Historia ya kweli ya mauaji ya Kimbari ya Rwanda

Mauaji ya Rwanda ya mwaka 1994 yakisaidiwa sana na kanisa katoliki ambalo TEC ni sehemu ya kabisa hilo.

Mapadre wake na maaskofu huko Rwanda walishiriki kukusanya watu wanaokimbia machafuko na kuwaweka ndani ya makanisa yao wengi wao wakiwa ni watoto na wanawake.Walipokwisha kumaliza kufanya hivyo wakawaita wauaji na kuruhusu waanze kuwabaka na kuwauwa wahanga ndani ya makanisa hayo ya wakatoliki.

Haya ni mambo ambayo TEC hawatataka myajue na hawataki kuyasema na sina kumbukumbu kama wamewahi kuyatolea tamko maana mwaka 1994 TEC ilikuwepo na ilikuwa bize na majukumu yake ya kutoa matamko.

Inachokifanya TEC kwenye tamko lake na maagizo yake kuwa makanisa yote yasome waraka ule leo kwenye misa zao huko makanisani maana yake ni kuwa wamejipanga kuleta uchochezi kwa staili ile ile ya Rwanda. Wanachochea watu kwenye mambo ambayo tayari mamlaka za kisheria zimeshayapitisha kwa kufuata utaratibu ili kutokee machafuko kama wakivyoyaratibu huko Rwanda miaka hiyo.

Najiuliza hivi BAKWATA nao wakitoka hadharani na wakatoa waraka kuwa mkataba ule ni sawa na wakaagiza usomwe kwenye misikiti yote nchini , je? Nini kitatokea? Au TEC wanadhani hatuna akili za kujua kuwa walichofanya kanisa katoliki Rwanda ndiyo wanachotaka kukifanya Tanzania?

Au wanaringia uzoefu wao kwenye mauaji ya Rwanda basi wanadhani kila kitu wanachotaka wao lazima kifanyike na kisipofanyika basi watafanya kama Rwanda ? Sawa mna uzoefu na shughuli hizo za nauaji ya hakaiki kama mlivyofahya Rwanda,lakini hamna haki ya kujifanya mnawawakilisha watanzania kwenye jambo lolote , nyie mnawakilisha wakatoliki wenzenu tu.m huko makanisani na hamtakiwi kujipa usemaji wa watanzania wote.

Lini TEC waliwahi kutoa tamko kulaani mapadre wenzao waliouwa maelfu ya watu kule Rwanda? Lini waliwahi kutubu kutumia makanisa yao na kuyageuza kuwa uwanja wa kuulia watu waliokuwa wanataka hifadhi na kunusubu maisha yao?

Au hawa siyo mapadre wenu wa katoliki? Au historia hii mmeisahau na hamtaki watu waijue? Sisi tunaikumbuka na tunawakumbusha kwa sababu hili ndilo lengo lenu na mnachotaka ni kuchukua mbinu zile zile za Rwanda kulitumbukiza taifa kwenye machafuko kwa kisingizio cha mkataba wa bandari.

Tuna taarifa zenu kijana wenu anayetaka kubadili dini kuwa mkatoliki bwana January Makamba yuko nyuma ya hizi vurugu ndiye mtoa fedha za mkakati huu na mmesikika mkisema lazima mvuruge
/m -frustrate mchakato wa kupata Rais 2025 ili January Makamba awe mgombea kutoka kabisa lenu la katoliki.

Kama mliweza kusababisha na kusaidia mauaji kufanyika Rwanda basi hilo hamtakaa muweze kulifanya Tanzania. Endeleeni na chokochoko zenu na hayo matamko halafu tuone mwisho wake.

Baraza la maaskofu lingeweza kujikita kwenye vifungu vinavyoonekana vina kasoro kuliko kubeba makando kando mengine yanayoharibu ujumbe na nia njema ndani yake.

#KigogoMediaUpdates
Yaani Kigogo ndiye anaye wafundisheni hizo hadithi?
Haya turudi kwenye Mkataba wa Bandari. Ni nani aliye saini ule wendawazimu?
 
Jibu swali mlitengaza Tender?
Ndio maana mnaambiwa wengi mnaochangia huo mkataba hamna uelewa na uwekezaji. Lini uwekezaji tena Long Term uliwahi kuwa na Tenda? Uliwahi kusikia tenda kwenye Migodi? Uliwahi kusikia tenda kwa Dangote kwenye kufungua kiwanda cha Saruji kule Mtwara?

Au unahisi wanataka kusupply maandazi hapo Bandarini?
 
