Historia ya BITCOIN: Uliza chochote nitajitahidi kukujibu

Mimi wasiwasi wangu ni utapeli kununua bits ni kurisk pesa zako kwa muda nilikua nataka ila hofu yangu ni sehemu reasonable wengi wansujihusisha na bitcoins ni matapeli tatizo ndio hilo
Ni wasiwasi wako tu ila sehemu za kuaminika ni nyingi
 
Haijafika 50%... na kwa inshu ya kukataliwa kwingineko hata ikitokea sio leo wala kesho.
 
Point
 
Kwanza naomba usome uzi huu wa mwaka jana hapa JF
E-Currency (BITCOIN) Exchange Market Deal

Sasa naomba tuungane kwanza kupata hizi BITCOIN za bure iwapo unao muda wa kila siku kuomba Faucet" ambapo kila siku unapata 0.0000027BTC sawa na Dollar
0.00501544 sawa na sh 10 tu za kitanzania. Lakini kwa kuwa ni bure na wewe unashinda katika mitandao bila kuingiza chochote si vibaya ukfanya..

Ukifikisha dollar kama 20 basi zitoe (withdraw kupitia njia yoyote kama Mpesa,Tigo Pesa au paypal).

Fuata njia zifuatazo
-----------------------------
Now i would tell you how you could earn money (BITCOIN with NO INVESTMENT
It's quite simple:
1. First register here

2. Login and go to "Products" - "Faucet".

3. Type captcha and earn your free bitcoins.
Note: you can do that only once a day!

4. Follow step 2 and step 3 next 2-3 days if you are patient or skip to step 7 Hurhur

5. After that you have claimed 3 times bitcoins.

6. Now your ready to start with your money bot.

7. Go to "Account" scroll down to menubar and choose "Exchange".

8. On the left choose your earned bitcoins and on the right choose "scrypt 24 hour rental"

9. Now you have activated your bot for the next 24 days and you should see your earnings
running in your account dashboard.

10.Under "Mining" you can switch to many currencies you will mine. I earn only bitcoin, ethereum And zcash those are my personal favorites right now. But it's
your own decision.

11.Every day you should go to "Faucet" and claim your free bitcoins.

12.On next day after your 24 rental scrypt is over, you have earned more bitcoins. Then you should
do step 7 till step 9 again...and again....and again.

13.Your collecting hashrate will rise up and you can get good money like me $10-12 per day and more.
 
Duh,/
Hizi Hela za mitandaoni ziko za kila aina kumbe,
Lakini hao watu wanafaidika na nini??
 
Mimi ni mdau wa cryptocurrency (Bitcoin,etherium,stratis etc).lakini sio wa kutafuta link za kupata coin za bure.Katika maisha yangu naogopa sana neno BURE.Nkishaona sehemu kuna neno bure basi nakaa mbali nako.
 
We umeshawithdraw ngapi ? Tupe ushahidi
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…