Historia ya BITCOIN: Uliza chochote nitajitahidi kukujibu

Boss mi nataka kufanya mining kupitia eobot, nawezaje kuhamisha bitcoin zangu kutoka localbitcoin kwenda eobot ?
Kwanza niseme kitu, hapa mimi nitaelezea vitu ambavyo ninahalika navyo na nimewahi kuvifanya au nimewaona watu wakifanya na vikafanikiwa na vinaendelea kufanikiwa jambi nikiwa bado sijalifahamu siwez kukupa majibu ya kubabaisha haiya ngoja nikujibu.

Kwanza niseme ukweli eobot mimi siifahamu na sijawah kuwa karbu na mtu aliepo huko.

Ila nachujua unaweza kuhamisha bitcoin zako kutoka kwenye bitcoin wallet yako ya localbitcoin kwenda kwenye blockchain au ukasend kwa mtu au sehemu yeyote, ukiwa kwenye profile yako nenda kule kwenye sehemu imeandikwa send halafu tafuta sehemu imeandikwa receiving Address copy address ya ile wallet ya sehemu unayotaka kumtumia halafu paste pale kwenye dialogy hakikisha ni address sahihi then una continue tayar itaenda baafa ya kuweka password.

Au kama una device mbili moja utafungua kule kwenye hiyo site unayotaka kutuma btc halafu unachukua ile device yako yenye btc una scan pale kwenye barcode za ile address unapotuma.
 
Shukran.. blockchain wanafanya minig fresh ?
 
2.Buy and Sell through currency trading.
Ndugu samahani nna maswali, mie nataka kutumia hii nifanye currency trading kwenye BTC nianzie wapi?

Nahitaji kwa kujifunza vitabu, tuts, training zaidi au naingia tu directly? na Vitu gani vinahitajika kama vitendea kazi?

Biashara lazima huwa na risks, Vipi kuhusu risk za biashara ya BTC ni zipi na namna ya kuzihandle ili kuminimize loss?

Na hii BTC inatambuliwa na mamlaka za nchi kama Tanzania?
 
ni kweli hii stor za electronic money zina uhusiano mkubwa sana na nwo na kuna agenda mbaya sana
Very true. Nani anamiliki au anadhibiti (regulate) hiyo biashara? Hard currency wanazoondoa kwenye mzunguko kwa kuuza currency nadharia zinaenda wapi na atazifanyia huyo anayezikusanya? Fedha mtandao? Mtandao wa nani? Siku wenye mitandao yao wkiamua kuweka stringent conditions za matumizi na kuweka malipo makubwa mteja ana options zipi? This digital currency will lead into permanent collapse of world economy. If well stupidly fall victims of this seemingly tricky and malicious business, we will fall into a dark-hole we will never be able to get out and the masterminds of the game will rule the world. And it will be the worst situation ever in the history of mankind. I stand to be corrected.
 
well said mkuu kama ni wale rockfeller na rothschild wanazimiliki itafika mahali ukizihitaji wanaweka vigezo na mashart yao
 
Very true. Nani anamiliki au anadhibiti (regulate) hiyo biashara? Hard currency wanazoondoa kwenye mzunguko kwa kuuza currency nadharia zinaenda wapi na atazifanyia huyo anayezikusanya? Fedha mtandao? Mtandao wa nani? Siku wenye mitandao yao wkiamua kuweka stringent conditions za matumizi na kuweka malipo makubwa mteja ana options zipi? This digital currency will lead into permanent collapse of world economy. If well stupidly fall victims of this seemingly tricky and malicious business, we will fall into a dark-hole we will never be able to get out and the masterminds of the game will rule the world. And it will be the worst situation ever in the history of mankind. I stand to be corrected.
New world order ulishaingia kitambo uliposajili line yako, simu, atm card so kua mpole tu.. omba Mungu
 
Nashukuru sana kuisoma thread ya cryptocurrency. Ni mapinduzi kubwa sana kwa sababu inademocratize uchumi na ndiyo mañana mabenki na serikali nyingi wanatafuta regulation lakini watashindwa.
Mimi nasoma kila siku www.blockchaincompany.info (kingereza tu) kwa km pata maelezo mengi ya blockchain use cases na pía cryptocurrency.
Nimeipenda tovuti pía sababu ukiwa member wanakupa assigned blockchain company utility tokens bure na ukiwa active member wakati hizo tokens zitakapoweka kwenye crypto market (coinbase.com) zitakuwa na thamani.
Nipo Ulaya na Leo ninattend seminar ya cryptocurrency. Nafikiri crypto na blockchain utilities zinaweza kuwa njia nzuri ya kutajirika ukiwa na akili na common sense (sawa na for ex, kwa mfano)
Asanteni
 
Wakuu naombeni kujua namna ya kuuza bitcoin e.g nmeoma price imepanda ntauzaje? Na ikumbukwe katika maelezo kuna sehem wanasema mmiliki hajulikan na ww unaeuza jina lako pia hatokujua anaekuuzia
 
Back
Top Bottom