda ikatwaa Westbank na kuwa yake, na huenda ikatwaa maeneo makubwa East bank na kuyafanya sehem yake, na huenda ikaenda mbali ambapo "Hebron na Bethlehem" zitakuwa milki ya Israel.

Na Kwa hili, tusishangae msikiti wa Al Aqsa ukivunjwa na kujengwa hekalu la kiyahudi.
 
Kwakuzingatia Historia kati ya Israel na Palestine Yupi mwenye haki ya aridhi wanayo pigania?
 
MGOGORO WA ISRAEL NA PALESTINA.

Imeandikwa na Shusa Luck Shusa luck
Naomba uni follow Kisha tuendelee

NINI CHANZO CHAKE, NINI KINAENDELEA NA NI IPI SULUHU YA KUDUMU?

#UZI [emoji3468]

Uzi huu utaangazia uhalisia wa mgogoro kwa uwazi bila upendeleo. Hivyo kama una mihemko ya itikadi za kidini na kiushabiki nakushauri USISOME.
Eneo la Israel na Palestina ni jumla ya -2679 km²

~Idadi ya wapalestina ni 5,350,000. Huku waisrael wakiwa ni 9,174,520.

~Taifa la Israeli limepakana na nchi za Misri, Syria, Lebanon na Jordan.

~Lugha rasmi ni Kiebrania na kiarabu.
Dini za Israeli
Uyahudi - 74%
Uislam - 17%
Ukristo - 2%<<

~Dini za Palestina.
Uislam 97%
Ukristo 3%

HISTORIA YA ENEO LA MGOGORO HADI LEO.

Wakazi wa kwanza wa eneo hilo walikua ni Wayebusi, Waamori, Hahiti, Wakanaani, Waperizi nk.
Abraham ambaye ni Baba wa Uzao wa Waisrael alihama kutoka kwao Uru ya Wakaldayo (Iraq ya sasa) hadi eneo hilo mwaka 1900BC, ambapo aliishi na wenyeji kwa amani na kuzaa watoto wake hapo wakiwemo Ishmael na Isaka.

Isaka alimzaa Yakobo ambaye alibadilishwa jina na Kuitwa Israel
ambaye alizaa watoto 12 kabla ya kuhamia Misri yeye na uzao wake kuikimbia njaa iliyokumba eneo hilo.

Huko Misri walikaa miaka 400 na waligeuzwa watumwa na kupata mateso makali kabla ya Mungu kuingilia kati na kuwaokoa kwa kumtumia Musa.

Musa aliwaongoza Waisrael kutoka Misri

kabla ya Yoshua kuchukua kijiti na kwenda kuliteka eneo la Kanaani. Hawakufanikiwa kuteka eneo lote waliloahidiwa na Mungu kwa sababu ya kutofuata maagizo yake.

Lakini ilipofika kipindi cha utawala wa Mfalme Daudi Ufalme wa Israel ulihimarika vizuri na kuteka eneo lote na
kulikalia. Baada ya Daudi alitawala Sulemani kabla ya kumuachia utawala mtoto wake Rehoboamu ambapo Ufalme wa Israel uligawanyika mara 2.

Kulizaliwa Ufalme wa Yuda na Ufalme wa Israel ambapo falme hizo hazikudumu sana kwani zilianguka chini ya madola makubwa duniani
Kwa kipindi cha miaka kama 1360 eneo hilo lilitawaliwa na Falme za Assyrian Empire, Babylonian, Persian, Greece, na Roman Empire. Hali hii ilisababisha Wayahudi wengi kutekwa na kupelekwa utumwani katika nchi mbalimbali duniani.

Waliacha jamii zingine zikiendelea kuishi hapo na
katika mji wa Yerusalemu na mwaka 638AD eneo hilo liliangukia chini ya Dola ya Kiislam ya Rashidun Caliphate. Chini ya kiongozi Omar Al Khatwab ambaye alikabidhiwa funguo za Jiji la Yerusalemu na Kasisi wa Kirumi Sophronius kwa mkataba wa makubaliano kuhusu eneo hilo.

