Sandinistas79
Member
- Nov 6, 2020
- 64
- 43
Wazee wa Kiafrika hawapumziki hata wakifa; huendelea kufanya kazi kama mizimu!Katika historia ya Tz, jambo moja limekuwa linatokea mara kwa mara.
Rais aliyekuwepo madarakani kushindwa kumuweka anaemtaka anapoondoka.
Wengi walihisi Magufuli atatuwekea mtu wake akimaliza mda wake but haikutokea.
Nyerere alimtaka Salim, akatokea Mwinyi.
Mwinyi akamtaka Malecela, akaibuka Mkapa.
Mkapa akamtaka Kigoda, akashindwa na mtandao wa Kikwete.
Kikwete akamtaka Membe, akaibuka Magufuli.
Magufuli hatujui alikuwa na nani kampanga kichwani mwake Ila now tuna Samia.
Nna uhakika hata chaguo la Samia halitapita; ataibuka mwingine dakika za mwisho.
Hii ndo Tanzania. Ukipanga hivi the 'ancestors' wanapangua.
Angeishi milele unamanisha
Thibitisha.
Mambo yapo wazi sana yaliyoashiria kwamba alikuwa hana mpango wa kutoka.
Stoty yako ndio umeiokota kwenye vijiwe vya kahawa.Jifunze kutafti,maneno ya kijiweni yatakupotosha,kikwete alimtaka magu baada baada tu ya kuvunjika kwa ndoa yao rasimi na lowassa,kumbuke hotuba ya siku ya wafanyakzi RUVUMA,na baada ya akina membe na kundi lake kupigwa bani ya miezi 12 na ccm ya kutokujihusisha na maswala ya kisiasa
Chaguo la Samia lini hiyo? 2025 au 2030?Nna uhakika hata chaguo la Samia halitapita; ataibuka mwingine dakika za mwisho.
Hii ndo Tanzania. Ukipanga hivi the 'ancestors' wanapangua.
Nnai alikwambia hayo?Katika historia ya Tz, jambo moja limekuwa linatokea mara kwa mara.
Rais aliyekuwepo madarakani kushindwa kumuweka anaemtaka anapoondoka.
Wengi walihisi Magufuli atatuwekea mtu wake akimaliza mda wake but haikutokea.
Nyerere alimtaka Salim, akatokea Mwinyi.
Mwinyi akamtaka Malecela, akaibuka Mkapa.
Mkapa akamtaka Kigoda, akashindwa na mtandao wa Kikwete.
Kikwete akamtaka Membe, akaibuka Magufuli.
Magufuli hatujui alikuwa na nani kampanga kichwani mwake Ila now tuna Samia.
Nna uhakika hata chaguo la Samia halitapita; ataibuka mwingine dakika za mwisho.
Hii ndo Tanzania. Ukipanga hivi the 'ancestors' wanapangua.
Bado hujathibitisha. Zaidi umeonesha hisia zako tu.
Hata nikikutajia utasema hivyo hivyo ni hisia...ila yapo wazi sana nashangaa hauyajui.
Kikwete amesema jana kuwa yeye alimtaka Magufuli akamuweka namba moja.
Bwashee mbona una kichwa kigumu wewe?!
Au unasema wale waliosema tutamlazimisha tu, kina Kessy.
Mrisho JK ni msanii haswa,anajua kucheza na maneno ,blue anaweza kusema yellow na watu wakaamini.Kikwete mtu wake alikuwa Membe hiyo ya kusema marehemu alikuwa nambari one wake ni maneno ya msibani tu; kuwa hakumpenda marehemu sio siri hasa baada ya kupiga spana mradi wake wa Bagamoyo!! Ungeangalia reaction na body language ya mama Janet wakati wa speech ya Kikwete hapo ungeweza kutambua kuwa uhusiano wao ulikuwa wa urafiki wa mashaka!!
Mrisho JK ni msanii haswa,anajua kucheza na maneno ,blue anaweza kusema yellow na watu wakaamini.
Nafikiri hujaisikia hotuba ya Magufuli akisema kuwa kama siyo Kikwete asingekuwa raisi maana Kikwete aliwakata marafiki zake akamuacha yeyeKwa bahati nzurii sana Jakaya hana ujuzi wa kujua AUDIENCE yake na kama wasemavyo waswahili "UKIWA MUONGO USIWE MSAHAULIFU" ; kwani alisahau kuwa wale aliokuwa anawahutubia walikuwa washiriki katika mchakato uliompitisha Magufuli kuwa mgombea Urais mwaka 2015 na walikuwa mashahidi wa unafiki wake!!
Jeshi letu liko imara kulinda maslahi ya nchi kama alivyosema Mkuu wetu wa majeshi General MABEYO!! Chama kiwe makini katika kuteua nani awe VP kwani vyombo vya ulinzi vinaangalia kwa makini kuhakikisha kuwa hatoki kwenye kundi la mafisadi wanaotaka kurudi kufanya ufisadi uliozuiliwa na marehemu magufuli!!
Nafikiri hujaisikia hotuba ya Magufuli akisema kuwa kama siyo Kikwete asingekuwa raisi maana Kikwete aliwakata marafiki zake akamuacha yeye
Hiyo ni moja kati ya matendo kama 10 hivi ,kumbe unajua halafu unataka kutupotezea muda?
Mambo ya mbele(baadaye) wayajuaje weye?Kama angekuwa hai Hadi 2025 Magu angefanikiwa, angeenda na jina moja tu na hakuna ambaye angempinga.
Duh noma kweliAngekuwa rais wa maisha mpaka kifo kimtenganishe.