Historia na safari ya utumishi wa Generali Jacob John Mkunda

CV yake sidhani kama inatosheleza kuwa Mkuu wa Majeshi, yawezekana ndo mkuu wa majeshi mwenye CV mbovu toka uhuru
Sasa mkuu wa Majeshi nishani zake ni Comoro na za utumishi wa muda mrefu na za Uhuru.
Wanajeshi wanaojua maana ya Majukumu yao kijeshi ile ya mission ya kupambana na wamachinga Comoro wanajifanya hawakuwahi kwenda, bora wakwambie walienda kuzuia mapinduzi zanzibar mwaka 2001 kuliko Comoro
 
Ndo maana huwa nasema huyo jamaa ni kilaza.

Yaani kuanzia mwaka 1992 mpaka 2014 hakuwa na shahada ya chuo kikuu?

Kumbe kasoma elimu ya watu wazima ya chuo kikuu…..

Ningependa kuona transcripts zake kutoka hicho chuo alichosomea.

Yawezekana hicho chuo ni diploma mill.
 
Hii CV imeshiba, he deserves
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…