Mkataba wa makabidhiano ulifanyika katika kanisa la ‘Holy Sepulchre’ Mkataba huo kuhusu mji wa Yerusalemu uliitwa ‘OMAR TREAT’ na ulisomeka hivi;

Haya ndio ya amani anayowapa Umar kiongozi wa Waislam watu wa Yerusalemu. Amewapa amani kwa nafsi zao, makanisa yao na misalaba yao. Makanisa yao hayatakaliwa, kuvunjwa, kuongezwa wala kupunguzwa kitu katika majenzi wala nafasi yake. Hawatalazimishwa kuacha dini yao wala kudhuriwa na yoyote.

Katika kipindi hiko miji mingi ya eneo hilo la Israel waliingia waislamu wengi. Caliph Omar alijenga msikiti mdogo kwaajili ya Ibada ambapo Waislam wanaamini msikiti wa Al Aqsa uliotajwa kwenye Quran ulikuwa hapo.

Msikiti huo uliendelea kuongezwa ukubwa hadi kufikia muonekano wa leo. Ni eneo hilo ndipo Mfalme Sulemani alipojenga Hekalu kubwa kwaajili ya Mungu na Wayahudi wanaamini Hekalu la 3 na la mwisho litajengwa tena hapo.

Eneo lote hilo la Israeli lilikaa chini ya Utawala wa Rashidun kwa kipindi kisichopungua miaka 462. Kipindi hiki jamii nyingi za eneo hilo zilijifunza lugha ya Kiarabu na kubadili dini kwenda Uislam.

Mwaka 1095AD Utawala wa Rashidun uliangushwa na Dola ya Kirumi katika vita ya Msalaba ‘CRUSADE WAR’ Warumi walilikalia eneo hilo na Mwaka 1291 walifurushwa Utawala wa Mamluk.

Mwaka 1516AD eneo hilo liliangukia kwenye Dola ya Kiislam ya Ottoman. Dola ya Ottoman ilitawala eneo hilo hadi vita ya kwanza ya dunia iliposhindwa na eneo kuangukia katika mikono ya Waingereza.

MWANZO WA WAISRAELI KURUDI KWAO.

Kutokana na mateso, ubaguzi na manyanyaso waliyopata Waisrael waliamua kutafuta asili yao na mwishoni mwa karne ya 19 baadhi ya wayahudi waliona kuna umuhimu wa kuwa na taifa na utambulisho wao duniani ili waheshimiwe na kukimbia manyanyaso hayo.

Mwaka 1896 Mwandishi wa kiyahudi mzaliwa wa Austria Theodor Herzl alianza kupaza sauti kuhusiana na hilo. Aliandika Insha na kuandaa mkutano ambao uliamsha ari ya wayahudi kurudia ardhi yao ya asili.

Harakati zake zilisababisha waisrael kuhamia katika Ardhi ya Palestina. Mwanzo walikua ni waisraeli 20,000 lakini baada ya harakati zake waliongezeka hadi kufikia 160,000+

Mwaka 1917 kulianzishwa azimio lililojulikana kama ‘Balfour Declaration’ lilichochea harakati za Wayahudi kurudi nyumbani Baada ya vita kuu ya kwanza ya dunia na mauwaji ya Adolf Hitler dhidi ya wayahudi yalizidi kuamsha ari hiyo na baada ya vita ya pili ya Dunia Waziri wa mambo ya nje wa Uingereza aliandika barua kwa Lord Rothschild mkuu wa jumuiya ya wayahudi Uingereza.

Mwaka 1947 Uingereza ilipeleka azimio la kuanzishwa kwa taifa la Uyahudi na umoja wa mataifa ulikubali kwa sharti la eneo hilo kugawanywa kwa pande mbili yaani Palestina na Israeli baada kutokea vita kati yao.

