Historia ya BITCOIN: Uliza chochote nitajitahidi kukujibu

Historia ya BITCOIN: Uliza chochote nitajitahidi kukujibu

cloud mining na ile ya kufunga mwenyewe mining rig ipi nzuri?nipe calculations kama hutojali
kufunga system mwenyewe is too expensive ...mwanzoni nilianza nayo but inahitaji resources nyingi na technology ikibadilika na resoures unatakiwa uziongeze
 
04ca72507d1a76af571d3089eb53d177.jpg

Wadau thamani ya BTC imeshuka sana ni muda wa kununua na kuhifadhi kwa wadau wa biashara hii
 
Nimekuwa natumia bitcoin kwa muda mrefu sana sasa, kuna kipindi nilikuwa naweza kununua 100 coins na kuendelea. Kusema kweli kama ningekuwa naweka coins kwa ajili ya trading yaani kuja kuuza baadae kwa faida zingenipa faida kubwa sana, sana. Wakina Kimble walivotimka na pesa za watu Evolution market ikafa bei iliporomoka mno ndani ya masaa machache, miezi michache baadaye nikapoteza contact na mtu niliyekuwa nafanya naye biashara hivo nikajikuta situmii tena bitcoin. January mwaka huu nilipochungulia nilishangaa kukuta bei ya coin moja ni zaidi ya milioni mbili za kitanzania, coin ambayo tulikuwa tunainunua kwa pesa isiyofika laki mbili!!! Mwezi wa saba coin ilifika karibia milioni kumi za Kitanzania!!! Baada ya BTCChina kuvuruga mambo juzi bei imeshuka, lakini siyo kwa kiasi iliyokuwa mwaka mmoja uliopita. Mtazamo wangu ni kwamba bei itapanda, tena itapanda sana, baada ya mwaka mmoja bei ya coin moja usishangae ikawa milioni ishirini, itapanda saaana baadaye currency itakufa, itakufa na pesa za watu!
 
Ndio nini hyo?
Hiyo ni pesa ya kidijitari yaani haishikishi na inathamani kuliko pesa yoyote duniani... ofcoz unahitaji kuwa kwenye darasa ili kujua mengi kuhusu pesa hii na jinsi ya kuifanyia biashara. Kama unatumia Telegram unaweza jiunga na hiyo channel niliyopiga screenshot utajua mengi. Ingia Telegram hlf sehemu ya kusearch type @allabtbitcoin na join channel.
 
Nimekuwa natumia bitcoin kwa muda mrefu sana sasa, kuna kipindi nilikuwa naweza kununua 100 coins na kuendelea. Kusema kweli kama ningekuwa naweka coins kwa ajili ya trading yaani kuja kuuza baadae kwa faida zingenipa faida kubwa sana, sana. Wakina Kimble walivotimka na pesa za watu Evolution market ikafa bei iliporomoka mno ndani ya masaa machache, miezi michache baadaye nikapoteza contact na mtu niliyekuwa nafanya naye biashara hivo nikajikuta situmii tena bitcoin. January mwaka huu nilipochungulia nilishangaa kukuta bei ya coin moja ni zaidi ya milioni mbili za kitanzania, coin ambayo tulikuwa tunainunua kwa pesa isiyofika laki mbili!!! Mwezi wa saba coin ilifika karibia milioni kumi za Kitanzania!!! Baada ya BTCChina kuvuruga mambo juzi bei imeshuka, lakini siyo kwa kiasi iliyokuwa mwaka mmoja uliopita. Mtazamo wangu ni kwamba bei itapanda, tena itapanda sana, baada ya mwaka mmoja bei ya coin moja usishangae ikawa milioni ishirini, itapanda saaana baadaye currency itakufa, itakufa na pesa za watu!
Asee ungekuwa sehemu nzuri sn... Lkn haujachelewa still unaweza kuendelea kuinvest na BTC
 
Mimi wasiwasi wangu ni utapeli kununua bits ni kurisk pesa zako kwa muda nilikua nataka ila hofu yangu ni sehemu reasonable wengi wansujihusisha na bitcoins ni matapeli tatizo ndio hilo
 
Mimi wasiwasi wangu ni utapeli kununua bits ni kurisk pesa zako kwa muda nilikua nataka ila hofu yangu ni sehemu reasonable wengi wansujihusisha na bitcoins ni matapeli tatizo ndio hilo
Mbona kuna bitcoin exchange kibao tu nzuri ambazo zipo toka zamani. Kama mwoga sana unaset wallet ya offline unatunza pesa zako mwenyewe.
 
