Historia ya Kabila la Wahaya

Historia ya Kabila la Wahaya

We shika adabu yako, ni nani aliyekwambia kuwa kula ugali kwa maharage ni kuwa na maisha ya magumu? yawezekana wewe huijui Bukoba kabisa, ni vema ukae kimya. ukienda huko utakuta nyumba za nyasi nyingi tu na pia mambo mengine ambayo siweza kuyaandika hapa.
n maskin wa kutupwa hakuna fursa KBS wamebk kujisifia ujinga t
 
Nimetembea Tanzania yote bara na visiwani, Kilimanjaro ndiyo mkoa pekee ambao ni shida sana kukuta nyumba ya nyasi vijijini. Hawa watu wana maji ya bomba mpaka vijijini, umeme na sehemu kubwa barabara za lami ziko mpaka vijijini. Huduma za jamii kama vile shule na hospitali ziko za kutosha kila kijiji. Kimsingi Kilimanjaro ni mkoa ambao umeendelea sana
 
Mimi nipo huku kwao hawana lolote maisha magumu tuu wanajenga nyumba za tope kama watu wa pwani au wanaita mbavu za mbwa.
Nenda Muleba utaona nenda maeneo kama ngenge, kanywangonge au kule milimani wanaita ngote na Kanyerenyere ndo utajua kuwa wanamaisha mazuri au magumu.
Mhaya hali ugali kwa sababu kazoea ndizi (ekitoke). Ugali na wali wameanza kula hivi juzi baada ya mnyauko kukausha ndizi. Ni moja kati ya kabila vivu kupindukia.
Wanaume hawaendi shamba zaidi ya ulevi na wanawake wanaenda shambani saa moja au mbili lakini saa tatu yupo anasugua gaga nje ya nyumba
Kama hujui kaa kimya
mkuu umemaliza kila kitu......
 
Kiukwel kwa watu waliowai kujaliwa kufika Bukoba .

Hapa nazungumzia maeneo ya vijijin kama bukoba vijijin yaani watu wa kule wanaishi maisha mazuri sana ukilinganisha na mikoa mingine ...yaani uwez kukuta muhaya anakula ugali na maharage au ananyumba ya nyasi...au analima huku mvua inanyesha.

Lakin ukienda mikoa mingine kwa maeneo ya vijijin kama Singida, Tabora ,Dodoma ,Morogoro , Nk
Isee ni hatar sana watu wanamaisha magumu sana.
umeshafika bukoba mkuu, muleba, hadi karagwe huko umefika wewe? aibu tupu, na ninasikia hawakati mikono ya sweta....wanaringa tu huku. binafsi nawaheshimu wachaga tu hapa tz, wengine wote fyokofyoko tu kwao wamekusahau kabisa. shida nyingine uhayani ni uchawi, ndo maana kuna kipindi hadi walikuwa wanalinda makaburi yasifukuliwe marehemu akaliwa.
 
ukitaka kujua wahaya vyema
nenda pale bkb mjini hakuna daladala kule n boda boda ndio daladala,stand kuu n kichekesho imejaa mashimo hakuna hotel ya maana full vumbi sasa hapo n mjin je kijijin itakuaje?
Daladala Zipo,,, Angalia upande zilipo gari zilizoangaliana Na jengo la airtel,pembeni kuna jengo la TTCL Zipo Za kwenda rwamishenye, custom n. K kinachofanya Usione Daladala nyingi ni kwa kuwa root nyingi zinaungwa Na magari yaendayo ndani mfano naenda katoma lazima ntapanda gari Za kanyigo/kyaka/mutukula/karagwe/kashasha/bwanja/mgana/gera/ruzinga/buyango n.k pia kama naenda muutwe ntapanda Za muleba /katoro/biharamulo
Ujue mfumo wa usafiri wa bukoba mjini Sio Sawa Na mikoa mingine,,,, kuhusu stand: kumekuwepo na mgogoro mrefu juu ya uboreshwaji wa stand kwa muda mrefu tangu 2010 but Mpk now stand iko inajengwa kyakairabwa
 
achana na ya kyakairabwa
hivi pale stand kuu jins palivyo hovyo bado mnajitia kujisifia Sifia?
muleba kule kuna hali ngumu,miseny nyumba za nyasi shaz,karagwe usiseme achen misifa boreshen makaz,heshima ya MTU n nyumba
 
Naongezea tu kuwa wahaya kutoka bukoba hawana maji kama wengi wanavyodhani.
 
acha povu
mnajitia mbwembwe wakati mkoa wenu n wa tatu kwa umaski
Ungeleta hizi hizo data zenye hiyo fact tungekuelewa zaidi ndg umezungumia Habari ya hotel kutokuwepo Hivi umefika koloping hotel hiko juu mlimani kashura, wapi Victoria hotel,walkgard annex hotel, oxygen hotel, nyingine hiko nyamkazi vile kama sikosei hiko jirani Na kanisa la eagt nimeisahau jina coz kitambo nimetoka
 
Hv nyie watz wahaya waliwafanyia nn? Mbn huwa mnatokwa sana povu kwa kuwaponda wahaya?
Pamoja na mapungufu waliyonayo huwa hamwoni mazuri yao? Au ni jamii/kabila gn hapa tz halina mapungufu?