Wayahudi walikubaliana na azimio hilo na 14/05/1948 walianzisha rasmi taifa lao. Jumuiya ya Waarabu walikataa azimio hilo na waliona mpango huo ni ukoloni wa ulaya ndani ya mashariki ya kati.

Wakati huo Wayahudi walikua ni 650,000 na Wapalestina 1,200,000. Wapalestina kwa kusaidiwa na nchi za Syria, Misri, Iraq na Jordan walitangaza vita dhidi ya Israeli mnamo 15 Mei 1948.

Tarehe 10/03/1949 vita vilimalizia kwa Israeli kushinda na kuteka ardhi kuwa zaidi toka kwa Palestina na kusababisha wakimbizi zaidi ya 700,000. Na maelfu kuishi katika makambi ya ukimbizi hadi leo.

Kufikia leo zaidi ya wapalestina 9,000,000 ni wakimbizi duniani kote kutokana na mgogoro huo. Katika vita ya siku 6(six days of war) ambapo Israeli iliyachakaza vibaya mataifa ya kiarabu yaliyoungana dhidi yake, Israel ilijiongezea eneo lake kutoka Palestina kutoka 55% hadi 77%

Kutokana na mateso hayo wapalestina walianzisha vyama kama PLO na Hamas kwaajili ya kupambana na utawala wa kizayuni bila mafanikio.

SULUHU YA MGOGORO NI IPI?

Wachambuzi na wanadiplomasia walitoa mapendekezo mawili ya suluhu ya kudumu ya mgogoro huo.

1. TAIFA MOJA.
Wazo hili linakubaliwa na waisrael walio wengi ila kwa sharti la kutowatambua wa palestina waliokimbia nje ya Israeli.

Kwa upande wao Palestina haikubaliani na wazo hili kwa hofu ya kwanza kupoteza utambulisho wao na pili kunyanyasika na kufanywa watu wa daraja la chini ndani ya nchi yao.

2. MATAIFA MAWILI.

Wazo hili linakubalika na pande zote mbili ila kikwazo ni Makaazi ya walowezi wa Kiyahudi ndani ya Ukingo wa Magharibi na hatma ya mji wa Yerusalemu.

Israeli inautambua Yerusalemu kama mji mkuu wake na tayari baadhi ya mataifa kama Marekani, Honduras, Guatemala na Kosovo yamehamisha Balozi zao kutoka Tel Aviv kwenda Yerusalemu.

Kitendo hicho kinalaaniwa vikali na Palestina kwa kuwa inauona huo mji kama ni mji mkuu wake wa Taifa lao lijalo.

Mji wa Yerusalemu ni mji muhimu sana kwa Dini kubwa 3 duniani za Ukristo, Uislam na Uyahudi na una maeneo mengi ya kihistoria ya dini hizo. Na pande zote mbili hazitaki kuuachia huo mji.

Wewe unadhani suluhu ya kudumu ni ipi? Nani mchokozi na nani hana haki ya kuishi hapo?

Nasubiri maoni yako hapo chini bila matusi wala kejeli.
Imeandaliwa Shusa Luck
AKIKISHA unani follow
Shusa luck
 
Ukristo - 2%

Mgogoro wa Palestine na Israel siyo wa kidini ni mgogoro wa ardhi wapalestina walinyang'anywa nchi yao wakahamia wazungu kutoka kusikojulikana.

Siku zote wazungu wakitaka kuhalalisha mauzo ya Silaha na kuua wapalestina wanatumia mgongo wa dini which is not true.
 
Ndo muache kuzaa nje ya ndoa.Ona huu uhasama Ibrahim alisababisha. Kati ya uzao wa Isack na Ishmael.
 
