Watetezi wa mkataba mnatuona tunaohoji kuwa hatuna akili si ndiyo?Ndio maana mnaambiwa wengi mnaochangia huo mkataba hamna uelewa na uwekezaji. Lini uwekezaji tena Long Term uliwahi kuwa na Tenda? Uliwahi kusikia tenda kwenye Migodi? Uliwahi kusikia tenda kwa Dangote kwenye kufungua kiwanda cha Saruji kule Mtwara?
Au unahisi wanataka kusupply maandazi hapo Bandarini?
Yaani mimi niingizwe chaka kwenye suala la uwekezaji? Hamjazuiwa kuhoji, mmetakiwa kutumia akili katika kuhoji.Watetezi wa mkataba mnatuona tunaohoji kuwa hatuna akili si ndiyo?
Ingekuwa mna amri walah mngeminya pumzi zetu.
Pole sana kwa kuingizwa chaka
Kwahiyo huo uwekezaji hauna ukomo. Basi sawa bwana mahamudu. Niambie Je, Dubai ni nchi yenye hadhi ya kusaign IGA?Huna akili kichwani bhana, lini uwekezaji wa nchi uliwahi kuwa na ukomo? Mkataba wa Barick na Tanzania ni wa Miaka mingapi? Mkataba wa Dangote cement na Tanzania ni miaka mingapi?
Mkiambiwa hamna akili mnawaka kinoma. Ila majority hamna akili.
Basi tumia busara kwenye hoja zako.Yaani mimi niingizwe chaka kwenye suala la uwekezaji? Hamjazuiwa kuhoji, mmetakiwa kutumia akili katika kuhoji.
Yes mnaonekana hamna akili sawasawa kichwani, Busara ni pamoja kuwaambia ukweli kuwa kichwani wengi ni hamnazo, juzi tu hapa Prof Assad alitoa maelezo ambayo kwa kiwango kikubwa kwa sisi tunaoelewa kuhusu uwekezaji ndivyo inatakiwa kuwa, mmemshambulia kinoma yaani, lkn ule ndio ukweli, wengi mnaopinga hamna mjualo kwenye uwekezaji.Basi tumia busara kwenye hoja zako.
Unapotuona sisi ni tabularasa ndo mnadhihirisha utata tunaouona kwenye mkataba.
Hoja ya Uhaini imefeli
Hoja ya udini mmeipandikiza sana nayo itafeli.
Muanze kutupoteza basi
Yes, kasome kitu kinaitwa QUASI-GOVERNMENT AGENCY/ENTITIES.Kwahiyo huo uwekezaji hauna ukomo. Basi sawa bwana mahamudu. Niambie Je, Dubai ni nchi yenye hadhi ya kusaign IGA?
Sasa niambie yule wa Dubai aliyesaini Jina lake ni nani? Maana hutoni jina lake kwenye huo mkataba.Yes, kasome kitu kinaitwa QUASI-GOVERNMENT AGENCY/ENTITIES.
Kubishana na wapumbavu ni kazi kinoma yani.
Anza kutafuta humu jukwaani, tulishaelezea kitambo sana, huenda mlikua mkianza kusoma na kuona muelekeo hautakubaliana na Mkataba basi mnaruka.Mzee wewe eleze shida pale ni nini? Eleza ulichokiona wewe kuwa ni shida.
Nikusome mpumbavu? Eeeeh hii kali sana.Anza kutafuta humu jukwaani, tulishaelezea kitambo sana, huenda mlikua mkianza kusoma na kuona muelekeo hautakubaliana na Mkataba basi mnaruka.
Ila kama kweli unania ya kujua basi unapaswa kuwa ulishanisoma kitambo. Sasa hivi tunaendelea
Hiki ni kituko cha mwaka aisee, ulichokiona wewe ni Part ya TZ mzee, ukipata Part ya DP utaona, shida huelewi nini kimefanyika. Unaweza kuweka kipande cha saini hizo na maelezo yake??????Sasa niambie yule wa Dubai aliyesaini Jina lake ni nani? Maana hutoni jina lake kwenye huo mkataba.
Humjui aliye sain? Kwahiyo huu ni mkataba wa kihuni?Hiki ni kituko cha mwaka aisee, ulichokiona wewe ni Part ya TZ mzee, ukipata Part ya DP utaona, shida huelewi nini kimefanyika. Unaweza kuweka kipande cha saini hizo na maelezo yake??????
Kumbe Mkataba wa Bandari ni wa Dini ya haqUle mkataba una ubovu gani? Ebu eleza hapa ujibiwe kwa kina. Maana hoja zote zilishajibiwa. Ebu eleza hizo zako wewe.
NB: WAISLAM WAKO TAYARI KUSIMAMA NA DINI YAO, JINO KWA JINO.
Simjui?????? Nimekwambia weka hapo kipande cha hizo Saini kwanza ili ueleweshwe.Humjui aliye sain? Kwahiyo huu ni mkataba wa kihuni?
Unamjua?Simjui?????? Nimekwambia weka hapo kipande cha hizo Saini kwanza ili ueleweshwe.
Mimi namjua, kama humjui basi huo mkataba hujauona na umekurupuka sasa.Unamjua?
Taja jina lake na Cheo chakeMimi namjua, kama humjui basi huo mkataba hujauona na umekurupuka sasa.
AHMED SULAYEMTaja jina lake na Cheo chake
Mbona mpaka hapa unaendelea kunisoma? Au ndiyo umeshakuwa Mpumbavu?Nikusome mpumbavu? Eeeeh hii kali sana.
CEO wa nini? ambaye anahadhi ya kusign IGA na Rais wa nchi? Sheria ipi ya kimataifa inasema hivyo? Hebu itajeAHMED SULAYEM
Cheo chake ni CEO.