Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mmmhhh!!!!!kwa kuongezea
kwa sababu tunatuma na kupokea moja kwa moja (peer to peer) hupunguza gharama za kutuma pesa kwani gharama hazitegemei wingi wa fedha bali memory in bytes mfano unaweza tuma 1milion kwa buku na mwingine akatuma lak5 kwa bukujero.
kingine inawezesha malipo kuwa ya siri kwani naweza nikafanya biashara na wewe na nikakulipa bila ya ww kunijua na serikali kujua japo inahitaji uwe na software maalumu kama unataka usiri hususan zile za kuingilia darkweb mfano tor n.k
Ndio maana darkweb kuna biashara nyingi haram na halali zinafanyika kama vile madawa ya kulevya, hitman(kumwajiri mtu akuulie mtu), hacking(kuna jamaa wana hack kwa malipo iwe vyuoni kubadili matokeo au taasisi yoyote), magaidi vyote hivyo vimewezekana kwa kupitia bitcoin kwani pesa inatumwa bila kujua wahusika ni akinanani(kumbuka kwa kupitia software ndio usiri waweza kufanyika)
Kwa hiyo haina umuhimu wowote Zaidi kwenye illigal business ama taja hizo masoko ya mtandao yanayotumia bitcoin
Una guna nini sasa?Mmmhhh!!!!!
Billgate mwenyewe kawekeza huko billions of dollarsMnatuletea wizi kama wa makinikia ee..
Billgate mwenyewe kawekeza huko billions of dollars
Ni uthubutu tu
Kuna hawa jamaa wanafanya hata kwa mpesa au tigopesaAhsante sana mkuu kwa hii information, last time I checked bongo ilikua mzigo kutumia bitcoin. Sasa kama inapiga mzigo vizuri then naweza tuma bitcoin tu kutokea huku. Nipe process vizuri inakuaje nikituma mtu ambaye anataka kutoa huko, lazima awe na account NMB? au anatoaje? na makato yao yako vipi?
Yap unawezaHii pesa ninaweza kuidraw na kuitumia kwa matumizi ya kawaida?
mfano. Nina hela kwenye mpesa, nitaweza kuitoa na kununua kitu chochote ninachotaka.
Je, bitcoin iko hivyo?
ina umuhimu ila matumizi yake yako limited sio tovuti zote zinakubali!
ila kama ni mtu wakununua vitu mtandaoni nje ya physical goods ni ite nyingi zinapokea Bitcoin!
pia kuna kampuni inayofanya Forwarding kutoka eBay inakubali Bitcoin Viabox | Leader in Package Forwarding | Free USA Address
waweza kuwa na bitcoin pia ukawauzia watu wewe ukalipwa kwa pesa iliyo physical/ambayo unaweza withdraw
Bado hamkomi tu mkuu na hii michezo?
Hizi ni Business sio michezo mkuu....Bitcoin ndio baba lao....Bado hamkomi tu mkuu na hii michezo?
Mkuu now btc 1 ni 4,500 usdBitcoin sasa inakaribia $1000 and still growing.