Mwenyezi Mungu anamtokea katika njozi na kumwapia Ibrahimu kuwa ardhi yote hiyo amepewa yeye na uzao wake na kuahidiwa baraka yaani kubarikiwa kwa kila atakaye mbariki na kwamba jamaa zote za dunia zitajibarikia
If this is the case, why ardhi wajimilikishe Wayahudi wakati Abraham alikua na watoto zaidi ya 7?
 
Mgogoro wa Palestine na Israel siyo wa kidini ni mgogoro wa ardhi wapalestina walinyang'anywa nchi yao wakahamia wazungu kutoka kusikojulikana.

Siku zote wazungu wakitaka kuhalalisha mauzo ya Silaha na kuua wapalestina wanatumia mgongo wa dini which is not true.
Una uhakika unachosema....Wewe na Hamas nani tumwamini....Hebu soma Charter ya Hamas....

Goals of the HAMAS:------------------'The Islamic Resistance Movement is a distinguished Palestinianmovement, whose allegiance is to Allah, and whose way of life isIslam. It strives to raise the banner of Allah over every inch ofPalestine.' (Article 6)On the Destruction of Israel:-----------------------------'Israel will exist and will continue to exist until Islam willobliterate it, just as it obliterated others before it.' (Preamble)The Exclusive Moslem Nature of the Area:----------------------------------------'The land of Palestine is an Islamic Waqf [Holy Possession]consecrated for future Moslem generations until Judgment Day. No onecan renounce it or any part, or abandon it or any part of it.'(Article 11)'Palestine is an Islamic land... Since this is the case, theLiberation of Palestine is an individual duty for every Moslemwherever he may be.' (Article 13)

Huoni Ardhi ndio kiini kikuu....Na hii iko kwenye Hadith.....au wewe Husomi Quran?
 
Habari...

Moja kwa moja nimeiona niwape sababu za vita kati ya Israeli na palestina,basi twende
pamoja.

Mapambano yameibuka kwa sababu ya kundi la hamas kuishambulia isareli.

Je sababu zilizopelekea Israeli kushambuliwa...

1)-Nikitendo cha Israeli kuzadharau msikiti wa AL AQSA uliepo Jerusalem mashariki unaokaliwa na walowenzi wa Israeli.(kama msomaji wa biblia utaona kwamba yesu alishaona toka mwanzo itakavyokuwa)

Yesu alipoukaribia mji wa Yerusalemu, akautazama kisha akaanza kuulilia, akisema, “Laiti ungelijua leo kile kinachokuletea amani. Lakini kimefichwa kwako usikijue sasa. Wakati unakuja, ambao adui zako watajenga ukuta kukuzunguka na kukuzingira pande zote.Huo msikiti wanaodai hamas kudharauliwa yesu alishawafukuzaga wafanyabiashara kutoka kwenye huo msikiri.

Yesu aliingia katika eneo la Hekalu. Akaanza kuwafukuza watu waliokuwa wanauza vitu humo. Akasema, “Maandiko yanasema, ‘Hekalu langu litakuwa nyumba ya sala.’ Lakini mmeligeuza kuwa ‘maficho ya wezi.’”

Yesu aliwafundisha watu kila siku katika eneo la Hekalu. Viongozi wa makuhani, walimu wa sheria na baadhi ya viongozi wa watu walikuwa wakitafuta namna ya kumwua. Lakini hawakujua namna ambavyo wangefanya, kwa sababu alikuwa anazungukwa na watu kila wakati waliokuwa wakimsikiliza. Kila mtu alifurahia yale ambayo Yesu alikuwa anasema, hawakuacha kumsikiliza.

