Historia ya BITCOIN: Uliza chochote nitajitahidi kukujibu

Historia ya BITCOIN: Uliza chochote nitajitahidi kukujibu

Naona forex ni salama zaidi kuliko hii bitcoin ambayo wanasema ni kama puto. Siku likibast ndio basi tena
1ea96d8a29d6f30400ef9ec6832b7fe8.jpg
 
Naona forex ni salama zaidi kuliko hii bitcoin ambayo wanasema ni kama puto. Siku likibast ndio basi tena
1ea96d8a29d6f30400ef9ec6832b7fe8.jpg
Because is a bubbles the bighest hedge find in usa is putting 500million usd in crypto And blockchain. Jpmorgan is scared that they wont be able to control finances of the world. That is. Jpmorgan or mr dillon is an Old finance Guy. Blockchain And crypto like bitcoin is this century. When the internet came up in 1993-1995 many people positioned themselves with many start UPS until the sylicón bubble bursted. But this who invested wisely And positioned themselves And risked now Are súper bill ion aires. Bitcoin by sure is going to go up. Imagine another altcoin (alternativa coin) like neox. Some months ago was 0.16€... Three weeks ago was close to 45€. Imagine you bought 1000€ of it.... Now you would have close to 290000€... In four months! A bubbles? Yes. Risk? Yet. Kulima mahindi pia ni risk kama dhoruba au ukame unakuja. Nasema Tena kwenye www.Blockchain company.info utaweza kuzipata articles kuhusu alichosema bwana Dillón Na majibu ya Karpesky Na kadhalika. There is a campaign on the side of all financiers who want to continúe control the world And Are scared of the anonimity And no borders of the crypto. Informe yourself then act accordingly.
By the way jpmorgan And mr dillon needed to be rescued by the usa government when the 2008 crisis came. Haha.
 
Habari ndugu zangu,kwanza nianze kwa kushukuru kwa muitikio wenu wengi wamekua wakifatilia maandiko haya na sio kusoma hapa hapa baada ya hapa wamekua wakiperuz sehemu nyingine kuthibitisha maandiko yangu kama yanazungumzia uhalisia au la.
Nitoe pongezi pia kwa wenzangu walioifahamu mapema elimu hii ya Cryptocurrency na wamekua wakielezea hapa pamoja nami ni jambo bora sana maana inasaidia kutia moyo na kuona hili jambo si lakwangu au lakuzuka kutoka kwa mtu mmoja.

Nimalize kwa kusema nimepata msg nyingi inbox zikiulizia mambo mbali mbali nami nimekua nikiwajibu na ninaendelea kuwajibu ukiona bado tambua muda si mrefu utapata majibu yako hii pia inachangiwa na kuwa muda mwingi sipo humu hivyo jumbe zenu nakua sijazipata kwa wakati, nadhani walio nitumie msg nimewapatia namba ya Whatsapp ili iwe rahis kuuliza swali namimi kujibu kwa haraka zaid.
 
Mmh haya mamb km ya kitapeli tapeli wazungu wanatuibia kwa akili nyingi wanatufany kuwa fursa kwao. Mwaka Jana December 28 nilijiunga na onelife onecoin nikatoa hela zangu nikaambiwa baada ya miez miwili mamb yatakua Tayar. Duh ikafika Mara miez mi 4.. Hakuna kitu saiv nisakaata tamaa.aliyeniunga mwenyewe hana anatupoza tu ooh demand haijawa kubwa.. Kwhy hizi systems sijui bicoin au onecoin ni uhuni mtupu.
 
Ndugu samahani nna maswali, mie nataka kutumia hii nifanye currency trading kwenye BTC nianzie wapi?

Nahitaji kwa kujifunza vitabu, tuts, training zaidi au naingia tu directly? na Vitu gani vinahitajika kama vitendea kazi?

Biashara lazima huwa na risks, Vipi kuhusu risk za biashara ya BTC ni zipi na namna ya kuzihandle ili kuminimize loss?

