Historia ya kweli ya mauaji ya Kimbari ya Rwanda

Historia ya kweli ya mauaji ya Kimbari ya Rwanda

Ndio maana mnaambiwa wengi mnaochangia huo mkataba hamna uelewa na uwekezaji. Lini uwekezaji tena Long Term uliwahi kuwa na Tenda? Uliwahi kusikia tenda kwenye Migodi? Uliwahi kusikia tenda kwa Dangote kwenye kufungua kiwanda cha Saruji kule Mtwara?

Au unahisi wanataka kusupply maandazi hapo Bandarini?
Watetezi wa mkataba mnatuona tunaohoji kuwa hatuna akili si ndiyo?

Ingekuwa mna amri walah mngeminya pumzi zetu.

Pole sana kwa kuingizwa chaka
 
Watetezi wa mkataba mnatuona tunaohoji kuwa hatuna akili si ndiyo?

Ingekuwa mna amri walah mngeminya pumzi zetu.

Pole sana kwa kuingizwa chaka
Yaani mimi niingizwe chaka kwenye suala la uwekezaji? Hamjazuiwa kuhoji, mmetakiwa kutumia akili katika kuhoji.
 
Huna akili kichwani bhana, lini uwekezaji wa nchi uliwahi kuwa na ukomo? Mkataba wa Barick na Tanzania ni wa Miaka mingapi? Mkataba wa Dangote cement na Tanzania ni miaka mingapi?

Mkiambiwa hamna akili mnawaka kinoma. Ila majority hamna akili.
Kwahiyo huo uwekezaji hauna ukomo. Basi sawa bwana mahamudu. Niambie Je, Dubai ni nchi yenye hadhi ya kusaign IGA?
 
Yaani mimi niingizwe chaka kwenye suala la uwekezaji? Hamjazuiwa kuhoji, mmetakiwa kutumia akili katika kuhoji.
Basi tumia busara kwenye hoja zako.

Unapotuona sisi ni tabularasa ndo mnadhihirisha utata tunaouona kwenye mkataba.

Hoja ya Uhaini imefeli
Hoja ya udini mmeipandikiza sana nayo itafeli.
Muanze kutupoteza basi
 
Yes mnaonekana hamna akili sawasawa kichwani, Busara ni pamoja kuwaambia ukweli kuwa kichwani wengi ni hamnazo, juzi tu hapa Prof Assad alitoa maelezo ambayo kwa kiwango kikubwa kwa sisi tunaoelewa kuhusu uwekezaji ndivyo inatakiwa kuwa, mmemshambulia kinoma yaani, lkn ule ndio ukweli, wengi mnaopinga hamna mjualo kwenye uwekezaji.
 
Kwahiyo huo uwekezaji hauna ukomo. Basi sawa bwana mahamudu. Niambie Je, Dubai ni nchi yenye hadhi ya kusaign IGA?
Yes, kasome kitu kinaitwa QUASI-GOVERNMENT AGENCY/ENTITIES.

Kubishana na wapumbavu ni kazi kinoma yani.
 
Yes, kasome kitu kinaitwa QUASI-GOVERNMENT AGENCY/ENTITIES.

Kubishana na wapumbavu ni kazi kinoma yani.
Sasa niambie yule wa Dubai aliyesaini Jina lake ni nani? Maana hutoni jina lake kwenye huo mkataba.
 
Mzee wewe eleze shida pale ni nini? Eleza ulichokiona wewe kuwa ni shida.
Anza kutafuta humu jukwaani, tulishaelezea kitambo sana, huenda mlikua mkianza kusoma na kuona muelekeo hautakubaliana na Mkataba basi mnaruka.
Ila kama kweli unania ya kujua basi unapaswa kuwa ulishanisoma kitambo. Sasa hivi tunaendelea
 
Nikusome mpumbavu? Eeeeh hii kali sana.
 
Sasa niambie yule wa Dubai aliyesaini Jina lake ni nani? Maana hutoni jina lake kwenye huo mkataba.
Hiki ni kituko cha mwaka aisee, ulichokiona wewe ni Part ya TZ mzee, ukipata Part ya DP utaona, shida huelewi nini kimefanyika. Unaweza kuweka kipande cha saini hizo na maelezo yake??????
 
Hiki ni kituko cha mwaka aisee, ulichokiona wewe ni Part ya TZ mzee, ukipata Part ya DP utaona, shida huelewi nini kimefanyika. Unaweza kuweka kipande cha saini hizo na maelezo yake??????
Humjui aliye sain? Kwahiyo huu ni mkataba wa kihuni?
 
Ule mkataba una ubovu gani? Ebu eleza hapa ujibiwe kwa kina. Maana hoja zote zilishajibiwa. Ebu eleza hizo zako wewe.

NB: WAISLAM WAKO TAYARI KUSIMAMA NA DINI YAO, JINO KWA JINO.
Kumbe Mkataba wa Bandari ni wa Dini ya haq
 
Kwenye ule mkataba aliwakilishwa pia na CEO wa DP Africa Mohammed Akoojee ambaye anasimamia Sub Saharan Africa. So kama ilivyo kwa waziri wetu kusiani some docs na huyo Akoojee amesaini some docs kwa niaba ya DPW.
 
Back
Top Bottom