Achana na habari za tender, contents za Mkataba umezisoma?
 
Umeandika usichokijua hebu fafanua kirefu cha TEC kisha utuambie unahusianisha vipi TEC na mauaji ya Rwanda ? Waislamu bwana kwa kujidai mnajua kuchambua mambo halafu mnachemka.
Katoliki haifanyi mambo yake kwa vificho. Kila waraka wa TEC ukitolewa husomwa makanisani ili waumini wajue,lengo ni kuweka uelewa sawa na kuepusha upotoshaji kama mnavyofanya.
BAKWATA nyie toeni tu waraka wenu hamjazuiwa japo tunachokijua ni kuwa mlishaanza siku nyingi kuongelea hili kwenye misikiti yenu,mfano ni Sheikh Mziwanda na Sheikh Mwaipopo.
NB
Kwenye swala la kitaifa kama hili mngetoa chuki zenu za kidini mkajibu hoja za
1. Wanasiasa wanaopinga mkataba
2. TEC
3. Wananchi wengine.
Badala yake wanasiasa wanaopinga mnawapa kesi za uhaini
TEC mnawaita wadini
Wananchi wengine mnawaita sio wazalendo.
Naamini mkijibu hoja zilizoibuliwa kuhusu mkataba watu wakaridhia hata akija mwingine kupotosha hataweza ila mkataba ni maandishi mmeshaweka saini halafu mnajibu porojo ?
Acheni kushambulia watu shambulieni hoja zao.
JIULIZE
Unadhani ni nani aliyevujisha huo mkataba, mpaka mtu kuuvujisha ni kwamba aliona kuna makosa yanapaswa kurekebishwa na ndio uhalisia.
Badala yake mnatetea dini badala ya maslahi mapana ya Nchi.
 
Ndio maana mnaambiwa wengi mnaochangia huo mkataba hamna uelewa na uwekezaji. Lini uwekezaji tena Long Term uliwahi kuwa na Tenda? Uliwahi kusikia tenda kwenye Migodi? Uliwahi kusikia tenda kwa Dangote kwenye kufungua kiwanda cha Saruji kule Mtwara?

Au unahisi wanataka kusupply maandazi hapo Bandarini?
Kwahiyo hakukuwa na tenda? Just a single source. Sawa Mahamudu. Vipi kuhusu Bandari za Zanzibar mbona hazimo?
 
Haya ndio matatizo ya akili sasa, uwekezaji lazima uwe na strategic zake, ukifanya uwekezaji huo kwa BANDARI ZA ZANZIBAR then what? Yaan mtu wa Burundi aagize mzigo ufikie Zanzibar? Then ukitoka hapo upitie wapi hadi ufike Burundi? Yaani mfanyabiashara alipe gharama mara 2?, uangize mzigo ufikie bandari ya Zenji, na ukitaka kuutoa ufikie tena Bandari ya Dar? Una akili kichwani wewe kweli?
 
Oh!! kumbe Mahamudu umekubali Zanzibar haimo bali ni Maziwa, Bahari na mito ya Tanganyika tu.
Hebu niambie Ukomo wa mtakaba huo ni miaka mingapi?
 
Huna akili kichwani bhana, lini uwekezaji wa nchi uliwahi kuwa na ukomo? Mkataba wa Barick na Tanzania ni wa Miaka mingapi? Mkataba wa Dangote cement na Tanzania ni miaka mingapi?

Mkiambiwa hamna akili mnawaka kinoma. Ila majority hamna akili.
 
Nimezisoma, shida pale ni nini?
Kama kweli umezisoma halafu haujaona shida, basi si mtu wa kufanya reasoning bali unapenda kushabikia. It's very sad katika miaka na zama hizi bado tunashuhudia kuwa hata Mangungo akifufuka leo hii, atakutana na supporters wengi tu, cha kumfariji zaidi ni pale atakapoona wanaoenzi maisha yake kwa vitendo ndiyo wanaongoza nchi.
 
Kama kweli umezisoma halafu haujaona shida, basi si mtu wa kufanya reasoning bali unapenda kushabikia. It's very side katika miaka na zama hizi bado tunashuhudia kuwa hata Mangungo akifufuka leo hii, atakutana na supporters wengi tu, cha kumfariji zaidi ni pale atakapoona wanaoenzi maisha yake kwa vitendo ndiyo wanaongoza nchi.
Mzee wewe eleze shida pale ni nini? Eleza ulichokiona wewe kuwa ni shida.
 
Back
Top Bottom