Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Because is a bubbles the bighest hedge find in usa is putting 500million usd in crypto And blockchain. Jpmorgan is scared that they wont be able to control finances of the world. That is. Jpmorgan or mr dillon is an Old finance Guy. Blockchain And crypto like bitcoin is this century. When the internet came up in 1993-1995 many people positioned themselves with many start UPS until the sylicón bubble bursted. But this who invested wisely And positioned themselves And risked now Are súper bill ion aires. Bitcoin by sure is going to go up. Imagine another altcoin (alternativa coin) like neox. Some months ago was 0.16€... Three weeks ago was close to 45€. Imagine you bought 1000€ of it.... Now you would have close to 290000€... In four months! A bubbles? Yes. Risk? Yet. Kulima mahindi pia ni risk kama dhoruba au ukame unakuja. Nasema Tena kwenye www.Blockchain company.info utaweza kuzipata articles kuhusu alichosema bwana Dillón Na majibu ya Karpesky Na kadhalika. There is a campaign on the side of all financiers who want to continúe control the world And Are scared of the anonimity And no borders of the crypto. Informe yourself then act accordingly.Naona forex ni salama zaidi kuliko hii bitcoin ambayo wanasema ni kama puto. Siku likibast ndio basi tena
![]()
Ku sign up hauhitaji kulipa hiyo, unaweka Email address na Username yako baada ya hapo utapata access ya kusoma yaliyomo ndani ya site ya kampuni hiloMzee embu na ww jaribu maana wanahitaji dola 99 kama kianzio
Ukitaka kuanza kufanya trading pia itakubid uwe na kiasi kikubwa walau cha bitcoins ila ukiwa tayar umeifahamu elimu ya Cryptocurrency na ukapata kujua kwa undani kuhusu Bitcoin unaweza kuanza kuuza muda wowote na kwa mtu yeyote hata bila kwenda kwenye site za mauzo na manunuzi za www.localbitcoin.comNdugu samahani nna maswali, mie nataka kutumia hii nifanye currency trading kwenye BTC nianzie wapi?
Nahitaji kwa kujifunza vitabu, tuts, training zaidi au naingia tu directly? na Vitu gani vinahitajika kama vitendea kazi?
Biashara lazima huwa na risks, Vipi kuhusu risk za biashara ya BTC ni zipi na namna ya kuzihandle ili kuminimize loss?
Na hii BTC inatambuliwa na mamlaka za nchi kama Tanzania?
www.localbitcoin.com kuna sehemu ya sell and buy tembelea sehemu ya sell utajifunza paleWakuu naombeni kujua namna ya kuuza bitcoin e.g nmeoma price imepanda ntauzaje? Na ikumbukwe katika maelezo kuna sehem wanasema mmiliki hajulikan na ww unaeuza jina lako pia hatokujua anaekuuzia
Haha..kiongozi wanasema ukitaka kujitangaza usipondee kitu cha mwenzako bali zungumza mazur yako watu wenyewe watajiongeza na kujua yupi ni yupi, sijawahi kusikia Apple wakisema simu zao ni nzuri kuliko Nokia au Sam Sung bali husema ni bora kuliko simu nyingine halafu hawamalizii sentensi, vivyo hivyo tigo hawesemi ni bora kuliko vodacom ila wanasema ni bora kuliko mitandao mingine.Naona forex ni salama zaidi kuliko hii bitcoin ambayo wanasema ni kama puto. Siku likibast ndio basi tena
![]()
Pole ndungu, ninachokiona kwako uliingia huko ukiwa hukapata elimu ya kutosha juu ya cryptocurrency kwanza ulitakiwa ujue cryptocurrency ni nini na kuna coin ngapi zinazotambulika.Mmh haya mamb km ya kitapeli tapeli wazungu wanatuibia kwa akili nyingi wanatufany kuwa fursa kwao. Mwaka Jana December 28 nilijiunga na onelife onecoin nikatoa hela zangu nikaambiwa baada ya miez miwili mamb yatakua Tayar. Duh ikafika Mara miez mi 4.. Hakuna kitu saiv nisakaata tamaa.aliyeniunga mwenyewe hana anatupoza tu ooh demand haijawa kubwa.. Kwhy hizi systems sijui bicoin au onecoin ni uhuni mtupu.