Kwanini msikiti wa Al-Aqsa ni muhimu?​

Al-Aqsa ni jina la msikiti uliopo katika ardhi yenye ekari 35 na hufahamika na Waislamu kama al-Haram al-Sharif, huku Wayahusi wakiuita Hekalu.
Msikiti huo usio wa kawaida upo mjini Jerusalem na ni eneo ambalo limeorodheshwa miongoni mwa turathi za kitaifa na shirika la Umoja wa Mataifa kuhusu utamaduni UNESCO.
Eneo la msikiti huo ndilo lenye utata zaidi duniani tangu 1967 wakati Israel ilipokalia eneo la mashariki mwa Jerusalem ikiwemo eneo la zamani la mji huo.
Mgogoro huo ulianza zama za kale kabla ya kuzaliwa kwa taifa la Israel.

Mwaka 1947, Umoja wa Mataifa ulianzisha mpango wa kuitenga Palestina , wakati huo ikiwa chini ya utawala wa Uingereza, iwe majimbo mawili: Moja la Wayahudi hususan kutoka bara Ulaya na jingine la Wapalestina.
Jimbo hilo la Wayahudi lilipatiwa asilimia 55 ya ardhi huku asilimia ikipatiwa Wapalestina 45 .
Jerusalem inayomiliki eneo la msikiti Aqsa linalimikiwa na jamii ya kimataifa chini ya usimamizi wa UN .
Ilipewa hadhi maalum kutokana na umuhimu wake kwa dini tatu.
Vita vya kwanza kati ya Waarabu na Waisraeli vilizuka 1948 baada ya Israel kutangaza taifa lake , likinyakua asilimia 78 la ardhi ya Wapalestina, huku maeneo yaliosalia ya West Bank , Jerusalem mashariki na ukanda wa Gaza yakidhibitiwa na Misri na Jordan.
Unyakuzi wa Israel katika ardhi ya Wapelestina uliendelea 1967, baada ya vita vya pili vya Arab-Israel ambavyo vilisababisha Israel kukalia eneo la mashriki mwa Jerusalem, kabla ya kuunyakua mji wa Jerusalem, ikiwemo ule wa zamani na al-Aqsa.
Mwaka 1980, Israel ilipitisha sheria ikitangaza kuuteka mji wa Jerusalem kinyume na sheria ya kimataifa.
Hadi kufikia leo, hakuna taifa linalotambua Jerusalem kuwa mji mkuu wa Israel, isipokuwa Marekani chini ya uongozi wa Donald Trump ambaye alihamisha ubalozi wake hadi katika mji huo.
Wapalestina 400,000 wanaoishi Jerusalem wana haki kuishi lakini hawatambuliwa kama wananchi.
Tangu 1967, Israel imekuwa ikiwafurusha Wapalestina kwenda Jerusalem kwa kuwaekea masharti magumu.
Israel imejenga nyumba mjini Jerusalem ambazo ni nyumbani kwa Wayahudi 200,000

Umuhimu wa kidini wa Msikiti wa al-Aqsa​

Kwa Waislamu , msikiti wa al-Aqsa uliopo mjini Jerusalem ndio eneo la tatu kwa utakatifu.
Msikiti wa Al Aqsa ndio uliokuwa ukitumiwa kama qibla{Eneo ambalo Waislamu hutazama wanaposali} kwanza kabla ya kibla kwenda Mecca.
Ukarabati wa jengo hilo uliofanyika katika karne ya 7 , unaaminika na Waislamu kuwa eneo ambalo Mtume Muhammad alipaa mbinguni.
Wayahudi wanaamini kwamba jengo hilo takatifu , mara ya kwanza lilikuwa hekalu lao, lakini sheria ya Kiyahudi inapinga kuingia na kuomba kwa kuwa ni eneo takatifu sana.
Ukuta ulioko magharibi mwa msikiti huo unajulikana na Wayahudi kama ukuta wa maombolezo, unaodaiwa kuwa ukuta uliosalia wa hekalu hilo la Wayahudi.
Lakini Waislamu wanaamini kwamba ukuta huo ni ukuta wa Al- Burqa, eneo ambalo mtume Muhammed alifunga al- Buraq wakati alipopaa mbinguni ili kuongea na Mungu.
Ni mwaka 2017 wakati rais Donald Trump wa Marekani alipotangaza kwamba atatambua Jerusalem kuwa mji mkuu wa Israel hatua ambayo ilipingwa na mataifa mengi ya Kiislamu.

