Historia kuhusu asili, tamaduni na aina za Wachaga

binafsi siyo mchaga ila napenda kabila hili watu wake wanatumia akili yao vizuri...hata kama hajasoma kama ambavyo makabila mengne yanaona kusoma ndo sifa kuu,wao hutumia akili tu yakuzaliwa kufanya maendeleo..
 
Jamiiforums utoto mwingi mwaka huu.
Linganisha wachangiaji hapa na waliochangia mwaka jana kwenye posti hii.
 


Mkuu Malila,
Wewe ni pacha na yule anayeigiza Kichaga kwenye TV?

Kahawa nayo inatoweka, maji nayo yametoweka, maparachichi nayo yanatoweshwa,....
 
Kila kabila na mtu anaweza kuendelea tu sema mazingira na vipato.
 



Mkuu Malila,
Wewe ni pacha na yule anayeigiza Kichaga kwenye TV?

Kahawa nayo inatoweka, maji nayo yametoweka, maparachichi nayo yanatoweshwa,....

Ndio,

Yeye ni doto na mimi ni kulwa.
 
Miss Chagga Uko Wapi?
Njoo Kipandee Hii, kuna watu wanaendelea kutushika pabaya!
 
Ila Wauru hawapo Wilaya Hai
Hivi inakuwaje hatufundishwi historia
za makabila yetu shule za msingi na sekondari? ni leo katika level ta elimu ya juu naanza kufaham historia ya wachaga. kwa nini tumekuwa tunafichwahistoria za mashujaa wa makabila yetu?
 
vijana wa kichaga huamua kuwaacha wake zao uchagani kwa muda mrefu matokeo yake hugegedwa na wakwe zao wa kiume,kwanini mnafanya hivyo?..
 
ni kweli wachaga tunaandamwa lakini na sisi tumezidi tamaa kama dada zetu ndio balaa tupu, sisi tumejaa dhuluma, ufisadi, kujipendelea na tamaa ya mali. Sio siri tunatia aibu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…