Sawa ndugu lakin 4 my side kufany tena izi business ambazo hazionekani bora ufanye kilimo uone kabixa maybe mvua imezidi mavuno yakawa kidogo na unaona mwenyew kuliko hizi lakin si mshauri MTU asifanye ila ni mtazamo wng tu mana nishajaribu ni kaona kwhy sio mgeni wa mamb hayo.asante kakaPole ndungu, ninachokiona kwako uliingia huko ukiwa hukapata elimu ya kutosha juu ya cryptocurrency kwanza ulitakiwa ujue cryptocurrency ni nini na kuna coin ngapi zinazotambulika.
Kuna baadhi ya makampuni yamekua yakitapeli watu kwa kutumia jina la Cryptocurrency na watu wengi hasa watu wa Arusha wamewahi kulia sana kwa Coin inayoitwa One coin kwani waliwekeza na kila walipokua wakitaka kutoa pesa waliambiwa bado haipo mature na maneno mengine, kifupi hawa tunawaitaga Scams(tapeli).
Halafu kama umewahi kusikia cryptocurrency Coins, Coin yenye value kubwa kuliko zote ni Bitcoin(btc) zipo Coin nyingine kama Ethereum,Zcash,Monero,Dash n.k
Fungua link hii utaziona Coin zilizo legal na zinazotambulika, hakuna swala la One Coin humu, hivyo ulitapeliwa kwa kukosa maarifa ya kutosha kujua nini ni nini.
Coin zote legit zimeorodhoshwa humu
www.worldcoinindex.com
*This is where you will see a list of all legal digital coins (Crypto currency).*
Unaposema hazionekani wamaanishaje hasa? Maana bitcoin unauza na kununua pia unalipia bill za bidhaa mbali mbali kwa bitcoinSawa ndugu lakin 4 my side kufany tena izi business ambazo hazionekani bora ufanye kilimo uone kabixa maybe mvua imezidi mavuno yakawa kidogo na unaona mwenyew kuliko hizi lakin si mshauri MTU asifanye ila ni mtazamo wng tu mana nishajaribu ni kaona kwhy sio mgeni wa mamb hayo.asante kaka
Hata hiyo nnayokwambia system nj hiyo hiyo lakin sijui wanacheza na demand and supply of coinUnaposema hazionekani wamaanishaje hasa? Maana bitcoin unauza na kununua pia unalipia bill za bidhaa mbali mbali kwa bitcoin
[emoji3][emoji3] uliekeza katika Coin ambazo azipo Public Onecoin ilikuwa haipo katika mfumo rasm wa coinMmh haya mamb km ya kitapeli tapeli wazungu wanatuibia kwa akili nyingi wanatufany kuwa fursa kwao. Mwaka Jana December 28 nilijiunga na onelife onecoin nikatoa hela zangu nikaambiwa baada ya miez miwili mamb yatakua Tayar. Duh ikafika Mara miez mi 4.. Hakuna kitu saiv nisakaata tamaa.aliyeniunga mwenyewe hana anatupoza tu ooh demand haijawa kubwa.. Kwhy hizi systems sijui bicoin au onecoin ni uhuni mtupu.
Dunia inakuacha mkuuSawa ndugu lakin 4 my side kufany tena izi business ambazo hazionekani bora ufanye kilimo uone kabixa maybe mvua imezidi mavuno yakawa kidogo na unaona mwenyew kuliko hizi lakin si mshauri MTU asifanye ila ni mtazamo wng tu mana nishajaribu ni kaona kwhy sio mgeni wa mamb hayo.asante kaka
Asante sana kwa kunisaidia mkuu, huyu Bwana anahitaji kukili kosa halafu ajifunze kukosea si ujinga, ujinga ni kurudia kosa tena na tena[emoji3][emoji3] uliekeza katika Coin ambazo azipo Public Onecoin ilikuwa haipo katika mfumo rasm wa coin
Tembelea Cryptocurrency Market Capitalizations | CoinMarketCap ndo utakutana na coin ambazo zipo kwenye soko ikiona coin haipo apo usijalibu kuekeza hadi iwe Public na kwenye coin market iwepo
Investment in bitcoin is a subsequent success