mwanamabadiliko
JF-Expert Member
- Oct 30, 2010
- 938
- 1,540
Kweli Magufuli kawakamata pabaya nyie mliokuwa na mtandao wa wizi mpaka mmesahau kufungua baa mnaanza kutafuta njia ya kujiliwaza! Vimiguu vyembamba kama spoko za baiskeli!Kiukweli chagga ni superior tribe kwa tanzania
HaterKweli Magu kawakamata pabaya nyie mliokuwa na mtandao wa wizi mpaka mmesahau kufungua baa mnaanza kutafuta njia ya kujiliwaza! Vimiguu vyembamba kama spoko za baiskeli!
Na akikuua tusemeje tuliobakiUkweli hawa jamaa wanaakili sana, nimeo uchagani katoto 18 yrs ila kana akili kama mmama wa miaka 30 , kana heshima , ushaur kama wote .Acheni hizo theory za sijui wachaga wanaua wanaume ilikua zamani.
Huo ndio ukweli ni watafutaji wa kimyakimya, ukiona jiwe kabana basi ujue makabila mengine wapo taabani kuliko, subiri Xmas utaona magari, mabasi, ndege zinajaa kwenda na kurudi, hata elimu, uhasibu biasharaSina uhakika sana.
Ninachojua wachaga ni watafutaji kuliko kabila lolote Tanzania.
Ni kabila lenye maendeleo kuliko kabila lolote Tanzania .
Ni kabila lenye kujali elimu sana kama wahaya.
Ni kabila lenye ukarimu sana kwa wageni.
Nk...