trigeminal
JF-Expert Member
- Jan 9, 2015
- 1,944
- 2,283
Boss mi nataka kufanya mining kupitia eobot, nawezaje kuhamisha bitcoin zangu kutoka localbitcoin kwenda eobot ?Idadi ya uhitaji wa elimu hii ikiwa kubwa tutafikiria kufanya hivyo pia
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Boss mi nataka kufanya mining kupitia eobot, nawezaje kuhamisha bitcoin zangu kutoka localbitcoin kwenda eobot ?Idadi ya uhitaji wa elimu hii ikiwa kubwa tutafikiria kufanya hivyo pia
Kwanza niseme kitu, hapa mimi nitaelezea vitu ambavyo ninahalika navyo na nimewahi kuvifanya au nimewaona watu wakifanya na vikafanikiwa na vinaendelea kufanikiwa jambi nikiwa bado sijalifahamu siwez kukupa majibu ya kubabaisha haiya ngoja nikujibu.Boss mi nataka kufanya mining kupitia eobot, nawezaje kuhamisha bitcoin zangu kutoka localbitcoin kwenda eobot ?
Shukran.. blockchain wanafanya minig fresh ?Kwanza niseme kitu, hapa mimi nitaelezea vitu ambavyo ninahalika navyo na nimewahi kuvifanya au nimewaona watu wakifanya na vikafanikiwa na vinaendelea kufanikiwa jambi nikiwa bado sijalifahamu siwez kukupa majibu ya kubabaisha haiya ngoja nikujibu.
Kwanza niseme ukweli eobot mimi siifahamu na sijawah kuwa karbu na mtu aliepo huko.
Ila nachujua unaweza kuhamisha bitcoin zako kutoka kwenye bitcoin wallet yako ya localbitcoin kwenda kwenye blockchain au ukasend kwa mtu au sehemu yeyote, ukiwa kwenye profile yako nenda kule kwenye sehemu imeandikwa send halafu tafuta sehemu imeandikwa receiving Address copy address ya ile wallet ya sehemu unayotaka kumtumia halafu paste pale kwenye dialogy hakikisha ni address sahihi then una continue tayar itaenda baafa ya kuweka password.
Au kama una device mbili moja utafungua kule kwenye hiyo site unayotaka kutuma btc halafu unachukua ile device yako yenye btc una scan pale kwenye barcode za ile address unapotuma.
ShukranI c, somo zuri hili.. Shukran mkuu elite wa Geita
Blockchain ni wallet au mfuko au pochi au inbox unapohifadhi digits 0.00000 BtcShukran.. blockchain wanafanya minig fresh ?
Ndugu samahani nna maswali, mie nataka kutumia hii nifanye currency trading kwenye BTC nianzie wapi?2.Buy and Sell through currency trading.
mkuu najaribu nikishindwa nakuomba msaadaUkitaka kuanza ama kujiunga kuna vitu vinaweza kuwepo usivielewe nifahamishe nitakusaidia site ni
http://bitclub.network/espbit
Mzee embu na ww jaribu maana wanahitaji dola 99 kama kianziomkuu najaribu nikishindwa nakuomba msaada
kujiunga tayari ,naendelea na mengine hizo dola sio ishu,ishu ikubali ,naona wabongo wamechangamkia hii kitu,wako kibaoMzee embu na ww jaribu maana wanahitaji dola 99 kama kianzio
yap wako watanzania tena unauziwa kwa Tigo Pesa au M-Pesa,naendelea kujifunza hiiiiYahh nimenunua bitcoins kutoka locatbitcoins na nimeuziwa na mtanzania
amekuuzia kwa ngapi? nataka kesho wiki endi nitulie home nianze kuzinunuaYahh nimenunua bitcoins kutoka locatbitcoins na nimeuziwa na mtanzania
Nilitest za elfu mbili na kwelii zikajaamekuuzia kwa ngapi? nataka kesho wiki endi nitulie home nianze kuzinunua
Very true. Nani anamiliki au anadhibiti (regulate) hiyo biashara? Hard currency wanazoondoa kwenye mzunguko kwa kuuza currency nadharia zinaenda wapi na atazifanyia huyo anayezikusanya? Fedha mtandao? Mtandao wa nani? Siku wenye mitandao yao wkiamua kuweka stringent conditions za matumizi na kuweka malipo makubwa mteja ana options zipi? This digital currency will lead into permanent collapse of world economy. If well stupidly fall victims of this seemingly tricky and malicious business, we will fall into a dark-hole we will never be able to get out and the masterminds of the game will rule the world. And it will be the worst situation ever in the history of mankind. I stand to be corrected.ni kweli hii stor za electronic money zina uhusiano mkubwa sana na nwo na kuna agenda mbaya sana
hahahahahaha,safi sana kaka ,hii kitu wiki endi hii natulia nayo homeNilitest za elfu mbili na kwelii zikaja
well said mkuu kama ni wale rockfeller na rothschild wanazimiliki itafika mahali ukizihitaji wanaweka vigezo na mashart yaoVery true. Nani anamiliki au anadhibiti (regulate) hiyo biashara? Hard currency wanazoondoa kwenye mzunguko kwa kuuza currency nadharia zinaenda wapi na atazifanyia huyo anayezikusanya? Fedha mtandao? Mtandao wa nani? Siku wenye mitandao yao wkiamua kuweka stringent conditions za matumizi na kuweka malipo makubwa mteja ana options zipi? This digital currency will lead into permanent collapse of world economy. If well stupidly fall victims of this seemingly tricky and malicious business, we will fall into a dark-hole we will never be able to get out and the masterminds of the game will rule the world. And it will be the worst situation ever in the history of mankind. I stand to be corrected.
New world order ulishaingia kitambo uliposajili line yako, simu, atm card so kua mpole tu.. omba MunguVery true. Nani anamiliki au anadhibiti (regulate) hiyo biashara? Hard currency wanazoondoa kwenye mzunguko kwa kuuza currency nadharia zinaenda wapi na atazifanyia huyo anayezikusanya? Fedha mtandao? Mtandao wa nani? Siku wenye mitandao yao wkiamua kuweka stringent conditions za matumizi na kuweka malipo makubwa mteja ana options zipi? This digital currency will lead into permanent collapse of world economy. If well stupidly fall victims of this seemingly tricky and malicious business, we will fall into a dark-hole we will never be able to get out and the masterminds of the game will rule the world. And it will be the worst situation ever in the history of mankind. I stand to be corrected.