Na hii BTC inatambuliwa na mamlaka za nchi kama Tanzania?
Ukitaka kuanza kufanya trading pia itakubid uwe na kiasi kikubwa walau cha bitcoins ila ukiwa tayar umeifahamu elimu ya Cryptocurrency na ukapata kujua kwa undani kuhusu Bitcoin unaweza kuanza kuuza muda wowote na kwa mtu yeyote hata bila kwenda kwenye site za mauzo na manunuzi za www.localbitcoin.com

kuuza btc tayar ukiwa unazo kwenye wallet yako au blockchain unaweza kuelewana na mtu yeyote hata jirani au rafiki yako akakupa pesa unayoihitaji nawewe ukamtumia btc muda huo huo haijalishi yupo wapi hata nchi nyingine au bara jingine btc transactions ni instantly.

Risk ya btc, usimruhusu mtu kujua password ya bitcoin wallet yako au Blockchain kama vile usivyoruhusu mtu kujua password ya ATM card yako, nyingine usinunue au usimtumie pesa mtu yeyeto yule kisa amesema anazo btc ikiwa hayupo www.localbitcoin.com labda awe ni mtu unaefahamiana nae kabisa unajua hawezi kukutapeli.
Nyingine sioni kama ni Risk bali ni changamoto.

Nina hakika nchi yetu inafahamu hii kitu ndiomaana ukienda kwenye hiyo website ya localbitcoin utaona kuna watanzania wengi sana wanauza na kununua wakiwa hapa hapa Tanzania lakin Serikali bado haijatoa tamko la kupinga shughuli hii, kuna baadhi ya nchi tayar wametangaza nchini mwao mtu anaweza kulipia huduma zake kwa kutumia bitcoin mfano Japan na Russia hivyo tutegemee siku moja Mheshimiwa mwenye mamlaka anaweza kutoa tamko la kurusu watoto wa shule wanaweza kulipa ada kwa kutumia btc ama nauli za mwendokasi au hata hospital n.k

Nakushauli kabla ya kufanya lolote jifunze zaid ujue na uwe na uhakika kwa unachokifanya kuliko kufanya ukiwa bado unamashaka mashaka au huna elimu ya kutosha juu ya maswala haya
Jifunze kupitia google na documentary mbali mbali zinazoelezea cryptocurrency au btc.

Pia nakukalibisha kujifunza pamoja nami kwani hata mimi ninaendelea kujifunza, ukija inbox au hata hapa hapa vyote sawa
 
Naona forex ni salama zaidi kuliko hii bitcoin ambayo wanasema ni kama puto. Siku likibast ndio basi tena
1ea96d8a29d6f30400ef9ec6832b7fe8.jpg
Haha..kiongozi wanasema ukitaka kujitangaza usipondee kitu cha mwenzako bali zungumza mazur yako watu wenyewe watajiongeza na kujua yupi ni yupi, sijawahi kusikia Apple wakisema simu zao ni nzuri kuliko Nokia au Sam Sung bali husema ni bora kuliko simu nyingine halafu hawamalizii sentensi, vivyo hivyo tigo hawesemi ni bora kuliko vodacom ila wanasema ni bora kuliko mitandao mingine.

Fatilia uzi huu vizur kuna sehemu niliweka baadhi ya ma billionea wa dunia kama kina Bill Gates na wengine matajir wazito wazito wapo kwenye kitu hii na wamewekeza, nendo youtube google utaona habar zao.

Napata shaka kweli umefanya research ya kutosha kuliko kina Bill Gate?
 
Mmh haya mamb km ya kitapeli tapeli wazungu wanatuibia kwa akili nyingi wanatufany kuwa fursa kwao. Mwaka Jana December 28 nilijiunga na onelife onecoin nikatoa hela zangu nikaambiwa baada ya miez miwili mamb yatakua Tayar. Duh ikafika Mara miez mi 4.. Hakuna kitu saiv nisakaata tamaa.aliyeniunga mwenyewe hana anatupoza tu ooh demand haijawa kubwa.. Kwhy hizi systems sijui bicoin au onecoin ni uhuni mtupu.
Pole ndungu, ninachokiona kwako uliingia huko ukiwa hukapata elimu ya kutosha juu ya cryptocurrency kwanza ulitakiwa ujue cryptocurrency ni nini na kuna coin ngapi zinazotambulika.

