khaliciouz
JF-Expert Member
- Nov 12, 2013
- 579
- 210
I am bitcoin consultant unaweza kunipigia 0713774746 au whatsapp i will help you in anything
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Habari zenu ndugu zangu wa Jamiiforums. Wengi wetu tunaifahamu fulsa ya BITCOIN ila mimi leo nawaambia MSIWEKEZE KWENYE SARAFU YA BITCOIN PEKEE YAKE UTACHELEWA KUPATA MAFANIKIO
Mwanzilishi wa Bitcoins Satoshi Nakamoto mwaka 2009 aliwafumbua macho watu wote duniani kwa kuanzisha Sarafu ya Bitcoin!!
Teknolojia ya Bitcoins imeendelea kutumika sana kutengeneza Sarafu nyingine zaidi duniani zenye mfumo wa Bitcoins protocol!!
Sarafu ya Bitcoin sasa hivi iko juu sana kwa bei! Hali hii inawakatisha tamaa wawekezaji wenye mitaji kidogo kukosa utajiri mkubwa sana uliopo kwenye Sarafu za kidigitali zipatazo 600 sasa hivi duniani kote!!
Naomba nitambulishe kwako Sarafu mpya iitwayo Adscash ambayo ni salama kabisa kuwekeza kwenye Sarafu hiyo mapema kabla ya UZINDUZI wa Sarafu hiyo mwezi huu wa Machi 2017.
Hii ni Sarafu itakuwa inatumika kwenye matangazo ya kimataifa kama ilivyo Facebook, Twitter YouTube Instagram WhatsApp Bitcoinadspay, nk.
Faida itakayokuwa inapatikana kwenye international business advertisements ndizo watakuwa wanapata gawio lake wanachama wa kampuni hii!!
Adscash ikishazinduliwa itakuwa sokoni na coin zake zitakuwa zinakufikia wewe mwekezaji kwa kutumia mfumo wa blockchain ya Sarafu ya Ethereum!!
Wanachama wa kampuni hii watakuwa na Uhuru (flexibility) wa kubadili hizo coin kwenye Dollars au Bitcoins wakati wa kufanya Deposit au Withdrawal of their money!!
Kampuni hii itazinduliwa rasmi tarehe 25/03/2017 duniani kote!!
Hadi sasa hivi zaidi ya watu 155,000 wamejiunga tangu usajili rasmi uanze February mwanzoni!
Ukijiunga unapewa Adscash coins 100 za Bure ikiwa ni coin za promotion kabla ya UZINDUZI wa Sarafu hii ya Adscash!
Kumbuka kuwa Adscash Ni Sarafu mpya hivyo bado ina bei ya chini kwa sasa hivi!! Hivyo unaweza Kupata coin nyingi sana kwa bei ndogo!!
Adscash coins zinatarajia kupanda sana hadi kufikia $10 miezi michache baada ya kuwekwa sokoni (public coin).
Hivyo ukiwa na coin 100 utakazozipata Bure kabisa kwa kujiunga sasa hivi ni sawa na Dolla 1000 sawa na Tshs 2,300,000 au shs 3m kwa miezi mitatu hadi 12 ijayo baada ya kuwepo sokoni!
Hii siyo fursa ya kukosa aiseeeee
Sasa naomba nisikuchoshe kwa maneno mengi tumia link hiyo ujisajili twende pamoja tujifunze kutengeneza fedha.
AdsCash a new secure ,decenralized cryptocurrency exclusively for the Adworld. A new advertising payment system.
Ufafanuzi kwenye malipo yan commission's baada ya usajili ni kwa njia gan benki au mpesa? ahsanteHabari zenu ndugu zangu wa Jamiiforums. Wengi wetu tunaifahamu fulsa ya BITCOIN ila mimi leo nawaambia MSIWEKEZE KWENYE SARAFU YA BITCOIN PEKEE YAKE UTACHELEWA KUPATA MAFANIKIO
Mwanzilishi wa Bitcoins Satoshi Nakamoto mwaka 2009 aliwafumbua macho watu wote duniani kwa kuanzisha Sarafu ya Bitcoin!!
Teknolojia ya Bitcoins imeendelea kutumika sana kutengeneza Sarafu nyingine zaidi duniani zenye mfumo wa Bitcoins protocol!!
Sarafu ya Bitcoin sasa hivi iko juu sana kwa bei! Hali hii inawakatisha tamaa wawekezaji wenye mitaji kidogo kukosa utajiri mkubwa sana uliopo kwenye Sarafu za kidigitali zipatazo 600 sasa hivi duniani kote!!
Naomba nitambulishe kwako Sarafu mpya iitwayo Adscash ambayo ni salama kabisa kuwekeza kwenye Sarafu hiyo mapema kabla ya UZINDUZI wa Sarafu hiyo mwezi huu wa Machi 2017.
Hii ni Sarafu itakuwa inatumika kwenye matangazo ya kimataifa kama ilivyo Facebook, Twitter YouTube Instagram WhatsApp Bitcoinadspay, nk.
Faida itakayokuwa inapatikana kwenye international business advertisements ndizo watakuwa wanapata gawio lake wanachama wa kampuni hii!!
Adscash ikishazinduliwa itakuwa sokoni na coin zake zitakuwa zinakufikia wewe mwekezaji kwa kutumia mfumo wa blockchain ya Sarafu ya Ethereum!!
Wanachama wa kampuni hii watakuwa na Uhuru (flexibility) wa kubadili hizo coin kwenye Dollars au Bitcoins wakati wa kufanya Deposit au Withdrawal of their money!!