mzozo huo​

Mwaka 1967, Jordan na Israel zilikubaliana kwamba Waislamu watadhibiti eneo la ndani la ndani msikiti huo na ukarabati wake , huku Israel ikidhibiti usalama wa nje wa al-Aqsa.
Wasio Waislamu huruhusiwa kutembelea eneo hilo kwa saa kadhaa lakini hawaruhusiwi kufanya ibada ndani yake.
Lakini mashirika yanayopigania eneo hilo kuwa hekalu la Wayahudi , kama vile hekalu la Mount faithful na lile la hekalu la Institute, wamekuwa wakishinikiza serikali ya Israel kuwaruhusu Wayahudi kuingia katika jumba hilo na wanataka hekalu la tatu kujengwa katika eneo hilo.
Mwaka 2000, waziri mkuu Ariel Sharon aliingia katika eneo la msikiti huo na maafisa 1000 wa polisi.
Kuingia kwa Sharon kulisababisha vifo vya zaidi ya Wapalestina 3000 na Waisraeli 1000.
srael imeweka vikwazo kadhaa karibu la lango la msikiti wa al-Aqsa , ikiwemo ukuta uliowekwa mwaka 2000, unaowazuia Wapalestina kutoka West bank kuingia.
Kati ya Wapalestina milioni 3 katika eneo la West Bank ni wale walio zaidi ya umri wa miaka 40 wanaoruhusiwa kuingia Jerusalem siku ya Ijumaa huku wengine wakipatiwa sharti la kuwasilisha ombi la kibali kutoka kwa mamlaka ya Israel.

2)2)-Hamas pia wanapinga Israeli kuendelea kukalia maeneo ya palestina.

Basi tukae tayari kwa vita vya Tatu vya dunia maana hii inaenda kusababisha vita vya dunia.

Tunawaletea mataifa wanaowaunga mkono israeli pia mataifa wanawaunga mkono palestina,alafu uchekeche wenyewe kwamba hii sio vita vya Tatu vya dunia,alafu pia tunawafungua akili kidogo kuhusu AI(artificial inteligence) na kwanini sasa hivi imeshika hatima. Vyote hivi ukiviweka pamoja utaona kabisa ww3 hiyo hapo hakuna chenga hata wazima itokee soon ili yatimie yale maandiko.
Kwamba kibla ya waislam ilikuwa Jerusalem al aqsa kabla ya kwenda maka,,huo ni uwongo mtupu...Soma historia vizuri...Cha msingi jiulize swali moja Huo msikiti haramu uliojengwa Jerusalem ulikuwapo kabla au baada ya kuja uislam WA pili WA Muhammad?? Pili jiulize pia unaposema kibla unamaanisha nini??
 
Waarabu WA kishia wapumbaf WA Leo wanawajibika kujiuliza kaswali kadhaa,,,kwamba kama babu zao walishindwa kuung'oa mbuyu ulipokuwa kama mchicha je wao wataweza kuung'oa ule mchicha WA zamani uliomea na kuwa mbuyu wenye mizizi?????
Misri ni nyumba ya familia au chimbuko la waarabu na WA Israel..Nyumba ya familia ilimkataa mtoto lakini ikashindwa kumshusha chini ama kumteteresha ama kumwangusha,,,je wewe ndugu WA mbali usie na Mungu mpumbaf na unaeishi kwenye uwongo wa kutungwa usiekuwa na hatma unaweza kumwangusha waliemshindwa familia ndugu na jamaa??? Gemal abdel Nasser na Anwar al Sadat.

Mwisho tuwakumbushe wote,, Ibrahim alipewa nchi ya Israel Yeye na uzao wake Kwa mkataba/agano la milele.
 
Back
Top Bottom