Historia ya BITCOIN: Uliza chochote nitajitahidi kukujibu

Historia ya BITCOIN: Uliza chochote nitajitahidi kukujibu

Hilo neno "Crypto" unanikumbusha nilipokuwa nasoma "Cryptograph" pale CIVE 😀😀.
 
Lakini pia usisahau kueleza ya kwamba pesa hiyo thamani yake

inapanda na kushuka......kwa mfano sasa hivi thamani yake imeshuka

sana ....muda kidogo uliopita BTC 1 Ilikuwa sawa sawa na mil sita

lkn kwa sasa BTC1 ni kama mil 4 hv, ni pesa ambayo haina direct

cotrol na benki kuu.
 
Kuna ukweli unauficha kiongozi. Funguka.
Hapana kiongoz hayo machache pia ni yakweli ila kuna mengi tutajulishana siku hadi siku maana kuna vingi vya kuzungumzia juu ya bitcoin, ila kifupi ni opportunity nzur ya kuijua na kuwekeza pakiwa bado mapema
 
Sawa kiongozi tupo pamoja.
 
Naweza kulipia matangazo ya Facebook kwa Bitcoin?
Endapo mmiliki wa Facebook ataruhusu kupokea kama wengine mfano Bill Gates ni muwekezaji mzur wa Bitcoin ndomaana Microsoft ni mojawapo ya Kampuni unayoweza ku purchase kwa kutimia bitcoin ama Kampuni la Dell
 
Wakuu Habari?
Nahitaji kiasi cha $12 kuingia kwenye wallet yangu ya Bitcoin. Nimetembelea tovuti tofauti, nyingi zinaruhusu kununua hii sarafu ya Bitcoins kuanzia $500 na kuendelea. Kwa chache zinaruhusu kwa amount ya $1 na kuendelea hazitoi access kwa Tz kudeposit. Naombeni msaada kwa mnaojua hii kitu niweze deposit $12.
Asante!
 
Back
Top Bottom