Wakuu nimetengeneza bitcone wallet ila kuna sehemu wananiambia kuna password wametuma kwenye email lakini nikicheck email naona ni address ile tu
 
Swali la msingi kuuliza ni kwanini imeshuka kwa zaidi ya 50%? Jibu ni kwamba China ina mpango wa kupiga marufuku matumizi yake nchini mwao. Kuna uwezekano nchi zingine zikafuata pia. Ni muhimu sana kujua kwanini ilikuwa inapanda thamani na kwanini sasa inashuka.
 
Chinese authorities have ordered Beijing-based cryptocurrency exchanges to cease trading and immediately notify users of their closure, signaling a widening crackdown by authorities on the industry to contain financial risks.

Exchanges were also told to stop allowing new user registrations as of Friday, according to a government notice signed by the Beijing city group in charge of overseeing internet finance risks that was circulated online and verified by a government source to Reuters.

Platforms should also tell the government by Wednesday Sept. 20 how they will allow users to make withdrawals in a risk-free manner and handle funds to ensure that investors' interests are protected, according to the notice that was also reported by state newspaper Securities Times.

"All trading exchanges must by midnight of Sept. 15 publish a notice to make clear when they will stop all cryptocurrency trading and announce a stop to new user registrations," the government notice said.

China is cracking down on the cryptocurrency business to try to limit risks as consumers pile into a highly speculative market that has grown rapidly this year. Reuters and other media reported earlier this week that it planned to shut down the exchanges.

Shanghai-based BTCChina, a major Chinese bitcoin exchange, said on Thursday it would stop all trading from Sept. 30, citing tightening regulation, while smaller Chinese bitcoin exchanges ViaBTC, YoBTC and Yunbi on Friday also announced similar closures.

Beijing-based platforms OkCoin and Huobi, which are among China's biggest exchanges, did not immediately respond to a request for comment.

The bitcoin price was down 5% at $3,071 at 1036 GMT on U.S. exchange Bitstamp. The bitcoin price index on trade website Coindesk slid below $3,000 for the first time in six weeks.

Bitcoin fell by more than 10 percent on Wednesday after a warning by JPMorgan Chief Executive Jamie Dimon that it "is a fraud" and will eventually "blow up."

"Illegal Flows"
Earlier on Friday, a senior executive at China's state-backed internet finance body said that "stateless" digital tokens such as bitcoin posed risks as they could be used for illegal actions, and rules were needed to support the development of "legal" digital currencies.

Li Lihui, a senior official at the National Internet Finance Association of China and a former president of the Bank of China, also told a conference in Shanghai that global regulators should work together to supervise cryptocurrencies.

"Digital tokens like bitcoin , ethereum that are stateless, do not have sovereign endorsement, a qualified issuing body or a country's trust, are not legal currencies and should not be spoken of as digital currencies," he said.

"They can become a tool for illegal fund flows and investment deals."

He said there should be a distinction between digital currencies, which were being studied and developed by authorities such as the Chinese central bank, and digital tokens such as bitcoin . Digital currencies developed by authorities could be used for good, with the right regulation, he said.

The state-backed internet finance body was set up by the central bank and its members include banks, brokerages, funds and consumer finance companies.

On Wednesday, it urged members to abide by Chinese laws and not deal in cryptocurrencies.

Since January, Chinese bitcoin exchanges have rolled out a series of changes to comply with increased scrutiny by Beijing. Still, the industry was thrown into chaos on Sept. 4 when China issued a directive banning initial coin offerings (ICOs).

China's crackdown "is all about protecting market stability and protecting the interest of investors, so halting these kinds of initial coin offerings is a very necessary action," Li said.

Vlad Zamfir, a researcher at the Switzerland-based Ethereum Foundation told Reuters that it was no surprise China is moving against such currencies as Beijing has capital controls that are "in direct tension with the free ability to send any amount of money anywhere without any kind of delay."
 
Back
Top Bottom