Historia moja imebaki intact; hakuna Rais aliyefanikiwa kurithisha kiti cha Urais kwa amtakaye

watanzania tuna tatizo mahali sio bure

sipo against Magufuli but naona sometimes hizi sifa zingine zinatokana na ujinga wetu. Imagine kuna mtu anaamini miradi yote tumeifanya kwa fedha zetu za ndani

ukimuuliza source "Ni kiongozi amesema"
Elimu ndugu haijatukomboa
 
JK mtoto wa mjini. Hekima imelala, na ndio anitumia kucheza na akili za watu
 
Huu msiba umejaa uongo mwingi Sana kuanzia maradhi, kifo NK . Unaonyesha Marehemu alikuwa muumini WA uongo.
 
Mungu pia anaweza akawapa garasa mnalo taka hata kama sio chaguo lake.. Ref: Mfalme Sauli hajawai kuwa chaguo la Mungu, bali ni chaguo la Israel. Chaguo la Mungu likawa ( lilikuwa ni David ). Wanadamu wasiposimama kwenye zamu yao ipasavyo shetani huweka mtu wake..
 
Ni kweli anaweza fanya hivyo ikiwa mnastahili kwa sifa na utukufu wake.
Kikubwa ni kwamba mamlaka zote anaziachilia yeye asiyeshindwa kuzizuia... nae ni Mungu
 
Mzee wa Msoga alikuwa defensive sana kutokana na "maneno maneno" ila nafikiri safari hii diplomasia yake imefeli kwa walengwa ambao wanamjua vema.

Taifa letu liko imara sana
Alale salama Mwamba John Pombe Magufuli
Mungu ibariki Tanzania Mungu mbariki rais wetu Samia Suluhu Hassan na wasaidizi wake wote
 
Ni kweli anaweza fanya hivyo ikiwa mnastahili kwa sifa na utukufu wake.
Kikubwa ni kwamba mamlaka zote anaziachilia yeye asiyeshindwa kuzizuia... nae ni Mungu
Kasome Ufunuo vizuri ndio utaelewa kuna mamlaka ambazo Mungu hausiki nazo hata kukaa pale, na utaona mfano Mfalme SULEIMAN na ADONIA. Ila kilichotokea ADONIA alikufa mapema tu, ndio kwa case kama hizo hutokea.
 
Taifa letu liko imara sana
Alale salama Mwamba John Pombe Magufuli
Mungu ibariki Tanzania Mungu mbariki rais wetu Samia Suluhu Hassan na wasaidizi wake wote
Mwamba ashalala salama usitie shaka mamiloo.

Kilio kilichobaki ni kimoja tu usukuma kwishney.
 
Kasome Ufunuo vizuri ndio utaelewa kuna mamlaka ambazo Mungu hausiki nazo hata kukaa pale, na utaona mfano Mfalme SULEIMAN na ADONIA. Ila kilichotokea ADONIA alikufa mapema tu, ndio kwa case kama hizo hutokea.

Sio ufunuo pekee

Ukisoma vizuri biblia utaelewa kwamba hakuna anachoshindwa kuzuia Mungu, na utaelewa kwanina anaachilia hata hizo tawala mbaya

Sifa na utukufu ni vyake yeye
 
Hivi ile agenda ya kuongeza muda bado ipo ?
 
Mwamba ashalala salama usitie shaka mamiloo.

Kilio kilichobaki ni kimoja tu usukuma kwishney.

Kabla yake usukuma na wasukuma walikuwepo na hata baada yake wataendelea kuwepo
Kwani kuna shida?
 
Sio ufunuo pekee

Ukisoma vizuri biblia utaelewa kwamba hakuna anachoshindwa kuzuia Mungu, na utaelewa kwanina anaachilia hata hizo tawala mbaya

Sifa na utukufu ni vyake yeye
Nimekupa usome ufunuo, ili upate picha namna ambavyo mamlaka zina nyanyuka za Mungu au shetani. Mungu anacho hold ni time.. unachanganya hapo tu kujua haya majira ni yepi na kuna nini kinatakiwa kutokea, ila swala la kumuweka kwenye kiti mtu flani, kuna nyakati Mungu hujikalia pembeni anaacha mjichagulie ili badae watu walie na roho zao
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…