Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
aisee kuna kitu sikukijua hapa,kumbe chui ndo alama ya mamlaka yetu....chui ni hatari,yuko fasta,mjanja mjanja na ana mvuto
Sasa mbona ametoweka, ina maana sasa yale mambo yenu ya asili ya kichaga yanavyotoweka kwa kasi yanamfuata chui aliyetoweka uchagani? Teheeeeee.
Tangu chui atoweke kule milimani, na viwanda Moshi mjini vimetoweka,migomba imetoweka, ng`ombe wa maziwa wametoweka, na barafu inatoweka na mbege inatoweka, na manka naye siku hizi anatoweka anakwenda kwa Chasaka !!!!!!!!!.
View attachment 163650
Mnajipa promo hadi kero
Mkuu Malila,
Wewe ni pacha na yule anayeigiza Kichaga kwenye TV?
Kahawa nayo inatoweka, maji nayo yametoweka, maparachichi nayo yanatoweshwa,....
Ndio,
Yeye ni doto na mimi ni kulwa.
I knew it!
Malila a.k.a Ndenshau.
Hivi inakuwaje hatufundishwi historiaIla Wauru hawapo Wilaya Hai