Daladala Zipo,,, Angalia upande zilipo gari zilizoangaliana Na jengo la airtel,pembeni kuna jengo la TTCL Zipo Za kwenda rwamishenye, custom n. K kinachofanya Usione Daladala nyingi ni kwa kuwa root nyingi zinaungwa Na magari yaendayo ndani mfano naenda katoma lazima ntapanda gari Za kanyigo/kyaka/mutukula/karagwe/kashasha/bwanja/mgana/gera/ruzinga/buyango n.k pia kama naenda muutwe ntapanda Za muleba /katoro/biharamulo
Ujue mfumo wa usafiri wa bukoba mjini Sio Sawa Na mikoa mingine,,,, kuhusu stand: kumekuwepo na mgogoro mrefu juu ya uboreshwaji wa stand kwa muda mrefu tangu 2010 but Mpk now stand iko inajengwa kyakairabwa