Kuna baadhi ya makampuni yamekua yakitapeli watu kwa kutumia jina la Cryptocurrency na watu wengi hasa watu wa Arusha wamewahi kulia sana kwa Coin inayoitwa One coin kwani waliwekeza na kila walipokua wakitaka kutoa pesa waliambiwa bado haipo mature na maneno mengine, kifupi hawa tunawaitaga Scams(tapeli).

Halafu kama umewahi kusikia cryptocurrency Coins, Coin yenye value kubwa kuliko zote ni Bitcoin(btc) zipo Coin nyingine kama Ethereum,Zcash,Monero,Dash n.k

Fungua link hii utaziona Coin zilizo legal na zinazotambulika, hakuna swala la One Coin humu, hivyo ulitapeliwa kwa kukosa maarifa ya kutosha kujua nini ni nini.

Coin zote legit zimeorodhoshwa humu

www.worldcoinindex.com
*This is where you will see a list of all legal digital coins (Crypto currency).*
 
Sawa ndugu lakin 4 my side kufany tena izi business ambazo hazionekani bora ufanye kilimo uone kabixa maybe mvua imezidi mavuno yakawa kidogo na unaona mwenyew kuliko hizi lakin si mshauri MTU asifanye ila ni mtazamo wng tu mana nishajaribu ni kaona kwhy sio mgeni wa mamb hayo.asante kaka
 
Unaposema hazionekani wamaanishaje hasa? Maana bitcoin unauza na kununua pia unalipia bill za bidhaa mbali mbali kwa bitcoin
 
Mmh haya mamb km ya kitapeli tapeli wazungu wanatuibia kwa akili nyingi wanatufany kuwa fursa kwao. Mwaka Jana December 28 nilijiunga na onelife onecoin nikatoa hela zangu nikaambiwa baada ya miez miwili mamb yatakua Tayar. Duh ikafika Mara miez mi 4.. Hakuna kitu saiv nisakaata tamaa.aliyeniunga mwenyewe hana anatupoza tu ooh demand haijawa kubwa.. Kwhy hizi systems sijui bicoin au onecoin ni uhuni mtupu.
[emoji3][emoji3] uliekeza katika Coin ambazo azipo Public Onecoin ilikuwa haipo katika mfumo rasm wa coin

Tembelea Cryptocurrency Market Capitalizations | CoinMarketCap ndo utakutana na coin ambazo zipo kwenye soko ikiona coin haipo apo usijalibu kuekeza hadi iwe Public na kwenye coin market iwepo

Investment in bitcoin is a subsequent success
 
Sawa ndugu lakin 4 my side kufany tena izi business ambazo hazionekani bora ufanye kilimo uone kabixa maybe mvua imezidi mavuno yakawa kidogo na unaona mwenyew kuliko hizi lakin si mshauri MTU asifanye ila ni mtazamo wng tu mana nishajaribu ni kaona kwhy sio mgeni wa mamb hayo.asante kaka
Dunia inakuacha mkuu
 
Sawa kk we nenda nayo mi Niko nyuma mwendo wa kasa si mwendo lakin unamfikisha anapotaka...!!!
 
[emoji3][emoji3] uliekeza katika Coin ambazo azipo Public Onecoin ilikuwa haipo katika mfumo rasm wa coin

Tembelea Cryptocurrency Market Capitalizations | CoinMarketCap ndo utakutana na coin ambazo zipo kwenye soko ikiona coin haipo apo usijalibu kuekeza hadi iwe Public na kwenye coin market iwepo

Investment in bitcoin is a subsequent success
Asante sana kwa kunisaidia mkuu, huyu Bwana anahitaji kukili kosa halafu ajifunze kukosea si ujinga, ujinga ni kurudia kosa tena na tena
 
Ikiwa leo 1 bitcoin = $ 4,264 au Tsh 9,560,390 sasa niambie huyu mtu leo hii anamawazo gani tena?

1506769376756.jpg
 
Back
Top Bottom