Historia ya kweli ya mauaji ya Kimbari ya Rwanda

CEO wa nini? ambaye anahadhi ya kusign IGA na Rais wa nchi? Sheria ipi ya kimataifa inasema hivyo? Hebu itaje
We sio chizi lkn? Makubaliano ya Serikali na UAE yalisainiwa baina ya Serikali mbili, Kiongozi wa Dubai ambaye ndio Waziri mkuu pia wa UAE, makubaliano baina ya UAE na TZ yalifanyika tangu mwaka jana, thats nikakuumbia kajifunze kitu kinaitwa QUASI-GOVERNMENT ENTITIES.
 
Nimekuwambia unipatia Sheria za kimataifa zilizoundwa na UN kuhusu kukomesha ukoloni inayohusu IGA.
Leta hiyo sheria hapa.
 
We ni mpimbavu mno, kwanza Baraza la kanisa katoliki Tanzania lilihusika kwenye mauaji ya Rwanda!!!??? Tec inahusikaje na mambo ya Rwanda!? Hii vita mmeshashindwa asubuhi.
 
Nimekuwambia unipatia Sheria za kimataifa zilizoundwa na UN kuhusu kukomesha ukoloni inayohusu IGA.
Leta hiyo sheria hapa.
[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3] Huna ujualo kuhusu uwekezaji, umemtaka aliyesaini kwa niaba ya DPW umejibiwa, umemtaka aliyesaini IGA as a Governmental personnel nimekujibu.

Unajiona ulivyo kilaza sasa? Unajiona ulivyovamia hoja kichwakichwa? Umejiona usivyo na akili?

Mbaya zaidi, mnapinga Serikali na DPW kutatuliwa migogoro yao through international laws lkn hapa unataka hizo Sheria za UN ili kujustify hoja yako?

[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3] We ni CHIZI.
 
Ule mkataba una ubovu gani? Ebu eleza hapa ujibiwe kwa kina. Maana hoja zote zilishajibiwa. Ebu eleza hizo zako wewe.

NB: WAISLAM WAKO TAYARI KUSIMAMA NA DINI YAO, JINO KWA JINO.
Simameni na dini yenu hakuna aliyewakataza ila msiwapangie watumishi wa Mungu cha kusema.
 
Simameni na dini yenu hakuna aliyewakataza ila msiwapangie watumishi wa Mungu cha kusema.
Mbona nyie mnapangia watu cha kusema???? Jino kwa Jino. Ukija na akili utajibiwa kwa akili, ukija hovyo utajibiwa hovyo, ukija na ugomvi pia utakutana na moto wa waislam, na hapo usiombee itokee.
 
Huna akili kichwani bhana, lini uwekezaji wa nchi uliwahi kuwa na ukomo? Mkataba wa Barick na Tanzania ni wa Miaka mingapi? Mkataba wa Dangote cement na Tanzania ni miaka mingapi?

Mkiambiwa hamna akili mnawaka kinoma. Ila majority hamna akili.
Dangote amejenga kiwanda chake ila waarabu wako wameijuta bandari yetu ikifanya kazi kwa uwekezaji wa kodi zetu, hizo ni kesi mbili tofauti.
 
Dangote amejenga kiwanda chake ila waarabu wako wameijuta bandari yetu ikifanya kazi kwa uwekezaji wa kodi zetu, hizo ni kesi mbili tofauti.
Kwahiyo tunakubaliana kuwa kuna uwekezaji hauna ukomo?

Jibu hili kwanza afu twende next stage.
 
Kwahiyo hujui hata IGA inasaini baina ya nani na nani?
Ngoja sasa naanza kukuingiza shule

Intergovernmental Agreements (IGAs)​

An intergovernmental agreement (IGA) is any agreement that involves or is made between two or more governments in cooperation to solve problems of mutual concern. Intergovernmental agreements can be made between or among a broad range of governmental.

Is dubai qualify to this Agreement?
 
Mbona nyie mnapangia watu cha kusema???? Jino kwa Jino. Ukija na akili utajibiwa kwa akili, ukija hovyo utajibiwa hovyo, ukija na ugomvi pia utakutana na moto wa waislam, na hapo usiombee itokee.
Hayo maujinga mnayofundishwa madrasa yameharibu ubongo wako, pole sana. Kuhusu mkataba bado tutaendelea kuupinga maana hatuwezi kuweka rehani bandari zetu kisa uwekezaji wa mwarabu.
Kwamba tusiendeleza bandari yoyote bila idhini yake! Akitaka kipande chochote cha ardhi apewe bila masharti yoyote! Uwekezaji wake (katika bandari ambazo tumeshaweka pesa zetu nyingi) hautakuwa na kikomo mpaka pale atapoona yeye inatosha! Huo ni zaidi ya ujinga
 
Kwakuwa wewe ni chizi nakusogezea hapo uelewe zaidi. Soma zaidi na uelewe.
 
Kwakuwa wewe ni chizi nakusogezea hapo uelewe zaidi. Soma zaidi na uelewe.View attachment 2722538
Kwanini kuna case zaidi ya 20 kuhusu hiyo kampuni ya waarabu?

 
Kwahiyo wao wasipewe haki ya kutumia Ardhi???
 
[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3] Kesi? Kuwa na kesi ni hoja?
 
We ni mpimbavu mno, kwanza Baraza la kanisa katoliki Tanzania lilihusika kwenye mauaji ya Rwanda!!!??? Tec inahusikaje na mambo ya Rwanda!? Hii vita mmeshashindwa asubuhi.
Kwanini mko mbio kuliinguza taifa kuzimu.

Soma vzr post yangu na uielewe.

Chadema (walutheli) wameingia cha kike.
 

Asilimia 98 ya watu wa Rwanda ni wakristo. Wewe mvaa vipedo na kobazi ya rwanda yanakuhusu nini?. Kanisa la tanzania sio umoja wa mataifa wa kutoa matamko dhidi ya migogoro ya nchi nyingine. Mbona wapumbavu wenzenu huko somalia miaka na miaka vita inapigwa na maislam wajinga wanakufa hovyo. Swala la bandari sio swala la kuleta upuuzi wenu hapa. Jadilini hoja na sio kuzisha hofu. Wakristo hatuna hofu hata kidogo na kama unabisha inua hata fimbo uone cha mtema kuni
 
Umemaliza
Kama ni hiyo miradi ya uwekezaji wa huku pwani nyie inaruhusu nini
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…