Historia ya BITCOIN: Uliza chochote nitajitahidi kukujibu

Historia ya BITCOIN: Uliza chochote nitajitahidi kukujibu

Wengi bado kitendawili nini haswa ni bitcoin?

Michezo ya pesa imekua mingi sana sasa bongo kuweni makini, kama Ponzi Scheme zinakuja kwa kasi.

Kwa maelezo zaidi kuhusu bitcoin, unanuaje na kuuzaje, trends, news na yoote utakayo kuyajua hapa umefika. Ask me Telegram Bitcoin Traders

New group, invite friends tuwe wengi tuweze share na kujifunza all about trading hizi cryptocurrencies.

Make Money Online at home.
Group lenu limejaa?
 
Ahsante sana mkuu kwa hii information, last time I checked bongo ilikua mzigo kutumia bitcoin. Sasa kama inapiga mzigo vizuri then naweza tuma bitcoin tu kutokea huku. Nipe process vizuri inakuaje nikituma mtu ambaye anataka kutoa huko, lazima awe na account NMB? au anatoaje? na makato yao yako vipi?
Jamaa atupe process asee za kutoa kwenye wallet to bank account
 
Jamaa atupe process asee za kutoa kwenye wallet to bank account
cheki post #37 hapo juu unaweza kununua/kuuza kwa payment processor yoyote ile unayopenda
mfano: m-pesa,tigopesa,airtel money au direct to bank.
 
Mkuu mimi nauliza direct transaction from my Bit wallet to Bank account or mobile Account just like M pesa, I don't mean to sell it out to buyer
mmmh!!hiyo cjui kama inawork hapa TZ ngoja wenye ujuzi zaidi waje kutuhabarisha.
 
Bitcoin leo iko 9.6mil ukitaka kuuza
 
Leo ni mil 10.3
Muda huu ni $4,600. Jana ilikua $4,000. Ina maana kama jana mtu angenunua Bitcoin 10 akaziuza muda huu angepata faida ya ($4,600 - $4,000) x 10 = $6,000 = Tshs 13,200,000/=

Sharti moja tu ni kua awe na Uwezo (Mtaji) wa kununua Bitcoin 10 x $4,000 x Tshs 2,250 = Tshs 90Mil
 
Thanks boss
Mkuu mimi nauliza direct transaction from my Bit wallet to Bank account or mobile Account just like M pesa, I don't mean to sell it out to buyer
Ilikuwa inawezekana kutoa kwa kupitia mfumo wa bitpesa( bitpesa.co)..ambao binafsi nimeutumia sana ambapo then unaweza kutoa kwa njia ya Mpesa au Tigopesa.Kwa sasa mfumo huu wameondoa TZS sababu za kiufundi ila wanasema wanafanyia marekebisho then watairudisha...mi nashukuru tu sababu btc zangu zimekwama remittano na xapo zinaendelea kunenepa...
 
uli mine au ulinunua
 
Mmh, bado hapo kuna mchezo wa kumuingiza mtu mjini. Gharama za kutengeneza hiyo pesa nani alitoa?. Hebu weka hata picha ya hela hiyo.
 
Muda huu ni $4,600. Jana ilikua $4,000. Ina maana kama jana mtu angenunua Bitcoin 10 akaziuza muda huu angepata faida ya ($4,600 - $4,000) x 10 = $6,000 = Tshs 13,200,000/=

Sharti moja tu ni kua awe na Uwezo (Mtaji) wa kununua Bitcoin 10 x $4,000 x Tshs 2,250 = Tshs 90Mil
acha kundaganya watu huu niutapeli mtupu
 
Back
Top Bottom