Kampuni hii itazinduliwa rasmi tarehe 25/03/2017 duniani kote!!
Hadi sasa hivi zaidi ya watu 155,000 wamejiunga tangu usajili rasmi uanze February mwanzoni!
Ukijiunga unapewa Adscash coins 100 za Bure ikiwa ni coin za promotion kabla ya UZINDUZI wa Sarafu hii ya Adscash!
Kumbuka kuwa Adscash Ni Sarafu mpya hivyo bado ina bei ya chini kwa sasa hivi!! Hivyo unaweza Kupata coin nyingi sana kwa bei ndogo!!
Adscash coins zinatarajia kupanda sana hadi kufikia $10 miezi michache baada ya kuwekwa sokoni (public coin).
Hivyo ukiwa na coin 100 utakazozipata Bure kabisa kwa kujiunga sasa hivi ni sawa na Dolla 1000 sawa na Tshs 2,300,000 au shs 3m kwa miezi mitatu hadi 12 ijayo baada ya kuwepo sokoni!
Hii siyo fursa ya kukosa aiseeeee
Sasa naomba nisikuchoshe kwa maneno mengi tumia link hiyo ujisajili twende pamoja tujifunze kutengeneza fedha.
AdsCash a new secure ,decenralized cryptocurrency exclusively for the Adworld. A new advertising payment system.
MmhHakuna kitu utapeli tu huo nilishalizwa hapo utapeli mtupu musikubali wa tz wenzangu huo biashara ni utapeli mtupu
since 2009 baada ya matajiri wengi kugundua bitcoin its a new thing which can turn them to be a millionaire ilipanda thamani sana kutoka dola 17 mpaka kufika dola 1000 + ndani ya muda mfupi sana lakina ghafla ilishuka thamani baada ya nchi nyingi kuigopa kuwa ingeshusha thamani pesa zao na usalam wa online money haukuwa vizuri so demand kubwa ikapotea ikashuka hadi dola 200.... then after that ikaaza kujistabelize pole pole mpaka sasa ina fluctuate kwenye dola 1000.... new invention and technology zikaongezwa kwenye bitcoin investment mpaka ikaingia all big forex trade kama newyork nk..... now nchi zilizoendelea zina hadi bitcoin atm... for how it is ni vigumu kushuka zaidi ya dola 100 kwa muda mfupi ni sawa na kusema dollar ya kimarekani leo ikashuka na kuwa sawa na tsh. Bitcoin imeshakuwa big currenyc you can check fbitcon history miaka yote uone fluctuation yake.Kushuka kwake kwa thamani sio pa kikawaida,inaweza ikashuka from hiyo 1100 to 100.
Imeishatokea mara kadhaa
since 2009 baada ya matajiri wengi kugundua bitcoin its a new thing which can turn them to be a millionaire ilipanda thamani sana kutoka dola 17 mpaka kufika dola 1000 + ndani ya muda mfupi sana lakina ghafla ilishuka thamani baada ya nchi nyingi kuigopa kuwa ingeshusha thamani pesa zao na usalam wa online money haukuwa vizuri so demand kubwa ikapotea ikashuka hadi dola 200.... then after that ikaaza kujistabelize pole pole mpaka sasa ina fluctuate kwenye dola 1000.... new invention and technology zikaongezwa kwenye bitcoin investment mpaka ikaingia all big forex trade kama newyork nk..... now nchi zilizoendelea zina hadi bitcoin atm... for how it is ni vigumu kushuka zaidi ya dola 100 kwa muda mfupi ni sawa na kusema dollar ya kimarekani leo ikashuka na kuwa sawa na tsh. Bitcoin imeshakuwa big currenyc you can check fbitcon history miaka yote uone fluctuation yake.
thank you
Mkuu kwenye platform ya MtGox Japani kati ya mwaka 2013 na 2014 Bitcoin ilishoot to $1,300 per coin na ikashuka mpaka kufikia $300, na ikashuka zaidi mpaka jamaa wakaclose shop.
The biggest financers wa Bitcoin ni Iran,Rusia na Isis. Hao wawili wa kwanza sababu ya economic sanctions walizowekewa wamekimbilia huko kufanya illicit transactions zao.
Mpaka hapo hizo currencies zitakapokuwa recognized na kuwa under legal supervision na regulations simshauri mtu anayeseek decent investment na secure payment system kujihusisha nazo.
Sasa uyu alikuja kutushawishi si ni mtanzania mwenzetu? Ama kweli mchawi ndugu.Mkuu kwenye platform ya MtGox Japani kati ya mwaka 2013 na 2014 Bitcoin ilishoot to $1,300 per coin na ikashuka mpaka kufikia $300, na ikashuka zaidi mpaka jamaa wakaclose shop.
The biggest financers wa Bitcoin ni Iran,Rusia na Isis. Hao wawili wa kwanza sababu ya economic sanctions walizowekewa wamekimbilia huko kufanya illicit transactions zao.
Mpaka hapo hizo currencies zitakapokuwa recognized na kuwa under legal supervision na regulations simshauri mtu anayeseek decent investment na secure payment system kujihusisha nazo.
Madhumuni yake ilikuwa ni kurahisha utumaji na upokeaji wa pesa pasipo mtu wa kati ikimaanisha pesa inatumwa moja kwa moja kutoka mtumaji hadi mpokeaji tofauti na paypal ilivyoMadhumuni ya hii bitcoin ni yepi?