Kama mnataka kuitwa great thinkers try to judge logically my men.
Hapo ndo nashangaa sijui wahaya waliwafanyia nini atuelewi kabisaaaaaaaa Hivi kama umepita Dodoma (acha pale mjini kuzunguka viunga vya bunge) pako hovyo nyumba utadhani wanaishi wakongo fupi kama nini then ni Za nyasi, singida hovyo tabora Nayo Yale Yale Sasa njoo hapa morogoro nilipo huu ukanda wa Kikaguru kuanzia gairo mpaka dumila aseeeeeee kuna Hali mbaya kwanza Mtandao Shida, miundombinu hovyo Mvua ikinyesha kama Huko Na Safari sahau kabisaaaaaaaa, Jamani mbna hawa huwa amsemi!!!!
 
Nina wasiwasi na mleta mada kama ni muhaya ama kweli aliwahi kufika huko kwa hao ndugu zetu!
 
Daladala Zipo,,, Angalia upande zilipo gari zilizoangaliana Na jengo la airtel,pembeni kuna jengo la TTCL Zipo Za kwenda rwamishenye, custom n. K kinachofanya Usione Daladala nyingi ni kwa kuwa root nyingi zinaungwa Na magari yaendayo ndani mfano naenda katoma lazima ntapanda gari Za kanyigo/kyaka/mutukula/karagwe/kashasha/bwanja/mgana/gera/ruzinga/buyango n.k pia kama naenda muutwe ntapanda Za muleba /katoro/biharamulo
Ujue mfumo wa usafiri wa bukoba mjini Sio Sawa Na mikoa mingine,,,, kuhusu stand: kumekuwepo na mgogoro mrefu juu ya uboreshwaji wa stand kwa muda mrefu tangu 2010 but Mpk now stand iko inajengwa kyakairabwa
unahangaika bure kujitetea we muhaya,umasikini bukoba upon palepale na kinachotufanya tupige kelele hapa ni hizi mbwembwe zenu za mjini,hemu muwe mnakumbuka nyumbani kwenu
 
Tu bi honesiti, ukikuta mkoa au wilaya au kijiji
kinashabikia chama kubwa,au kina wabunge
wengi wa mlengo huo huwezi kukosa nyumba
ya nyasi.Bila kujali ni bukoba au wapi.
nimemaliza naenda kulala.
 
achana na ya kyakairabwa
hivi pale stand kuu jins palivyo hovyo bado mnajitia kujisifia Sifia?
muleba kule kuna hali ngumu,miseny nyumba za nyasi shaz,karagwe usiseme achen misifa boreshen makaz,heshima ya MTU n nyumba
Sasa aachane na Kyakailabwa vipi na wakati stand inajengwa hapo? wewe kwenu ni wapi na wewe sema ili tuuangalie mkoa wako. Kyakailabwa ndo stand mpya labda kama una jingine sema nalo.
 
unahangaika bure kujitetea we muhaya,umasikini bukoba upon palepale na kinachotufanya tupige kelele hapa ni hizi mbwembwe zenu za mjini,hemu muwe mnakumbuka nyumbani kwenu
Wewe kwenu wapi mkoa gani mkuu tunatamani tupafahamu na sie
 
Ungeleta hizi hizo data zenye hiyo fact tungekuelewa zaidi ndg umezungumia Habari ya hotel kutokuwepo Hivi umefika koloping hotel hiko juu mlimani kashura, wapi Victoria hotel,walkgard annex hotel, oxygen hotel, nyingine hiko nyamkazi vile kama sikosei hiko jirani Na kanisa la eagt nimeisahau jina coz kitambo nimetoka
Wanataka hotel tu? hawa jamaa hmnazo na ukiona wanaokubishia hata barabara ya luelekea mkoani Kagera hawaijui iko wapi, sasa itakuwaje ubishane na mtu wa hivi?
 
Na labda ngoja niulize, tuutoe mkoa wa Kilimanjaro ambao bado naona unatajwa hapa na sijui kwanini umetajwa wakati ishu ilikuwa ni Kagera. Tunaombwa mtwambie Mikoa gani mingine ya maana ambayo mnafikiri mnataka kuipambanisha na mkoa wa Kagera? itajeni hiyo mikoa yenu hapa.
 
Angalia hiyo
IMG_20180430_131203_202.JPG
 
Hv nyie watz wahaya waliwafanyia nn? Mbn huwa mnatokwa sana povu kwa kuwaponda wahaya?
Pamoja na mapungufu waliyonayo huwa hamwoni mazuri yao? Au ni jamii/kabila gn hapa tz halina mapungufu?

Kama mnataka kuitwa great thinkers try to judge logically my men.

Huu uzi ulianza kwa kuwasifia ninyi wahaya, kwamba mnajitambua sana.. Ghafla kibao kimebadilika..

Tanzania yote inafanana Mkuu...watu ni walewale, akili ni ileile, tabia ni almost ileile ..hakuna kwenye nafuu.
 
Back
Top Bottom